Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Wednesday, April 7, 2010
JE UJIO WA NAOMI CAMPBELL ULILETA MAPINDUZI BONGO?
Naomi campbell model mwenye mbwembwe nyingi awapo jukwani miezi kadhaa iliopita alikuja bongo.je ujio wake wadau na wanamitindo wa tz walipata exposure ? write to us your answer uniqueentertz@yahoo.com
TANZAIANIAN TOP MODEL
Mwanamitindo Miriam Odemba moja ya hazina za kujivunia watanzania katika medani ya mitindo na urembo Duniani.
Miriam kwa Tanzania ni mrembo mweye mataji makubwa ya kipekee,ni kweli ameitangaza vema nchi yetu kupitia Miss Earth air 2008.tembelea duka lake la nguo lililopo msasani road upate pamba za ukweli.NJUNKIIS HOUSE OF FASHION

MISS ILALA AKANUSHA UVUMI
Uvumi ulio onea kuwa miss ilala 2009-2010 silvia shally ametimkia ulaya masomoni ameukanusha baada Uniqueentertz.blogspot.com kumtafuta kwa takribani wiki nzima apatikani.
Silvia alieleza kwa simu kua yupo nchini na ni maamuzi yake kubadili namba ya simu kutokana na usumbufu anaoupata toka kwa watu, kwani alisibitisha kua anampenda kwa dhati alienae na hana time na mapapaa

Friday, April 2, 2010
TANZANIAN SUPER MODEL
Happiness Magese a.k.a millen magese miss tz 2001 ambaye alikuwa za mitindo nchini afrika kusini sasa anaiwakilisha vema tz katika medani ya mitindo nchini marekani.
Millen ambaye hivi karibini alivishwa pete yenye thamani us $7600 sawa na milioni kumi za kitanzania, huu nimfano wakuigwa kwa wanamitindo wa tanzania kutokata tamaa na kujituma zaidi katika kutafuta mafanikio.

NANI KUMRITHI MIRIAM GERALD MISS MWANZA?
Ikiwa siku na masaa zimakalibia kufika siku ya june 4,2010 siku ya kumtangaza miss mwanza 2010 hofu kuu imezidi kutanda jijini mwanza ni binti gani atakae endeleza kutikisa miss tanzania kutokea jijini mwanza.
Kwaniaba ya mkulugenzi wa sisi Entertainment john doto, meneja habari na mawasiliano wa sisi entertainment mr magese amebainisha kuwa mchakato wa miss mwanza unaanza mei mmoja jijini mwanza
Kwa habari za uchunguzi zinasema kwamba wakazim wa mwanza wanasubiri shindano hili kama sikukuu kwakua nitukio kubwa linaipa sifa zakipekee jiji hili kwa miaka miwili mfululizo ambapo mwaka juzi ilimtoa Nasreen Kharim kuwa miss tanzania 2008

Thursday, April 1, 2010
Wednesday, March 31, 2010
KANUMBA THE GREAT
Gwiji la filamu afrika mashariki Steven Kanumba( a.k.a the great) ambaye nimuigizaji bora nchini tanzania amejivinia umashuhuli mkubwa kutokana na kipaji chake ambapo sasa antamba na filamu mpya itwayo (megic house)
Kanumba ni mmoja ya watu wa karibu na Enique Entertainment......wish u the best homie!!!
http://www.kanumba.com/
Kanumba ni mmoja ya watu wa karibu na Enique Entertainment......wish u the best homie!!!
http://www.kanumba.com/
MISS KILIMANJARO 2010/2011
Mwandaaji wa miss tanzania kupitia mkoa wa kilimanjaro Jacqueline Chuwa (24) a.k.a top Model ambaye anafanya shuguliza mitindo nchini uganda, akiwa ni muhitimu wa chuo kikuu cha makelele (Uganda)
Aliongea na Eniqueentertz kuwa shindano la kumtafuta miss kilimanjaro litafanyika tarehe 28/5/2010 katika ukumbi wa la liga club mjini moshi kupitia kampuni ya scorpion Promotion&Entertainmeant.
Mwalimu wa washiriki ni Glory Benedict(Miss Arusha 2009).

Tuesday, March 30, 2010
Tyra Banks
Mwanamitindo Maarufu duniani Tyra Banks akiwa stejini na kivazi cha aina yake, Banks alizaliwa Desemba 4,1973 ndani ya Inglewood California pia ni mwigizaji na mtangazaji wa vipindi vya mahojiano, Tembelea http://www.tyrabanks.com/
Monday, March 29, 2010
Friday, March 26, 2010
Wednesday, March 24, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)