Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, June 25, 2011

MISS SINZA YAPAMBA MOTO ...!!!

Washiriki wa mashindano ya kumtafuta miss Sinza wakiwa katika vazi la Redd's wakati w ufunguzi wa mashindano hayo
Miss wakicheza sebene la kwa pamoja
Washiriki wa miss Sinza wakiwa katika mstari wa pomoja wakati wa uchaguzi wa nane bora
mchakato ukiwa bado unaendelea

SEAN KINGSTON ATOLEWA HOSPITALI


Artist toka Jamaica,Sean Kingston kuwa ameshatoka hospitali,na kwa sasa amerudi home sweet home
Sean Kingston alikaa kwa wiki 3 hospitali ya Jackson Memorial na Kingston alifunguka kwenye tweeter na kutupia picha yake akionesha peace na kumshukuru mungu kwa kutoka hospitali toka alipolazwa May 29,201 alipopata ajali pande za Miami Beach akiwa na mdada Cassandra Sanchez


WATOTO WA MICHAEL JACKSON....WAPATA ZAWADI....!

MICHAEL JACKSON
Kesho Jumamosi ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha The King of Pop,Michael Joseph Jackson aliyetimiza miaka 2 lakini imekua ni siku muhimu sana kwa watoto wake wawili baada ya kupokea piki piki zilizozotolewa kwa heshima ya baba yao

Prince Michael,Paris na Prince Michael II watasubiri wasubiri wakue ili waendeshe piki piki hizo zilizokua na picha ya baba yao akiwa kwenye pozi kadhaa

Michael Jackson alifariki June 25,2009 na daktari wake binafsi Conrad Murray,aliingia matatazoni baada ya kifo hicho kwa uzembe na hukumu yake inatarajiwa kutolewa September 8,2011

Wednesday, June 22, 2011

MISS KAGERA 2011 IMEIVA 20% KUJIRUSHA NA WAREMBO


NI JUNE 24 KATIKA UKUMBI WA LINUZ CLUB BUKOBA MJINI

Majina Warembo hao ni Janeth Abdul, Jacklin John, Silviana Anatory,Beatrice Marwa, Karen Mutesi,Daisy Apondi, Merina George, Edisa Sixmund.

IMWEDHAMINIWA NA REDDS ORGINAL, VODACOM, COCACOLA, LINAZ NIGHT CLUB, MICHUZ BLOGSPOT, UNIQUEENTERTZ BLOGSPOT, RADIO KASIBANTE, RADIO VISION FM, na CHANNEL 4 TELEVISION ya hapa Bukoba.

Msanii 20% atashusha burudani kiingilio ni sawa na bure.

CONSOLATA LUKOSI BALOZI WA REDDS ANAYETAMBA KWA UBORA 2010-2011


Balozi wa Redds 2010 Consolata Lukosi wakati wa mashindano ya miss Chang'ombe mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa katika pozi na kamera yetu.


 Balozi wa Redds 2010 Consolata Lukosi akiwa na Bahati Chando miss Ilala 2010 na Salma Mwakalukwa Miss Ilala II 2010 wakati wa mmashindano ya miss Chang'ombe mwishoni mwa wiki iliyopita


 Balozi wa Redds 2010 Consolata Lukosi akiwa na Salma Mwakalukwa Miss Ilala II 2010 wakati wa mashindano ya miss Chang'ombe yaliyofanyika ttc chang"ombe jijini Dar es salaam.





MISS SINZA KUALAMBA LAKI SITA

MSHINDI wa taji la Miss Sinza 2011, anatarajiwa kuondoka na zawadi ya fedha
taslimu Sh 600,000 katika shindano litakalofanyika Ijumaa kwenye ukumbi wa
Vatican, uliopo Sinza, Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Hadees,
jijini Dar es Salaam jana, mratibu wa shindano hilo, Titina Makutika, alisema
kuwa mshindi wa pili atazawadiwa Sh 400,000, wakati wa tatu ni Sh 300,000.
Alisema kuwa mshindi wa nne na wa tano, kila mmoja ataondoka na Sh 200,000,
wakati wa sita hadi 15, kila mmoja atapata kifuta jasho cha Sh 100,000.
Titina alisema kuwa shindano lao linatarajiwa kusindikizwa na burudani kutoka
kwa bendi ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu na wasanii kadhaa wa Bongo Fleva.
Alisema kuwa maandalizi ya shindano hayo, yanaendelea vizuri na kwamba shoo yao
inatarajiwa kuwa katika ubora wa hali ya juu.

