Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, June 11, 2010

ALICE AWA MISS DAR INDIAN OCEAN 2010...pamoja na kufanikiwa kufanya shoW nzuri katika hotel ya double tree Hilton,kuna mapungufu yalionekana katika uandaaji wa washiriki ambapo washiriki wengine walichemka kuongea kiingereza mfano No.5 Happywitney alijikuta akiongea bloken english mwanzo mwisho,je kulikuwa hamna lieso yakuwa-tune kuchagua lugha sahihi ya kutumia ambapo wasichana wengi wanadhani Miss tanzania ni kuongea ngeli pekee,mbona mrembo maridhawa Miriam Gerald alishinda kwa kujibu swali kwa lugha ya Taifa.hii imewafanya washiriki wengi kula za ugoko,anywayz ni mtizamo tu msijenge chuki washkaji ! kupatikana kwa miss dar indian na miss sinza ni ni mwanzo wa kuangua kwa umalikia wa lulu Ibrahim miss kinondoni (2009-2010) na kumpa chance kimwana mpya ambae ni unknownmous mpaka sasa.


MR.&MRS charles Bekon walikuepo kupata burudani ya ulimbwende.
WAKATI HUOHUO:miss shinyanga 2010 itafanyika tarehe 19 katika ukumbi wa NSSF mjini shinyanga.jumla ya warembo kumi na mbili wanategemewa kupnda on stage kuchuana for for crown of mss shinyanga 2010



THE DREAT KANUMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA NA ROSE NDAUKA JIJINI DAR.
nI moja ya vipande vya movie mpya ya great kanumba inayoitwa (more than  pain) inayotarajiwa kutoka nhivi karibuni,wiki moja kabla nilitembelea katika camp ya uchukuaji wa movie hiyo nilikubali 


SILVIA SHALLY MISS ILALA 2009 ACHANGE MOTION GAFLA
Mrembo silvia jana mishale ya sita usiku wakati wakucheki miss dar indian ocean huko double tree hilton alichange mood gafla nakunza kulopoka ayajuayo baada kuwa akinitumia sms za mchakato mzima wa nani anafanyaje kwenye steji (aliebolonga na kufanya vizuri) kwani nilikua home najiandaa kuamka alfajili kwaajili ya safari ya kwenda Moshi kwaajili ya Miss kilimanjaro june 12.
Ndipo nilipomuuluza silvia ambae ni muangaliaji mzur wa blog ya uniqueentertz..swali likua hivi:IKIWA TUNAELEKEA UKINGONI MWA MASHINDANO YA MISS TZ KATIKA VITOGOJI HASA ILALA NA MCHAKATO WA KAMBI YA MISS ILALA IMEANZA  JE HUONI HUU NDIO WA UMALIKIA WAKO KATIKA MEDANI YA ULIMBWENDE?. .

Thursday, June 10, 2010

8020 FASHION KUIPA SHAVU UNIQUEENTERTZ



  Kwa wale wapenzi wa pamba mpya na urembo wa kila aina usikose kutembelea hapa http://www.8020fashions.blogspot.com/.


                        MUSTAFA....,HAPPY  BIRTHDAY
   Uniqueentertz inakupa hongera kufikisha umri huo,god bless uuuuuuu......

THE GREATEST RAY ,KWA WALE MASHABIKI WA WA RAY KATIKA ULIMWENGUWA MOVIE PLS PATA SWAGA LAKE HAPA http://www.thegreatestray.blogspot.com/


ROSE  RAPHAEL AWA MISS MARA 2010 (univercity) .nafasi ya pili imeenda kwa fatma ibrahim(20)(form vi) na tatu akawa jackline sospiter(20)(form iv). chini ya hokerlnd entertainment ya Godson mukama.form(PICHA BAADAE).


MISS PWANI 2010 JUNE 12, KIBAHA. BAADHI YA WASHIRYKI WAKIJICHUA KWAAJILI YA june 12 .

Wednesday, June 9, 2010

HAPPY BIRTHDAY FLAAVY !!!.........


Siku kama ya leo 8 june alizaliwa mwanamitindo maarufu nchini tanzania Flavian Matata.uniqueentertz blog inakutakia maisha marefu ikiwa hivhivi majuzi aakuwa D.E.F Africa"s AMBASSADOR,Ambapo siku hiyo watu walipiga nae picha kwa $25 @ 1pix.

ALLY"S EDUCATION BEFIT FASHION SHOW ILIVOKUWA KATIKA PIX

Tuesday, June 8, 2010

DJ CHOKA AITEMBELEA UNIQUEENTERTZ

KWA WALE WAPENZI WA MUSIC(ndani&nje),CONCERT NA MATUKIO YA HIVI KARIBUNI MTEMBELEENI THE No.1 dj in Town DJ CHOKA.
                   http://www.djchoka.blogspot.com/
***************************************************
                         
                         SALMA MWAKILUKWA ATAWAZWA KUWA MISS DAR CITY CENTER 2010 ,Ambae ni mrithi wa Silvia shari ikiwa ni mwanzo wa kuanguka kwa umalikia wa silvia ambapo Bahati Chande alitwaa nafasi ya pili wakati nafasi ya tatu ilienda kwa Neema Ally.Show hii ilipigwa MOVENPICK mwishoni mwa wiki.
     
                 MISS TANZANIA EASTERN ZONE 2010 NI JUNE 26 MKOANI LINDI

Sunday, June 6, 2010

GENEVIA EMMANUEL ATWAA TAJI LA MISS CHANG"OMBE 2010,Ambapo mtanange huo ulifanyika siku ya ijumaa 4june ambapo Upendo Urasa(kulia)alipiku nafasi ya pili wakati Anna Daudi akitoka kifua mbele kwa nafasi ya tatu.

***********************************************************************************
YUSUPHU CHUCHU AFARIKI DUNIA AKIWA MATIBABUNI NAIROBI
   Marehemu yusphu chuchu ni moja ya watu niliishi nao vizuri enzi za uhai wake ambapo alipofungua Radio ya CHUCHU FM aliniita niwe mtangazaji wa kwanza katika kipinda cha UPTOWN FLAVA,mimi ni moja ya mafounder wa radio yake .tutamkumbuka milele Bwan chuchu.AMINA.

*********************************************************************************
              ZAHRA SULEIMAN MISS ARUSHA CITY CENTER 2010,Ambapo nafasi ya pili ilienda kwa Glady Mollel(kulia) na watatu ni Berther Denis(kushoto).
*************************************************************************************
                     MISS DAR INDIAN OCEAN 2010 JUNE 10 .Kupitia kitongojio hiki wamewahi kutoka mamiss mahili nkama NANCY SUMARI,RICHA ADHIA na WEMA SEPETU n.k.pichani hapo juu ni nancy sumari akiwa na irene kiwia ambao ni waandaaji wa Dar indian ocean nkupitia kampuni ya front line management.
*********************************************************************************
                  AMISUU MALIK ATWAA TAJI LA MISS SINZA 2010, Ambbapo mtanange na swaga la kufa lenye warembo wanono ka kutizama,Calorine Ndembo alikuwa wa pili wakati  Salma Ally akinyakua nafasi ya tatu ndani ya vatcan sinza.