Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, May 26, 2011

IDD AZZAN AMLIPUA SHYROSE BHANJI KUHUSU KUJIHUSISHA CHADEMA...!!

  
 Shrose Bhanji
Idd Azzan(mbunge wa kinondoni)
   Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita shrose alitoa sapoti kubwa sana kwa chama cha CHADEMA ila hakupewa adhabu.
   Mbali na hayo Idd Azzan wiki iliyopita alipigwa zengwe na moja ya vigogo hao wa CCM kuwa eti ni pusha mzee wa mapouda..!
   Siasa za kulipuana ndiyo umekuwa mtindo mpya wakukomoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama cha mapinduzi(CCM).
 
 


KIM KARDASHIAN KAVISHWA PETE YA THAMANI YA $2 MIL ZA USA
Story photo: Kim Kardashian Is Engaged to Kris Humphries!Todd Williamson/WireImage.comUs Magazine
Sorry, fellas: Kim Kardashian is officially off the market!
The reality superstar and mogul is engaged to basketball beau Kris Humphries, her rep confirms to Us Weekly.
VIDEO: Kim tells Us what Kris loves most about her body
Kardashian, 30, and New Jersey Nets forward Humprhies, 26, began dating in December, and the duo quickly became serious.
Indeed, last month, a Kardashian insider told Us that the E! star planned to move to NYC in order to be closer to her man. "This is it for her," the source said. "I foresee an engagement this summer."
PHOTOS: Height challenged! Kim, Kris and other stars with huge height differences
Although she kept her nuptial news a big secret, Kardashian, whose exes include football stars Reggie Bush and Miles Austin plus (briefly) Halle Berry's model ex, Gabriel Aubry, has been frank with Us about her latest man.
Humphries designed the ring with jeweler Lorraine Schwartz, who is a "longtime Kardashian friend."
Kardashian gushed about the rock to People.
"In high school I went to Macy's and bought this fake ring, my 'perfect' ring, and this is almost the exact same," she said. "It's the most beautiful thing I have ever seen. It's perfect."
Kim said she wanted something that would be "her own," distinct from sister Khloe's $850,000, radiant-cut ring. So they went for an emerald cut, with a 16.5-carat center stone and a couple of two-carat trapezoid stones surrounding it.
As for Humphries, it seems the basketball player had one thing on his mind in selecting the perfect ring.





LI WYNE AJIA.CHIA NA DEMU MPYA UFUKWENI
Mwanamziki mahiri wa Rap Lil Wayne jana alidakwa na mapaparazi akiponda raha na girlfriend wake mpya ndani ya Miami Beach, Mtandao mmoja maarufu wa mastaa wa mjini marekani umesema jamaa baada ya kufika ufukweni hapo alipata nafasi ya kupiga picha na mashabiki wake na kuendelea na shughuli zake za kupunga upepo ufukweni hapo.. mpaka wakati huu naandika habari hii sijapata jina la binti huyu mchanga.




RIHANNA NA BRITNEY SPEAR WADENDEKA LIVE
rihanna_britney_spears_kiss.jpg
Wadada hawa walipiga bonge la denda mbele ya umati wa watu uliohudhuria tuzo za muziki za billboard huko usa

 


TBC,STARTIMES VIPANDEVIPANDE..!!
KAMATI ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) leo inatarajia kulihoji Shirika la Utangazaji (TBC) baada ya kubainika kuwepo kwa mkataba wenye utata kati ya shirika hilo la umma na kampuni ya Star Media kutoka China.
Kwa mujibu wa wa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Deo Filikunjombe, kutokana na utata katika mkataba huo kamati hiyo imeazimia kuwaita tena viongozi wa bodi ya wakurugenzi wa TBC Wilfrey Nyachia na mkurugenzi wake Clemence Mshana ili kupata ufafanuzi wa sakata hilo.
Akizungumza katika kikao hicho mjumbe wa POAC Kangi Lugola alisema zipo taarifa kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa TBC imepata hati ya mashaka hali inayosababisha kushindwa kujiendesha kiufanisi.
“Hali hii inaonyesha kuwa zaidi ya sh bilioni 8 zimetumiwa kinyume cha sheria kwa kufanya manunuzi… lakini bado kuna utata kati yenu na kampuni ya Star Media ambayo imesababisha hasara hii… hatuwezi kuvumilia wageni wananufaika kwa fedha za walipa kodi wetu; tunahitaji maelezo ya kina,” alisema Lugola.
Kwa mujibu wa makataba huo, TBC inamiki asilimia 35 ya hisa huku Star Media ikimiliki asilimia 65 ambapo wamekuwa hawatekelezi makubaliano yao kinyume cha sheria.
Mjumbe mwingine wa kamati hiyo Murtaza Mangungu alisema TBC inayo madeni mengi ya nje yanayofikia zaidi ya sh bilioni 5.5 huku kampuni ya Star Media ikidaiwa sh milioni 36 ambazo wamekaidi kuzilipa hadi leo.




