Shindano la kumsaka mlimbwende toka jijini Mwanza kupitia mkoa huo yamesogezwa mbele toka may 4 mpaka june 18 ambapo fainali za miss lake zone zitafanyika mwanzoni mwa mwezi wa saba.
Akizungumza na blog hii mratibu wa mashindano hayo John Doto amesema jumla ya warembo 22 watapanda jukwaani kuwania taji hilo,aidha wadhamini mbalimbali wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza kudhamini shindano hilo.
Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Tuesday, May 4, 2010
Friday, April 30, 2010
Thursday, April 29, 2010
VODACOM MISS KILIMANJARO YAANZA KWA MBWEMBWE NI 28-5-2010
Washiriki wa miss klimanjaro 2010 shindano litakalofanyi 28-5-2010 mjini Moshi ndani ya ukumbi la liga club.majina ya washiriki; wadhamini:VODACOM,REDDS,uniqueentertz.blogspot.com,KILIMANJARO HOME LODGE,GEMSTON ltd,MR. PRICE,BEN EXPERTION,PYRAMID SALON,ENTEL TRAINING CENTER,SALSANERO HOTEL,
REDDS MISS KILIMANJARO YAANZA KULINDIMA
Mbiombio za kumtafuta mshindi kutoka kilimanjaro katika shindano kubwa la miss Tanzania zimeanza katika mkoa wa kilimanjaro ambapo jumla ya washiriki kumi watapanda jukwaani kuwania Taji hilo may 28 2010 katika ukumbi Grand villa mjini moshi.(CLICK ORDER POST) upate more stories
Tuesday, April 27, 2010
WELCOME TO GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL DAR ES SALAAM TZ
Giraffe ocean view hotel located at mbezi beach in Dar es salaam Tanzania few kms from city center,welcome to see different hospitality,services, nice rooms for cheap price,conference halls,nice food & drinks.
Monday, April 26, 2010
WASHIRIKI MISS MWANZA KUTEMBELEA TRUWORTHS MLIMANI CITY
Washiriki miss Mwanza Joyce Yohhan na Josephine Urio walivamia siku ya muungano wa jamhuri 26 may kununua nguo katika duka la TRUWORTHS Mlimani city ambapo stock mpya imeingia 25 may.Duka hili ambalo lina umaarufu wa kuuza nguo original na zenye kiwango cha hali ya kimataifa,warembo,wanamitindo mbalimbali na watu nmaarufu hujuika hapa TRUWORTH.
Miss Mwanza inaandaliwa na kampuni ya SISI ENTERTAINMENT chini ya mkurugengezi johm dotto aidha fomu za ushiriki zinaptikana BURE please call;=255786394170,=255714796622,=225755259488.kumbuka tunaendeleza miss TZ KUTOKEA kanda ya ziwa katika mkoa wa Mwanza kama kawaida yetu warembo bomba Tz nzima!(CLICK OLDER POST upate habari kemkem)

TRUWORTHS KUMPAMBA UNIQUE MODEL
Josephine Urio aka vilan model from uniqueentertainment,dressed new fashionable clothes from TRUWORTHS mliani city Dar es salaam tz
Friday, April 23, 2010
DO WE PROUD FOR OUR AFRICAN BEAUTY? LADIES...
Olochi Onweagba,the nigeriaan super model,is an example of an African beauty,olochi discovered in M-Net Face of Africa,she won that prize 2005.
Olochi born in Lagos Nigeria 1982 now she is working with Omodel in south Africa.her mother was anurse and her father was civil servant now she is super model in Africa and african BEAUTIFUL (www.olochi.com)

Thursday, April 22, 2010
TBL NA VODACOM KUDHAMINI MISS MWANZA
Kampuni Ya mawasiliano VODACOM na TBL kupitia kinywaji cha REDDS kudhamini Miss mwanza katika shindano kubwa kuelekea VODACOM Miss Tanzania 2010 ambalo litafanyika kabla ya mfungo wa ramadhani.
W adhamini mbalimbali wanaendelea kujitokeza na watatambulishwa kupitia hapahapa http://www.uniqueentertz.blogspot.com/ ambapo wadhamini wote wataoneka hapahapa mpaka mwisho wa fainali za miss Tz.Miss MWANZA ITAFANYIKA 4-6-2010 jijini mwanza, CLICK OLDER POST upate habari kemkem.
WADHAMINI WAJITOKEZA MISS KILIMANJARO
Wadhamini wa shindano la kumtafuta Miss Kilimanjaro 2010 wameanza kujitokeza ambapo idaddi inaongezeka siku hadi siku ambapo fainali zitafanyika 28 june,2010 katika ukumbi wa grand villa mjini moshi.
Wadhamini waliojitokeza ni VODACOM,TBL(redds),GEMSTON ltd,KILIMANJARO HOME LODGE,MR.PRICE,BEN EXPERTION,PYRAMID SALON,INTER TRAINING CENTER,SAL SANERO HOTEL NA http://www.uniqueentertz.blogspot.com/
Wadhamini waliojitokeza ni VODACOM,TBL(redds),GEMSTON ltd,KILIMANJARO HOME LODGE,MR.PRICE,BEN EXPERTION,PYRAMID SALON,INTER TRAINING CENTER,SAL SANERO HOTEL NA http://www.uniqueentertz.blogspot.com/
TMG YAFUKA MOSHI
Muungano wa wanamitindo Tz (TMG) chini ya mkurugenzi Ally Model umelalamikiwa na wanamitindo wadogo kua wao hawapewi dili'michongo inafanywa na mamodel wenye majina tu.
Mkurngenzi msaidizi wa TMG Bwana michael alijibu tuhuma hizi kwa simu ambapo Ally model hakupokea simu kwa takribani wiki nzima.
Michael aliiambia uniqueentertz.blogspot.com kua muungano huo bado haujaanza kutoa dili bali kila model anafight kivyake kitendo kinachowaboa wanamitindo wachanga hata show hawapati ila wanawaona mabosi wao wanazidi kutoka.Michael anawataka wawe wavumilivu kwani mapinduzi hayaji kama mvua.

Tuesday, April 20, 2010
uniqueentertz.blogspot.com kudhamini UMISS
Blog ya uniqueentert.blogspot.com kudhamini mashindano ya "Umiss" ambayo ni miss Mwanza 2010 na miss Kilimanjaro 2010.
Ewe ndugu mtazamaji tangaza biashara yako kupitia mashindano haya makubwa kabisa kwa kudhamini shindano ama kuapear kwenye blog maana blog hii itatajwa kama mdhamini rasmi wa mashindano haya kupitia Magazeti,Radio na TV .Tunategemea kuwa na maelfu ya watizamaji verry soon kwa maana imeanzishwa 1-4-2010 tu lakini ina watizamaji wengi ndani na nje ya tz.
Kumbuka kuklick OLDER POST upate habari kemkem.KARIBUNI

Sunday, April 18, 2010
MISS MWANZA NA MISS KILIMANJARO KUTANGAZA UTALII WA NDANI
Mashindano makubwa ya umiss,Miss Mwanza na Miss kilimanjaro ambayo mshindi anaingia kwenye ngazi ya kanda hatimaye Miss Tanzania,utapata habari zake kupitia hapahapa http://www.uniqueentertz.blogspot.com/ ambapo kilimanjaro ni 28-5-2010 na Mwanza ni june 4,2010
KANUMBA SASA LIVE ! LIVE!
The great Stiv Kanumba akijimwayamwaya katika fukwe za pembezoni mwa jiji la Dar es salaam na totooz katika filamu ya PAY BACK,omming soon!
Friday, April 16, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)