“Kutokana na warembo tulionao, tuna imani taji la Miss Kinondoni 2011, litatua
Sinza, ikiwa ni pamoja na lile la Miss Tanzania.
Aliwataja warembo watakaopanda jukwaani siku hiyo kuwa ni Stellah Moris (20),
Husna Maulid (19), Hanifa Halfani (18), Naomi Jones (19), Joyce Raphael (18),
Asha Julius (18), Anna Gerald (20) na Mariam Almas.
Wengine ni Felista Philip (19), Pamela Gordian (19), Winnie Gerald (18), Grace
Revocatus (20), Hellen Masawe (18), Stellah Premsingh (20), Jacqueline Joachim
(19) na Evelyna Rwandala (20).
Shindano hilo limeandaliwa na kampuni ya Calapy Entertainment na kudhaminiwa na
Vodacom, Redd’s, Fabeck Fashion, Jambo Leo, Cloud’s FM


Monday, June 20, 2011

MISS KAGERA YAPAMBA MOTO JUNE 24

warembo wakiwa katika pozi la ufukweni
mambo yote tarehe 24 kagera
pozi la ufukweni hili
jamani hiiii haya tukutane juni 24

Sunday, June 19, 2011

RAIS WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA

FREDRICK JACOB TITUS CHILUBA
    Rais wa zamani wa Zambia,Frederick Jacob Titus Chiluba,amefariki akiwa na umri wa miaka 68
   Bwana Chiluba amekuwa na ugonjwa moyo kwa miaka kadha na aliiongoza Zambia kwa kwenye miaka ya 90, na baada ya kustaafu alishtakiwa kwa sababu ya rushwa.
   Frederick Chiluba alipata urais wa Zambia November 2,1991 – January 2,2002 wakati Afrika inaanza kuingiia katika demokrasi ya vyama vingi,Kabla ya hapo alikuwa kiongozi wa wafanyakazi na baada ya kuondoka madarakani mrithi wake,Levy Mwanawasa, alimshtaki kwa shutuma za rushwa
   Baada ya kesi ya miaka 6 kuhusu ubadhirifu wa mali ya taifa,,Frederick Chiluba aliambiwa hakuwa na makosa,Lakini katika kesi nyengine iliyofanywa katika mahakama makuu ya 
   London,Chiluba alikutikana na hatia ya kuiba mamilioni ya dola ya fedha za serikali ya Zambia,kwa kutumia akaunti kwenye mabenki ya London



 AMBER ROSE ATAMBULISHA  WIZ KHALIFA  UKWENI....!!!

WIZ KHALIFA vs AMBER ROSE
Uhusiano kati ya Amber Rose na Wiz Khalifa umefikia level ya hali ya juu, baada ya Amber Rose kumtambulisha Wiz kwa familia yake
Wiz Khalifa alikutana na Baba wa Amber Rose na wadogo zake walipokua back stage kwenye show na Amber Rose alitupia kwenye kwenye Twitter akifunguka kuwa “anamefurahi sana Wiz Khalifa kukutana na ndugu zake
Amber rose naye alikushakutana na Mama yake Wiz Khalifa aitwaye Sherry M. Thomaz mwanzoni mwa mwaka huu

Wednesday, June 15, 2011

BREAKING NEWZZ.. BAMBO APATWA NA AJALI,AVUNJIKA MGUU


Dickson Makwaya aka Bambo, amepata ajali jana usiku pande za Kigogo Round About akiwa kwenye pikipiki akielekea nyumbani kwake Kigogo maeneo ya Darajani na waligongwa na daladala aina ya coaster na amevunjika mfupa wa paja na kupata majeraha kichwani na mkononi ila dereva hali yake taabani kidogo na kwa sasa Bambo yuko MOI akisubiri kufanyiwa upasuaji
 Dereva wa Coaster aliyewagonga alikimbia na wasamaria wema walimfatilia na kumkamatia pande za barabara ya Coca Cola-Mikocheni.