SIKU YA HARUSI YA KEISHIA COLE NA BOOBIE
Wanandoa keishia cole na bobbie





AMBER ROSE AMZODOA KANYE BAADA YA KUMPATA WIZY KHARIFA
Weekend iliyopita wapenzi wawili ambao mapenzi yao kwa sasa yanashika Chat Wizzy Khalifa na Amber Rose walionekana wakipeana raha katikati ya club moja ya usiku jijini la Paris.
Tukiangalia kwa upande wa Amber Rose, katika cover story ya Gazeti la King, Amber alionekana kuponda mapenzi yake na Kanye West na kusema kwa wizzy ni kila kitu, nanukuu manenoo yake anasema,
"Kipindi nilipokuwa na Mpenzi wangu wa zamani (Kanye west) Sikuwa na Sauti kabisa kwake,Nilikuwa sielewi kila kitu, lakini kwa sasa napata kila kitu... Mimi na Wizy mapenzi yetu tumeweka wazi mbele ya dunia, hatufichi mambo yetu tunapendanaa na tunafurahia mapenzi yetu na tunataka watu wengine wfuate nyayo zetu katika mapenzi hakuna haja ya kuogopa kuwa katika mahusiano.




LETU LA KUMTAFUTA "MKALI WA KUKETI" BADO LINAENDELEA.......PATA MAELEZO HAPA CHINI......

OYAAAA!!!! BADO USAJILI UNAENDELEA, KAMA WEWE NI MDADA NA NI MKALI WA KUPIGA PICHA NJOO UJIUNGE KWENYE KLUBU YA KUMTAFUTA "MKALI WA KUKETI". SHINDANO HILI LA "MKALI WA KUKETI" LINAENDESHWA NA BLOG YAKO YA WAJANJA. SHINDANO HILI LINAKUPA FURSA WEWE BINTI KUIBUA KIPAJI CHAKO. NAMNA SHINDANO LITAKAVYOENDESHWA NI KWAMBA UNATAKIWA KUPIGA PICHA KWA KUIGA PICHA YA MWANAMITINDO WA KIMAREKANI HAPO JUU. KITU CHA KUNOTI NI KUWA AKINANA DADA WATACHUANA KWA KUIGA STAYLE YA PICH NA SIYO VAZI. VAZI UTAKALOPIGA NALO PICHA HII LITAFUATA MAADALI YA KITANZANIA. UPIGAJI WA PICHA UTAFANYIKA JUMAMOSI WIKI  HII NA PICHA ZITAWEKWA KWENYE BLOG HII JUMATATU KWA AJILI YA WADAU KUPIGA KURA ILI KUMPATA MSHINDI HALALI. WALE WOTE WATAKAOPATA NAFASI YA KUTEULIWA KUJA KUPIGA PICHA WATALIPWA NA MSHINDI WA SHINDANO HILI ATAPATA KITITA KINONO NA ATAKUWA BALOZI WA KUTANGAZA NGUO MOJA KATI YA BOUTIQUE MAARUFU HAPA DAR CITY. 
KWA AKINA DADA (WASHIRIKI): NAFASI BADO ZIPO USICHELEWE TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA
WADHAMINI: NA KAMA UNGEPENDA KUDHAMINI SHINDANO HILI WAKARIBISHWA.

WASILIANA NASI KUPITIA:
EMAIL: wajanja.dar1@gmail.com
MOBILE: 0715 199869
        
www.wajanjaclub.blogspot.com

Wednesday, May 25, 2011

RYAN GIGGS NA SKENDO YA KUHUJUIMU NDOA YAKE

Pamekuwa na minong'ono kwamba mchezaji wa Man United ya Uingereza,Ryan Joseph Giggs ametembea na mmoja wa aliyekuwa mshiriki katika kipindi cha televisheni cha Big Brother,Imogen Thomas

IMOGEN THOMAS
Tuhuma hizo za muda mrefu na kabla ilipitishwa sheria mahsusi kuwalinda watu maarufu kutotolewa hadharani mambo yao ya siri kwa sababu wanazozifahamu wao wenyewe.Lakini ghafla bin vuu, mbunge kwa tiketi ya chama cha Liberal,John Hemming,akiwa bungeni akateleza ulimi na kumtaja mchezaji huyo anayelindwa na sheria hiyo kuwa ni Ryan Giggs wa Man United, na amekuwa mmoja wa wanaharakati ambaye amekuwa akipinga kwa mchezaji huyu kulindwa na sheria hiyo. Huku wakati huo huo watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao walikuwa wameshalinyaka jina hilo na kuanza kumegeana ndogo ndogo kwa sasa Giggs yuko kwenye wakati mgumu sana hasa ndoa yake na kwa sasa habari hiyo imeshaenea duniani kote...!

