Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, August 28, 2011

REDD'S YAKABIDHI ZAWADI KWA WAREMBO WA MISS TANZANIA

 Queen wa Ilala SALHA akipokea zawadi tokwa kwa brand manager wa REDD'S ni baada ya kushinda mbio.
 Jenifer kakolaki(Ilala 3)akipokea zxawadi ni baada ya kushinda kuruka long jump.
Alexia(Ilala 2) pia alipata zawadi siku ya michezo kwa warembo.
 Mrembo Leyla Juma ambaye ni Miss Ruvuma akiwakilisha nyanda za juu akipokea zawadi baada ya timu yake Vodamail kunyakua ubingwa.Leyla alikuwa ndiye Captain.
 Rose mrembo toka kanda ya kaskazini akitokea kilimanjaro jana alitwaa ubingwa wa kucheza.
Husna toka kinondoni alitwaa ubingwa wa kuogelea.
   Warembo wakisakata magoma ile mbayaaa..
     Miss Lindi nae hakuwa nyuma  Dusherere..dushe.dusherere..!!
       Alaj..alaj....
 Kutoka kushoto ni Shah(Mwandaaji wa Lindi),kijana wa shah,Lundenga, kijana flani,Mkama(Mwandaaji wa Mara) na mtoto wa lundenga.
 Kutoka kshoto ni Csca Makoye,Sameer,Martina na Vicky.
 Mdaharo wa beach huu...
Lina alikuwa jaji wa kucheza.
 Kutoka kushoto ni Edwini(Edge Entertaiment),mrembo Rose na Brian kikoti(Bamm Solution).
Mrembo,Yasoni,Edwn,Rose na Brian wakiwa katika picha ya pamoja na warembo wao Rose kutoka kilimanjaro.


 GADAFFI AONEKANA KWENYE NDEGE YA MUGABE

Colonel Muammar Gaddafi followed by his bodyguards Robert Mugabe, Zimbabwean President
 Colonel Muammar Gaddafi and his female bodyguards, pictured left in a file photo, are said to have fled to Zimbabwe on the invitation of the country's president, Robert Mugabe, right


VIVICA FOXX NA BYFRIEND WAKE WATINGA KWENYE BIRTHDAY


Vivica Fox and her boo piece Slimm were spotted at the Polar Lounge in New York City last night where they helped celebrity publicist BJ Coleman celebrate his 31st Birthday. Vivica is looking good on Slimm who ditched his signature shades for new pearly whites and a buffer body. Upgrade!
GOLDBERG ARUDI ULINGONI
0826-goldberg-wwe-EX
For the first time in 7 years ... Bill Goldberg is FINALLY GONNA WRESTLE AGAIN -- and uniqueentertz blog has learned it's all to raise money for charity.
Goldberg -- the most famous Jewish wrestler of all-time -- tells us he is in negotiations to wrestle in a match in Africa next month and the proceeds will benefit various charitable organizations.

Saturday, August 27, 2011

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WAJIACHIA KWENYE MICHEZO


Issa Mnari kwa msosi nomaaa!!
kamati ya Miss Tanzania iipata misosi.
     Mroki nae yumo aiseee tonge nyama..tonge nyama..
                         Salha akitizama kamera wakati wa kupata misosi na warembo.

Jennifer kakolaki akibugia ubwabwa kimapozi.
Swaiba Mroki huku coka huku sprite mkononi nyama teh.. teh !!

 Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 leo walikutana na kushiriki michezo ya aina mbalimbali na hapa nawaletea baadhi ya michezo hiyo ukiwepo wa kuogelea. Hawa walionesha kushinda lakini baade walivutwa.
 upande wa pili mambo yalikuwa hivi na timu hii iliibuka washindi. Licha ya kamba kukatika mara mbili.
 furaha ya ushindi kwa timu ya wavuta kamba. 
 Warembo wa Vodacom walifungua dimba na kati ya timu za M Pesa na Voda Jamaa.
 Hashimu Lundenga nae alishiriki katika soka na hapa akifanya vitu vyake.

VODACOM MISS TANZANIA KUCHUANA KATIKA MICHEZO LEO


Warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, leo wanatarajia kuchuana katika kuonyesha vipaji vyao katika michezo, kwenye ufukwe wa Jangwani Sea Breeze, Dar es Salaam.
Tukio hilo litakaloanza saa 3:00, ni miongoni mwa vipengele (fast tracks) vitano vya awali vya kinyang’anyiro hicho ambapo washindi hutinga moja kwa moja katika hatua ya nusu fainali.
Tayari warembo wawili wameshapata tiketi ya kuingia nusu fainali ya mashindano hayo ambao ni Mwajabu Juma aliyeshinda taji la Top Model na Tracy Sospeter aliyeshinda taji la Miss Photogenic.
Mbali ya vipengele hivyo, vingine vilivyobaki ni Kipaji (Talent) na Mvuto (Personality) ambapo mshindi wake hutangazwa kila wiki kabla ya fainali za taifa zilizopangwa kufanayika Septemba 10, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano hilo, Hashim Lundenga, michezo itakayohusishwa leo ni riadha, mbio za magunia, kuogelea, kuruka chini, mpira wa miguu, mpira wa pete, kuvuta kamba na mingineyo.
Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, limedhaminiwa na Vodacom, Redd’s Original, New Habari (2006) Ltd, Star TV, Giraffe Hotel na Papa Zee Entertainment.