RIHANNA AJIWEKEA ULINZI WA CHUCHU ZAKE DHIDI YA WAKWALE
rihanna_boob_guard.jpg
While it's common for celebrities to hire bodyguards, singer Rihanna has gone a step further and kept a booby guard to protect her assets from being groped in public. Apparently one lucky fellow has landed the job of Rihanna's 'boob minder' when she steps out wearing risqué clothes. And not surprisingly the man is totally dedicated to his job.
Recently, the booby guard, who was pictured cupping her assets in Australia a few months back, kept his eyes on the prize while escorting Rihanna after a club gig in Montreal, reports Sun.uk.
Considering Rihanna's penchant for revealing dresses, seems like this man has his hands full!




MODEL OF AWEEK :JENNIFER SKYE
Jennifer Skye
Tunaposema mwanamke yuko sexy ndio hivi sasa!

 

MISS KILIMANJARO WAREMBO WATOANA MACHO..!!

Mrembo wa Miss kilimanjaro 2011 akiwa aktika pozi la jioni
Hapo je mmeniona jamani..!
Mambo mwendo kilbolibo bado siku mbili tu ifike jumamosi siku ya shindano
Wadau mnaniona hata mguu upo..chek hapa.
Watoto wa kichaga si bure aise...
Sho ni june 18 katika kumbi wa salsanero kiinglio ni 10,000/= viti vya kawaida na v.i.p ni 30,ooo/=




MISS DAR INTER COLLEGE KUPAMBWA NA DULLY SYKES

Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Dar Inter College litakalofanyika Juni 17, Ijumaa, wiki hii kwenye ukumbi wa Sun Cirro uliopo Sinza jijini Dar.

Mazoezi ya warembo kucheza dansi yanaendelea kambini hapo
Kila mshiriki yuko tayari
Washiriki wakijinoa kwaaili ya shindano hilo.



MIJENGO YA MASUPER STAA HUKO HOLLYWOOD

Actoress Sandra Bullock
Justin Beiber 

Mary J blige

Angeline Jolie na Brad Pit wamejihifadhi hapa

Paris Hilton Yupo hapa kwa sasa

Mjengo wa Jennifer Lopez

Tuesday, June 14, 2011

MISS KAGERA 2011 YAJA JUU NI 24 JUNE

Warembo wnaowania taji la Miss Kagera 2011 wakiwa baadhi katika picha kama wanavyoonekana hapo juu ambapo june 24 watapanda jukwaani katika ukumbi wa Linuz club usiku huo.
Mnanionaje wadau... kARIBUNI 24 JUNE KATIKA UKUMBI WA LINUZ CLUB...Burudani toka kwa 20% itakuwepo na wasanii wengi pamoja na bendi mbalimbali.





MISS MULEBA ILIKUWA HIVI
Msundi wa kwanza ni Daisy Apondi wapili ni Merina George na watatu mi Edisa Sixmund.
Washindi wa Miss Muleba ambao wameingia moja kwa moja mashindano ya Miss Kagera 2011 wakiwa na furaha baada ya kutangazwa washindi.
Mermbo alietia fola kwa kubuni vazi la ubnifu lenye asili ya mkoa wa kagera ambapo ametumia majani ya mgomba kubuni vazi hilo.




NGONO ZEMBE ZA BHOKE ZILICHANGIA KUMWANGA BBA
Dada yetu bhoke akiwa amelewesha kimahaba hapa hakumbi chips za zege bongo.hureeee..!!
Hapa bhoke akipewa sindano za moto kitandani na kutupiwa mbichimbichi na kijeba huko ndani ya jumba la BBA