  

Nato yaishambulia Libya usiku kucha


Mashambulio ya anga Libya
Takriban milipuko mikubwa mitano imeitikisa Tripoli usiku kucha, wakati harakati za majeshi ya umoja wa nchi za kujihami za Ulaya Nato zikiendelea kwenye mji mkuu wa Libya.
Kwa usiku wa pili, mashambulio ya anga yalilenga ngome ya Bab al-Aziziya ya Kanali Muammar Gaddafi.
Nato inatekeleza azimio la umoja wa mataifa la kulinda raia wa Libya, kufuatia maandamano dhidi ya uongozi wa Kanali Gaddafi.
Lakini Urusi, ambayo haikuunga mkono azimio hilo, imesema uvamizi huo ni ukiukwaji wa umoja huo.
Mwandishi wa BBC Andrew North mjini Tripoli alisema mashambulio ya Jumanne usiku si makubwa kama yaliyofanyika Jumatatu usiku, lakini bado yalitikisa majengo eneo kubwa.
Moshi ulionekana kutanda kwenye mji huo.
Nato ilisema ngome hiyo ya Bab al-Aziziya imekuwa ikitumika kama kituo cha majeshi na magari ya kijeshi yaliyotumika kushambulia raia.
Lakini serikali ya Libya imesema Nato inajaribu kumwuua Kanali Gaddafi na mashambulio ya usiku yanawatisha raia wa Tripoli

Tuesday, May 24, 2011

EXCLUSIVE: HURUMA ZIMEMPONZA MH.WILLIAM LUKUVI..!!


Waziri William lukuvi ameibuka na kujibu tuhuma za ufisadi wa kujimilikisha vitalu dhidi yake kwa kudai alipewa kibali toka mamlaka husika na baada ya kuvuna mbao alizigawa.
 Awali maombi ya mbao hizo ilikuwa kaomba msaada wa kuikarabatia shule yake iliyopatwa na janga la kuteketezwa kwa moto ili ikarabatiwe upya shule hiyo lakini kutokana na huruma za waziri huyo alizigawa mbao hizo kwa watu binafsi.
"unajua mimi nina huruma sana hata ukinipa nifanye biashara ya karanga ntazigawa zote" alisema lukuvi,hata hivyo bado tunasubiri Dk.Slaa ajibu maoni ya Mh.lukuvi kuwa Dk.Slaa ni mtu wa porojo tu.



R.I.P MULA

Mula kafariki siku ya jumapili,alikuwa ni moja ya magaid sugu duniani toka el kaeda.


RABADABA JELA KWA KUMCHOMA MTU KISU

Artist Faisal Seguya aka Rabadaba ambaye amerejea hivi karibuni toka Malaysia kwenye tour iliyomuingizia mkwanja kibao na hivi karibuni Rabadaba alikua hana mahusiano mazuri na Goodlyfe Crew kwa sasa yuko jela nchini Uganda baada ya kudaiwa kujeruhi kwa kisu
Rabadaba inadaiwa alikwenda kula bata De-Posh Bar pande za Kabalagala akiwa na washikaji zake na kujikuta kwenye malumbano na mmoja wa member wa Goodlyfe Crew,Rasta Tedious na kuishia kupigana na Rabadaba alimjeruhi kwa kisu Rasta Tedious
Police waliitwa na kumkamata Rabadaba huku Rasta Tedious akikimbizwa Hospitali ya Nsambya kwa matibabu zaidi,na Rabadaba ameshikiliwa Kabalagala Police Station

Monday, May 23, 2011

HUKUMU YA EPA WATANZANIA WABAKI MDOMO WAZI.....!!!

....FARIJALA HUSSEIN NA RAJAB MARANDA....
    Hukumu ya kesi ya wizi wa Sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya madeni ya nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetolewa leo kwa
   Farijala Hussein na ndugu yake Rajabu   Maranda,wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela ambapo pia wametakiwa kurudisha fedha hizo kwa Serikali
     Jopo la majaji watatu likiongozwa na Mh Saul Kinemela,limewatia hatiani kwa mashitaka nane yanayowakabili shitaka la kwanza lilifutwa kwa kuwa upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitisha hilo,Kwa kosa la pili mshitakiwa wa kwanza pekee atatumikia kifungo cha miaka mitatu jela,kosa la tatu na la nne 
    washitakiwa wote watatumikia adhabu ya miaka mitano,kosa la tano mshitakiwa wa pili pekee atatumikia adhabu ya miaka miwili jela huku Kosa la sita washitakiwa wote kwa pamoja watatumikia adhabu ya miaka miwili jela na kosa la saba na la nane wote watatumikia adhabu ya miaka mitatu jela," alifunguka Hakimu Mgeta




MCHUNGAJI ALIETABIRI KIAMA....AINGIA MITINI!
MCHUNGAJI HAROLD CAMPING
    Kiama kilitakiwa kiwe Jumamosi saa 12 jioni lakini hakikutokea kama kilivyotabiriwa na mchungaji Harold Camping wa nchini Marekani ambaye alitumia pesa nyingi sana kuwaonya watu kwa miezi kadhaa kuwa kiama kingetokea jana May 21,2011
    Wafuasi na waumini wa Mchungaji Harold Camping wamebaki hawajui la kufanya baada ya kuhubiriwa kwa miezi mingi kuwa kiama kingetokea jana jumamosi saa 12 jioni,huku familia moja ilisafiri kilomita 4830 toka   Maryland hadi California mbele ya ofisi ya radio ya mchungaji Camping na kusubiri kupaishwa mbinguni kwenda kuonana na Yesu huku
    Mzee mmoja wa miak 60,Robert Fitzpatrick kwa kuamini kuwa mwisho wa dunia umefika na kwa kuamini mafundisho ya mchungaji Camping,alitumia dola $140,000 toka kwenye akiba yake ili kuchapisha mabango na vipeperushi vya kuwaonya watu kuwa mwisho wa dunia ni May 21 Mchungaji Camping mwenyewe hajaonekana tena na amekaa kimya na hadi sasa hajasema chochote kwanini kiama hakikutokea kama alivyotabiri na kuwahabarisha watu kwa miezi kadhaa kabla,hata hivyo bado waumini  
   wengine wa mchungaji Camping wanaendelea kumuamini mchungaji huyo wakisema kuwa kuchelewa kutokea kwa kiama ni mtihani mwingine toka kwa Mungu juu ya imani zao

Sunday, May 22, 2011

EXCLUSIVE:MZEE YUSUPH AMMENDEA DADA YAKE DIAMOND..!!

