WAREMBO
sita waliofuzu kuingia fainali ya Shindano la ‘Cheza Vaa, Imba kama
Rihanna’, mapema leo ‘wamebambwa’ wakifanya mazoezi ya kuogelea katika
bwawa lililopo Hoteli ya The Atriums Sinza Afrika Sana, ambako
walielezea kufaidi mazoezi wanayopata kutoka kwa mwalimu wao kwani.
Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Thursday, March 22, 2012
MILLEN MAGESE KUSAKA WANAMITINDO - 22, APRIL, 2012.
Mwanamitindo
wa kimataifa wa Tanzania, Millen Happiness Magese ataendesha zoezi la
kutafuta wanamitindo wawili (kwa vijana wa kike na kiume) watakoshiriki
kwa mara ya kwanza katika maonyesho ya wiki ya Mavazi ya Afrika
Kusini (South Africa Fashion Week) tarehe 1 April mwaka huu.
Millen
atafanya zoezi hilo kupitia kampuni yake ijulikanayo kwa jina la
Millen Magese Group Company Limited chini ya mpango wake wa kuitangaza
Tanzania kupitia fani ya mitindo (Tanzania International Fashion Exposé
(TIFEX).
Alisema
kuwa wanamitindo wanaotaka kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania
katika SAFW kufika siku ya Jumapili tarehe 25 mwezi huu kwa ajili ya
mchujo huo kuanzia saa 8.00 mchana kwenye hotel ya Serena.
Alifafanua
kuwa anaamini kuwa wanamitindo wa Tanzania watakaopatikana katika
zoezi hilo wataiwakilisha Tanzania vyema katika wiki ya maonyesho ya
mavazi ya Afrika Kusini na kuitangaza Tanzania kimataifa kama
anavyofanya yeye kwa hivi sasa.
Alisema kuwa hiyo ni fursa pekee kwa wanamitindo kuweza kujitangaza wenyewe kimataifa na kufuata nyayo zake.
Alifafanua
kuwa wanamitindo wanaotakiwa kufika katika zoezi lazima wawe na vigezo
vifuatavyo:- Umri miaka 18 mpaka 24, urefu 1. 75m, hips 37cm (ukiwa na
nywele zako za asili) na kwa wanaume urefu ni 1.82m.
“Naamini
kuwa zoezi hili litawanufaisha wana mitindo wa kike na wa kiume wa
Tanzania na vile vile ushiriki wao katika SAFW na katika maonyesho
mengine ya mavazi nje ya Afrika na kusaidia kuitangaza nchi kimataifa,”
alisema Millen.
Alisema
kuwa lengo kubwa la kampuni yake ni kuendeleza fani ya uanamitindo na
vile vile kuitangaza Tanzania nje ya mipaka yake kwa kupitia fani ya
mitindo na hata kwa njia ya utalii.
Aliongeza
kuwa japo Tanzania ina wanamitindo wengi na wabunifu, bado kuna pengo
kubwa ukilinganisha na maendeleo ya fani hiyo katika nchi ya Afrika
Kusini na Nigeria.
Alisema
kuwa nchi hizo zimepiga hatua kubwa sana na yeye kuhamasika kuanzisha
kampuni yake iliyozinduliwa mwezi Machi mwaka jana kwa lengo la kuziba
pengo hilo na kuleta maendeleo ili wahusika wafaidike na matunda ya
fani yao.
Majaji wa zoezi hilo ni Ritha
Poulsen, Mustapha Hassanali na Khadija Mwanamboka na katika kuwekea
umuhimu zaidi mchakato huo, MMG imemkaribisha mwanamitindo maarufu,
Aminat Ayinde kutoka America Next top model cycle 12 kushuhudia zoezi
hilo.
BASATA KUVIJADILI VIKUNDI VYA UNENGUAJI VINAVYOKIUKA MAADILI
PRESS RELEASE
KUWEPO KWA VIKUNDI VYA WANENGUAJI NA BENDI ZINAZOKIUKA
MAADILI YA KITANZANIA
Katika siku za
karibuni kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili kupitia maonyesho ya
majukwaani na kazi mbalimbali za Sanaa.
Kutokana na hali hii, Baraza la Sanaa la
Taifa kupitia programu ya Jukwaa la Sanaa Jumatatu ya Tarehe 26/03/2012 litakuwa
na mada maalum ya Unenguaji na Maleba Katika Muziki.
Mada hii itakayowasilishwa na Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (CHAMUDATA) na asasi ya Sanaa ya Binti Leo pamoja na mambo mengine
itaangalia hali halisi ya Sanaa ya unenguaji, maleba na matatizo yaliyopo na
hatua zinazopaswa kuchukuliwa.
BASATA inatoa wito kwa wadau wote wa Sanaa
na wapenzi wa Utamaduni wan nchi yetu kujitokeza kwa wingi siku hiyo kushiriki
kuchangia mwelekeo mpya wenye maadili sahihi ya kitanzania.
Sanaa ni Kazi Kwa
Pamoja Tuikuze na Kuithamini.
Ghonche Materego
KATIBU MTENDAJI, BASATA
CHEKA VS MAUGO WAONESHWA MKANDA WA UBINGWA LEO
Akizungumza Dar es Salaam leo, Mratibu wa pambano hilo, Kaike Siraju alisema kuanikwa kwa mkanda huo kutaashiria kupamba moto kwa ambano hilo ambalo linatarajia kuwa katika ngazi ya Kimataifa ili kuweza kupatikana kwa mshindi wa halali na pia itafuta hisia za kuwepo na ubabaishaji katika pambano hilo.
JE WAMFAHANU VEMA ABIDA?