KIM KARDASHIAN ARUDI TOKA HONEYMOON
Kim Kardashian and new hubby Kris Humphries were spotted arriving back home in LaLa land after a mini honeymoon in Europe. The couple was snapped by the paps at LAX Airport last night looking refreshed and relaxed.


RIHANNA KIDEONI TENA
The video shows us different images from her LOUD Tour. We get to see RiRi doing all sorts of rockstar sh*t, posing with fans, getting on private jets, hanging out with her BFF Melissa and of course dancing her a** off on stage. Avril Lavigne even makes an appearance.
Our favorite Barbadian beauty, Rihanna, just hit us with her newest video for "Cheers (Drink To That)" off her LOUD album.

Friday, August 26, 2011

BREAKING NEWZ: TIBA YA LOLIONDO YALETA MAAFA MAKUBWA-MADAKTARI

     Chama cha Madaktari nchini (MAT) kimesema tiba inayotolewa na Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila, kwa njia ya kikombe kwa ajili ya kutibu magonjwa sugu, imeleta maafa makubwa kwa wagonjwa. 
    Makamu wa Rais wa MAT, Dk. Primus Saidia, alitoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana suala zima la magonjwa yasiyoambukiza na tiba mbadala. Alisema kuwa wagonjwa wengi baada ya kunywa kikombe cha Babu waliacha kunywa dawa za magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua na kusababisha wengi wao kupooza, kufa na wengine hali zao kuzidi kuwa mbaya.
     “Ni vyema wananchi walio wagonjwa wa shinikizo la damu, kisukari, anemia na magonjwa mengine wakafuata ushauri wa madaktari badala ya kulaghaiwa na wachache,” alisema Dk. Saidia bila kufafanua zaidi. 


BELLA KOMBO-MSHIRIKI WA BSS MWENYE MVUTO WA KIPEKEE
Mshiriki wa shindano hilo Bella Kombo akiwa kwenye pozi lakimahaba zaidi,nikweli usiopingika bella she is so sexy & Hot.


BIFU LA LIL' WAYNE NA JAY-Z LAFIKIA PATAMU

So did Lil Wayne take shots at Jay-Z? Leave it to Weezy to have the most ambigous answer. Let us fill you in...
Lil Wayne's highly anticipated upcoming album, Tha Carter 4 not only leaked last night, but it proved to be the root of almost every trending topic on twitter.
Everyone and their mothers were buzzing about the track called "It's Good" where the self-proclaimed 'greatest rapper alive' took shots at Jay-Z. It gave us a "did he just really say that?" moment. Would someone actually have the balls to diss Jay-Z, and on top of that, would Lil Wayne actually be that person?


KANYE WEST KUTENGENEZEWA DOCUMENTARY
A drama society from the University of Sydney in Australia has confirmed they will be staging an hour-long production based on Kanye West's life.
Entitled Kanye: The Musical, which will document Kanye's "humble beginnings writing beats for Jay-Z to the top of the pops remixing Daft Punk."


Thursday, August 25, 2011

WAREMBO WA MISS TANZANIA WAPEWA ELIMU KUHUSU M-PESA

Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakijisajili katika huduma ya M Pesa baada ya kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma hiyo jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom.

Meneja Huduma wa Bidhaa za Vodacom, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo juu ya huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha na mabaunsa waliovalia vazi la M Pesa “m pesa Man” baada ya warembo hao na wenzao kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma ya M Pesa jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom. Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha na mabaunsa waliovalia vazi la M Pesa “m pesa Man” baada ya warembo hao na wenzao kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma ya M Pesa jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom.


Afisa Utawala wa Huduma ya M Pesa kutoka Vodacom, Emmanuel Pallangyo akigawa viperushi vilivyo na maelezo ya namna huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana.


BREAKING NEWS: DMX ATIWA MBARONI
DMX was arrested again in Arizona last night, this time for speeding. DMX was allegedly driving 102 mph in a 65 zone.
Law enforcement tells UNIQUEENTERTZ BLOG ... the rapper was arrested again, after being pulled over last night in Arizona for driving 102 mph in a 65 zone.  And for good measure, Mr. X was driving on a suspended license ... so cops arrested him.He was booked for speeding, reckless driving, and the suspended license -- and has since been released on bond.

CHRISTINA ROC DA BEACH
 
She trying to be a model.


JADAKISS YAMKUMBA YA LIL'WAYNE NA JAY-Z
As Jadakiss is featured on Lil Wayne's new track, "It's Good" off his Tha Carter 4 album, it's no surprise that he has something to say concerning the song's now controversial lyrics.
The track is getting a ton of buzz due to the fact that Weezy is taking shots at Jay-Z on it, so as a good friend of Jay-Z, Jadakiss is running to his own defense. Makes sense, right?

 
ANNA LUKINDO ATINGISHA UK
Anna Lukindo(katikati0 akiwa_na Mariam Kilumanga(kulia) pamoja na mamodo wake.
 URBAN PULSE ikishirikiana na Miss Jestina Blog inakuletea matukio katika picha ya Mtanzania mbunifu wa kimataifa Anna Lukindo
(anaetumia jina la Anna Luks) alipoonyesha mavazi yake ya kibunifu mjini London.