    Jinsi video ilivyokuwa ikichuliwa

  Artist Mzee Yusuph amejikuta anashidwa kujizuia na kutamka hadharani kuwa anamzimia dada yake Diamond kinom noma.
    Dada huyo wa mwanauziki mahili  ambapo jina jina lake halikupatikana mara moja lakini nae alionesha kushawishika zaidi licha ya kuwa na pete ya ndoa kidoleni,kilichofuta walibailishana namba na kilichofuata haikujiulikana kirahisi ambapo tukio hili lilitokea wakati wanachukua picha za video ya msanii Chid Beenz.
    Wakosoaji wa mambo wamedokeza kuwa uhariri wa video hiyo haukuwatendea haki watu walioalikwa katika video hiyo kwani haukuonekana umuhimu wa watu hao kwani wengi hawakuonekana na walionekana ni kifinyu sana.
   Songi hilo linaitwa mashaalah... ambapo chidi Beenz kamezwa mwanzo mwisho na Mzee yusuph katika songi hilo.




MSHIRIKI MISS UNIVERSE AZUSHA KASHESHE
    Mdada anaegombania taji la Miss Universe 2011 Yakoba Asenga amefosi bifu na muandaaji wa shindano kutoka kanda ya kaskazini baada ya kurushiana maneno kwenye simu usiku kucha wa kuamkia leo.
    Chanzo cha kasheshe hiyo ni demu huyo alipojivisha maujiko na kudai anamiliki Agency ya wanamitindo kumbe ni ya boyfriend wake ambapo alimjia juu mwaandaji huyo pindi wadau wake walipofika eneo ambapo mamodo hao wanapofanya mazoezi na kufanya utaratibu kama wanaweza kupata washiriki.
    Yakoba hakutaka wadau hao waongee na mamodo hao bila ya idhini yake kana kwamba yeye ndiye mmiliki kumbe ni mpambe tu na maongezi hayo yalisimamiwa na huyo jamaa aliejulika kwa jina moja tu la Benny.
    Baada ya kumuuliza mmiliki aitwae Benny alikili kuwa Yakoba hana hisa zozote ila ni Girlfriend tu wa jamaa huyo.
    Yakoba ambae alikuwa mbogo kwa muandaaji huyo kwa kurushiana maneno ya kejeri na masimango usiku kucha ambapo chanzo cha ugomvi huo ni yakoba kuangukia pua katika mashindano ya Miss kilimanjaro mwaka jana.
  Duru za habari zinasema kuwa si mara ya kwanza demu huyo kula za uso katika mashindano hata mwanzoni mwa mwaka huu aliangukia pua katika mashindano ya Miss utalii.



MWAKYEMBE AMDUNDA MGANDA
Bondia wa ngumi za kulipwa Benson Mwakyembe MTanzania(kushoto) akimtwanga Kakamde Charles wa Uganda wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki Mwakyembe alishinda kwa K.O raundi ya sita.

Saturday, May 21, 2011

KIMBEMBE CHAANZA MISS UNIVERSE KAMBINI..!!


      Warembo wa miss UNIVERSE wakiwa katika pozi wakati wa utambulisho kwa waandishi wa habari
 Warembo wa miss UNIVERSE kutoka mikoa tofauti ya Tanzania wakiwa katika pozi
Washiriki wa shindano la kumsaka miss Universe wameingia kambini kujiandaa na shindano hilo ambalo mshindi atakwenda nchini Brazil kushiriki shindano la DUNIA.
DK.KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA SHEIKH YAHYA HUSSEIN
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika msafala wa kuelekea malaloni alipozikwa marehemu sheikh yahya hussein.
msafara wa Rais wa jamhuri ya muungano Dk.JK KIWETE ameongoza maelfu ya waombolezaji waliojitokeza katika mazishi ukibeba jeneza la marehemu kuanzia Magomeni Mwembechai hadi msikiti wa Manyema Kariakoo na kisha Tambaza makaburini kwa miguu na hawakutaka jeneza lake libebwe kwa gari!





KEISHA COLE NA BOBBIE KUOANA HIVI KARIBUNI

Wedding season is here! First up on the celebrity wedding rumor mill is your girl Keyshia Cole and her NBA baller fiancé, Daniel ‘Boobie’ Gibson.
Keyshia set off alarms on Twitter last night when she appeared to tweet that she was finally ready to officially become a Mrs


Marekani hatimaye itazungumza na Taliban

Alipohojiwa na BBC, kabla ya kuanza ziara yake Uingereza Jumatatu, Rais Obama ameonesha kuwa atakuwa tayari kuamrisha operesheni nchini Pakistan, dhidi ya kiongozi mwengine wa Al Qaeda au Taliban.
Obama akizungumza na Andrew Marr wa BBC


    Ingawa Rais Obama alisema yuko tayari kuchukua hatua dhidi ya Mullar Omar kiongozi wa Taliban, lakini kauli yake ilikuwa tafauti kuhusu vita dhidi ya Taliban nchini  Afghanistan.
    Alifahamisha wazi kuwa vita virefu kabisa vya Marekani vinaweza kumalizika kwa mazungumzo na adui:
"Hatuwezi kumaliza tatizo hili kwa vita.
    Tunachoweza kufanya ni kutumia mafanikio tuliyopata kijeshi kutafuta suluhisho la kisiasa.
Inamaanisha kuwa hatimaye lazima tuzungumze naTaliban, ingawa tumeweka shuruti kabla ya mazungumzo ya maana kufanyika.
   Taliban lazima ikate uhusiano na Al Qaeda, iache kutumia nguvu, na itabidi iheshimu katiba ya Afghanistan."

BREAKING NEWS..!! MACHO MAN AFARIKI DUNIA

 
This is a sad day for Wrestling fans everywhere.
The Macho Man Randy Savage died today in a tragic and untimely car accident after suffering a heart attack while driving.  The pain was so severe that he lost control of his car and perished in a fatal accident that occurred shortly after.
His wife of one year was in the car with him during the accident and suffered only minor injuries.
The Macho Man was 58 years old.  God rest his soul.

 


EXCLUSIVE:AMINI AMLIPUA LINAH..!!
  Msanii Amini amefunguka kimya kimya kupitia kwa rafiki zake wa karibu na kusema ni kweli lina alikuwa anamsaliti ndiyo maana alikuwa anapadwa na hasira mpaka kufiki wakati mwingine kumshushia kipondo demu wake Linah.
  Wachunguzi wa mambo wanasema hofu ya kisanaa imetanda kwa Linah kwa kuwa nyimbo nyingi zilizomfanya Lina kuvuma zilitungwa na Amini,je gemu ndo litamgomea binti huyo ama itamlazimu atafute mpenzi msanii mwenye kipaji cha utnzi kama amini ili aendelee kushine kwenye gemu.




VIJANA WAANDAMANA KUPINGA UKOSEFU WA AJIRA HISPANIA
Maelfu ya waandamanaji wamekesha katika medani ya kati ya mji wa Madrid ingawa mkusanyiko huo umepigwa marufuku na tume ya uchaguzi, kwa sababu ya uchaguzi wa majimbo wa hapo kesho.
Maandamano ya Madrid

Wimbi hilo la maandamano lilianza siku 6 zilizopita, na kusambaa katika miji kadha ya Uspania.
Maandamano yanaongozwa na vijana waliochoka na ukosefu wa ajira, ambao umefikia asli-mia-45% kati ya vijana, na rushwa na hisia kuwa wanasiasa hawawakilishi wao.
Mamia wameikalia medani ya Puerta del Sol kila siku, na wengine maelfu wanajumuika nao usiku.
Polisi wanasema waandamanaji elfu 25 walijaa katika medani na kufurika katika barabara za kando kando.
Saa sita za jana usiku, wakati amri ya kupiga marufuku maandamano hayo ilipoanza, umati huo ulikaa kimya kwa dakika, kisha ukaripuka kwa zomeo na kelele.
Tume ya uchaguzi ya Uspania ilitoa amri kuwa watu watawanyike jana usiku ili, "watu wapate muda wa kutafakari", kabla ya uchaguzi wa majimbo na serikali za mitaa utaofanywa kesho.
Lakini hadi sasa polisi hawakuingilia kati, na idadi ya waandamanaji inazidi kuongezeka.





CASSIE ATUPIA PICHA ZA UTUPU WAKE KWENYE MTANDAO

Cassie

Msanii Cassie ambae ni mpenzi wa Diddy ameibuka kwa mara pii kwa kutupia picha yake ya utpu kwenye mtandao bila kusita.




LIL ROMEO AMSANUA MPENZI WAKE

Lil romeo amebambwa akila denda na mwanadafada aitwae Kristie Alley"ultimate Hollywood cougar" wachunguzi wa mbo wanadai ukusiano huu upo kichinichini.




PICTURE OF A WEEK
Diana peter akiwa na rafikie home kwao
    Duru za habari zinadai kuwa chanzo cha kumwagana kwa wapenzi hawa ni kitendo cha Linah kufumaniwa na baadhi ya sms za kimahaba na mishtuko kadhaa ilimfikia amini kuwa anaibiwa kimapenzi.

Friday, May 20, 2011

BREAKING NEWS...SHEIKH YAHYA AFARIKI DUNIA


Mnajimu na Mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati,Sheikh Yahya Hussein amefariki dunia Ijumaa asubuhi jijini Dar es Salaam.
Sheikh Yahya amefariki dunia wakati akikimbizwa Hospitali ya Ukombozi iliyopo Morocco,jijini Dar Es Salaam na amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu na aliwahi kwenda India kwa matibabu.
Na kwa mujibu wa familia yake,Sheikh Yahya Hussein atazikwa kesho,Jumamosi mchana.....Mungu ailaze roho yake mahali pema....Ameen!!


 
KIPIGO CHASABABISHA LINAH AMKIMBIE AMINI
Linah
Amini 
Linah amesema kuwa hana tena uhusiano na boifriend wake amini ambao wote ni wasanii wa kizazi kipya “Tulikaa tukakubaliana na kila mmoja akaridhia kuwa iwe mwisho wa uhusiano wetu hivyo sababu siwezi kuweka wazi ila mashabiki wangu wajue tumeachana” ailisema linah.
Msanii Amini nae alisema“Dah! bwana ndiyo hivyo kila mtu kwa sasa yupo kivyake ila uelewe sipendi kuzungumzia uhusiano wetu sababu haunisaidii chochote katika muziki wangu.”
wachambuzi wa mambo wanasema kuwa wimbo aliouimba Linah wa Bora Nikimbie ulikua ni kutoka moyoni sababu inadaiwana Amini alikuwa akimpa kipigo Linah mara kwa mara kitendo ambacho alikuwa anakivumilia na kufikia hatua ya kusema bora akimbie


Nato yashambulia meli za kivita za Libya

Mashambulio ya anga kwenye meli za kivita za Libya
Majeshi ya umoja wa nchi za kujihami za Ulaya Nato yameshambulia kwa anga meli za kivita nane zinazomilikiwa na jeshi la Kanali Muammar Gaddafi katika uvamizi uliofanywa mjini Tripoli, Al Khums na Sirte.
Katika taarifa iliyotolewa, msemaji alisema Nato lazima ichukue "hatua madhubuti" kuzingatia kuongezeka kwa matumizi ya meli za kijeshi kushambulia raia.
Moto na moshi ulikuwa ukishuhudiwa kutoka kwenye meli zilizoshambuliwa kwenye bandari iliyopo kwenye mji mkuu.
Wakati huo huo, kiongozi wa waasi wa Libya ameomba msaada wa kimataifa kwenye miji iliyo milimani magharibi mwa Tripoli.
Taarifa iliyotolewa na muungano huo wa kijeshi ilisema mashambulio yaliyofanywa siku ya Ijumaa yameonyesha kuwa Nato " ina nia ya kuwalinda raia wa Libya, kwa kutumia nguvu zinazostahili na kwa kiwango kinachofaa."
Naibu kamanda wa Nato nchini Libya, Admeri Russel Harding alisema, "Meli zote zilizolengwa jana usiku zilikuwa za kivita bila kifaa chochote cha raia kushambuliwa."
Haijafahamika kama kuna yeyote aliyeuawa.

 

Thursday, May 19, 2011

BREAKING NEWS..!! OSAMA ACHEZA FILAMU YA NGONO..!!

0518_oooohsama_hustler_ex_tmz
        It's called "This Ain't Osama bin Laden XXX" -- and the porn studio claims Osama's secret porn stash was a major inspiration ... telling us, "We're pretty sure from what we've heard that bin Laden was a big fan of Hustler. He was looking at porn, now porn is looking at him."


T-PAIN AMZIMIA KESHA INOMA NOMA..!!

Msanii Tallahassee Pain "T-Pain" na Mkali wa Pop/Female Rapper Ke$ha wameonekana wamepiga picha ya kimahaba  na kwa sasa kuna uvumi kuwa wanatupa mbicji
T-Pain na Ke$ha walionekana jijini Las Vegas,na walikuatana weekend moja kwenye show ya Wango Tango na T-Pain na kuanza kumfukuzia.
  kutupia kwenye Twitter T-pain alisema “Usiku wa jana nilimzimia sana Ke$ha,wala siku-share nae mapenzi,ila namzimia coz anajua kutupia akitaka kufanya showz” na baadaye Ke$ha naye akajibu “hata mimi nakuzimia T-Pain,usikonde wala nini” na baadaye kwenye tweeter zikatupiwa picha zao zilizoandikwa K-Pain aka Ke$ha-Pain.


HALI TETE KWA WILLIAM LUKUVI NA CYRIL CHAMI
Mh.William Lukuvi
Kwa mara nyingine,KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataja vigogo na watendaji wa serikali wakiwamo mawaziri wawili na wabunge akiwatuhumu kufanya ufisadi wa kujigawia vitalu vya uvunaji magogo katika msitu wa taifa uliopo Mufindi mkoani Iringa.
Miongoni mwa aliowataja ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, huku akisisitiza kuwa wamepata vitalu hivyo ‘kifisadi’.
Dk. Slaa aliwataja mawaziri hao na watuhumiwa wengine wakati akihutubia maelfu ya wakazi wa Mafinga katika mfululizo wa mikutano ya hadhara na maandamano ya chama hicho yaliyoingia mkoani hapa jana.
Alisema hatua ya mawaziri hao kumiliki vitalu hivyo si haki, kwani inasababisha kuwapo mgongano wa kimasilahi baina yao na msitu huo ambao kwa nafasi zao kama viongozi wa kiserikali walipaswa kuusimamia kwa haki na uwazi ili uwanufaishe wananchi, hususan wakazi wa Mufindi.
Akifafanua hoja yake hiyo, Dk. Slaa alisema Dk. Chami kwa nafasi yake kama Waziri wa Viwanda na Biashara, ndiye mwenye jukumu la moja kwa moja kusimamia haki kwenye msitu huo unaotumiwa pia na Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi Paper Mills, lakini naye amechukua vitalu tena katika utaratibu aliosema si wa wazi.
Alisema mwaka jana waziri huyo akiwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara ndiye aliyeongoza kamati maalumu ya serikali iliyokwenda Mufindi kuchunguza mgogoro wa kiwanda hicho pamoja na msitu kinaoutumia, lakini kinyume cha kanuni za kibunge, kiongozi huyo wa serikali sawa na wenzake akiwamo William Lukuvi aliowataja, hawakusema wazi kama wana masilahi katika msitu huo.
“Naitaka serikali ieleze ugawaji huu wa vitalu vya msitu wa Mufindi ulitangazwa lini na utaratibu gani wa uwazi ulitumika ili kila Mtanzania wakiwamo wananchi wenyewe wa Mufindi wawe na haki ya kushindania vitalu hivyo.
“Pili, namtaka Chami na viongozi wengine wa kiserikali waliochukua vitalu vya msitu huo wajieleze kwa nini wasiwajibishwe kwa kumiliki vitalu vya msitu bila kutangaza wazi masilahi waliyonayo ya kiuongozi katika msitu huo.
“Tutawasha moto bungeni mpaka haki ya wananchi na msitu wao ipatikane, hawa ni mafisadi. Wakituzidi kwa wingi wao bungeni, basi tutafanya maandamano yasiyokoma nchi nzima hadi mafisadi hawa wawajibishwe na haki za wananchi zitimizwe,” alisema Dk. Slaa na kushangiliwa na umati wa watu.


Mkuu wa IMF Ajiuzulu

Dominique Strauss-Kahn
Mkuu wa IMF Dominique Strauss-Kahn mahakamani
Mkuu wa shirika la fedha duniani, Dominique Strauss Kahn amejiuzulu.
Taarifa hiyo ya kujiuzulu kwa Strauss Kahn imechapishwa katika wavuti wa shirika hilo.
Anasema amejiuzulu ili atumie muda uliobakia kujitea katika kesi inayomkabili ya kujaribu kumbaka mwanamke mmoja mjini New York.
Strauss Kahn ametuma taarifa yake kwa bodi ya shirika hilo. Amesema kuwa anakanusha mashtaka yote dhidi yake na amesikitishwa na kisa hicho kilichomkabili.
Shirika hilo limesema kuwa litatangaza hivi karibuni utaratibu wa kumteua mkurugenzi mpya. Kwa sasa John Lipsky ataendelea kuwa kaimu Mkurugenzi mkuu wa IMF.
Awali waziri wa fedha wa Marekani amesema kuwa mkuu wa shirika la fedha duniani (IMF), Dominique Strauss-Kahn, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu kumbaka mhudumu wa hoteli, hawezi tena kuendesha shughuli za shirika hilo.
Timothy Geithner ametoa wito kwa IMF kumteua rasmi kaimu mkuu wa shirika hilo.
Bwana Strauss-Kahn anazuiliwa katika jela moja mjini New York baada ya kukamatwa hapo jumamosi kwa kosa la kujaribu kumbaka mhudumu wa hoteli moja.
Strauss-kahn ambaye amezuiliwa katika gereza la wafungwa sugu la Rikers Islands mjini New York yupo chini ya ulinzi mkali kuchunga asijiue. Hii ni baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Wakili wa mwanamke huyo kutoka Guinea, Afrika Magharibi, anayemtuhumu Strauss-Kahn, amesema mteja wake amepata mshutuko ambao sio wakawaida.
Wakili huyo ameongeza kuwa kwa sasa yupo mafichoni na kwamba anajihisi ''Yuko pekee duniani''.
Strauss-Kahn, mwenye umri wa miaka 62, anakabiliwa na mashtaka saba dhidi yake na iwapo atapatikana na hatia, atahukumiwa kifungo cha hadi miaka 25 jela.


 AMBER ROSE NA MAUZO YA FRONT PAGE
Amber rose amepata shavu la kuuza front page katika jarida la king kwa mara nyingine.

Wednesday, May 18, 2011

WEMA SEPETU MCHARUKO WAMPANDA AMSUTA CHAZ BABA

               Chaz baba akipata mafundo ya mate toka kwa wema enzi za uhai wa penzi lao
      Mrembo alietumia nafasi ya sanaa vibaya Wema sepetu amefunguka dhidi ya tuhuma zilizotapakaa kila kona ya nchi kuwa karudiana na Chaz baba na kuwa hamtaki tena Diamond kwakua hayawezi mabo ya kitandani.
                 Wema alisema kuwa bado anampenda sana Diamond na hana hisia zozote za kuachana na kijana huyo msharobalo alietingwa na mawazo ya kuachwa muda wowote kwani ndege usipomshika vizuri hukuachia manyoya ndiyo hali aliyonayo diamond kwa sasa.
                 "Chaz baba nilishamwaga na nilishamwambia kuwa siwezi kuwa nawe tena ila anatumia magazeti kuandika habari za uongo kwani mimi ndiye niliempa umashuhuri mpaka akawa anaandikwa mara kwa mara sasa ameona haandikwi kama zamani ndiyo maana ameamua kutafuta ujiko kupitia mimi" wema alitonya haya kwa kimombo.
                  Inasemekana Chaz baba amekuwa akimsumbua wema katika simu yakati za usiku kiasi cha mrembo huyo kutaka kubadili namba ya simu na pia inasemekana picha zilizotumiwa ni za zamani ambazo chaz baba alimpiga ambazo public haikupata nafasi ya kuziona kumbe ilikuwa ni mbinu ya kuuza tu.




WWW.REWIND...!!
MISS ELIEUZA UTU KWA OFA ZA BIA
Bia tamu ila usizidishe dada siku nyingine,pombe si chai dada...
          Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video Queen’, amekumbwa na aibu ya karne baada ya kufakamia pombe na kulewa tilalila.
           Tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada, Ilala, Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumamosi ambapo kulikuwa na shindano la kumsaka Miss Dar City Centre 2011-12.




DADA YETU BHOKE NAE AANZA NGONO
Bhoke and Ernest Get Steamy     Mtanzania Bokhe na Erenest wameanza kupeana denda ikiwa ni dalili za kutupa mbichi waziwazi katika kibwawa cha kuogelea.
    Akirudi tunampokea kwa matarumbeta na msafala wa magari kana kwamba alikuwa anafanya mambo ya msingi sana,watanzania bwana!!.



 HUYO NDIE DEMU ALIEBAMBWA AKILA DENDA NA KANYE WEST



     It looks like Mr. Kanye West is really taking a lesson from life and instead of trying to turn hood rat trash into D list celebrities he is restricting himself to dating only high class fashion models. Earlier in the week he was caught locking lips with a random white woman on a balcony in Cannes.
      Well it turns out that this random chick is actually a French model and actress.  Her name is Virginie Maury and we’re sure you can tell from the image above that she is smoking hot!
In reality, Kanye is an A-list star so it only makes sense that he dates within the upper crust of society.  So Kanye, please leave the hood bucket strippers alone.



Mancini asema Tevez atabakia Man City

Meneja wa Manchester City Roberto Mancini amesema nahodha Carlos Tevez anataka kuendelea kubakia katika klabu hiyo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stoke katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka ya England.
Carlos Tevez
Carlos Tevez
         Mustakabali wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina ulikuwa katika hali ya wasiwasi tangu alipowasilisha barua ya kutaka kuhama klabu hiyo mwezi wa Januari.
       "Anao mkataba wa miaka mitano na ametuambia anataka kubakia," amesema Mancini baada ya kumshuhudia Tevez akifunga mabao mawili yaliyoinyanyua timu hiyo hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.
Mancini ameongeza kueleza: "Aliwahi kusema hapo awali. Hana tatizo lolote."
      Matamshi ya Mancini yanaonekana kupingana na yale yanayotoka kinywani mwa Tevez mwenyewe.
Mara tu baada ya kunyakua Kombe la FA siku ya Jumamosi kwa kuifunga Stoke bao 1-0, Tevez alisema "kuna jambo linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi na hili ni suala pana kulijadili kati yangu na familia yangu".
       Na imekuwa ikifikiriwa kwa mapana kwamba Tevez atachagua kwenda kucheza soka Hispania ama Italia mwishoni mwa msimu.
Lakini kwa mujibu wa Mancini: "Nadhani atabakia hapa mwaka ujao. Hana tatizo lolote.
"Nimezungumza naye mara nyingi katika siku 20 zilizopita. Ni maoni yangu kwamba Carlos atabakia hapa masimu ujao.
      "Mwezi wa Desemba alikuwa na tatizo. Lakini mtu yeyote anaweza kubadili mawazo yake.
"Carlos ni mchezaji muhimu hapa. Carlos ameshafunga mabao 20 msimu huu. Kila mara tumekuwa tukisema Carlos ni mchezaji muhimu. Carlos ni Carlos. Ni mshambuliaji mzuri sana na kwetu ni mchezaji murua. Anajisikia vizuri.



RAPA MACHACHARI WA TWANGA DIOUF KUTOKA KIFUNGONI J'4

MSAFIRI Said almaarufu kwa jina la 'Diouf' anayejiita Babu wa Loliondo na mwingi wa ma a.ka kesho Jumanne anatarajiwa kumaliza adhabu yake ya onyo alilopewa na Meneja wa Bendi ya Twanga Martin Sospeter ambayo alipewa Ijumaa iliyopita kufuatia kufanya uzembe kazini.


Habari hiyo imethibitishwa usiku huu kwa njia ya simu na Sospeter kwamba Kesho Diouf anatakiwa kuripoti kazini baada ya kumpatia onyo kali na kutomruhusu kupanda stejini Ijumaa iliyopita wakati bendi ya Twanga ilipotumbuiza kwenye viwanja vya hoteli ya Lamada iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam.

"Kesho Diouf anatakiwa kuripoti kazini hivyo tunatumaini kila kitu kitakuwa sawa na yeye atarudi kazini akiwa na ari mpya"alisema.