Super beautiful Habida is a mother of one and working on her debut
album after taking a break to attend to duties that come with
motherhood. She burst into the scene with a little Sunshine, a collabo
with household talent Nameless. She is genuine, a go getter and likes to
have a good laugh. Here’s a little bit about her…
1. In a nutshell who is Habida…? Habida is a mother, a wife and an artist. Habida is a spontaneous person, a lover, charitable, Kenyan, and very pro women!
1. In a nutshell who is Habida…? Habida is a mother, a wife and an artist. Habida is a spontaneous person, a lover, charitable, Kenyan, and very pro women!
2. I grew up listening to… Doris Day, Frank Sinatra, Marvin Gaye, Freddy Jackson, Anita Baker and Chaka Khan.

3. I have had a passion for music since… I was born I think LOL! I remember always being in front of the turn table dancing in my mothers’ clothes and jewelry.
4. I get my inspiration from… The people that
brought me up. Even from celebrities like Anita Baker. She is the
musician that made me do what I do today, and her story keeps me going
when I feel like I want to give up.
5. Apart from singing I can also… Act. I am an
actress by profession. I work on my brand behind the scenes, and do a
lot of charity. I spend a lot of time with my daughter and I am working
on a few things to be released soon.
6. I can never leave the house without my… Blackberry, lip-gloss and bottle of water
7. My number one role model is… Kimora Lee
8. I am currently working on… my Album release a lot more, but I’ll tell you that later
9. My best time ever growing up was when… my
parents, my sister and I would drive to Mombasa and we would stay at our
shamba house in Diani. We would sit under the stars and talk about
anything and everything.
10. Thai food, Jazz, my family, my shoes and handbags… these are a few of my favourite things
11. My advice for upcoming artists is… Don’t do
this if you don’t really love it, as the fame is not enough to keep you
going. Know who you are and be real with yourself, don’t be superficial
and think the limelight is enough!
ZIARA YA SEAN PAUL YAHAIRISHWA UGANDA

LIL' KIM AKIIMBA KATIKA BET's RIP THE RUNWAY

Lil Kim made her first televised performance in years last night as
part of BET’s Rip The Runway. After being introduced by bloggers The Fly Guys,
the Queen B hit the stage with a mean catwalk that rivaled the paid
models before going into a performance of ‘If You Loved Me’, followed by
‘It’s All About The Benjamins’ and ‘Crush On You’.
This was truly what Lil Kim needed to get back in the game. Her
energy was high throughout the entire performance, she didn’t use a
pre-recorded track and she acted as her own hype man for majority of the
performance which kept the crowd crunk. If she felt as though she had
something to prove, she definitely proved it.
ADRIANA LIMA IN SWIMMWEAR FOR VICTORIA'S SECRET SPRING 2012
Brazilian hottie Adriana Lima
sizzles in swimwear for Victoria's Secret Spring 2012 catalog. The
bronzed beauty was glowing under the sun to bring plenty of heat to the
book that will offer over 150 swim styles to choose from.
The Victoria's Secret Angel was photographed in Turks & Caicos
with fellow Angel Candice Swanepoel. Click the behind-the-scenes video
below where they talk sexy smack.
For instance Lima insists, "Even if you're shy, trust me, don't worry about it, put on the suit, you're gonna still look hot."
DMX MATATANI TENA..!!

DMX is on the hook for another $630,000 -- this according to a booking agency which claims X's legal problems torpedoed a lucrative international comeback tour ... and now, it's suing to get its money back.
The booking agency in question -- a company called Heavy Rotation -- filed the lawsuit in New York, claiming it struck an exclusive year-long deal with DMX in 2011 to book the rapper's concerts ... anywhere on the planet.
But according to the lawsuit, DMX was plagued with legal problems from the start -- a traffic violation in August, and two nasty child support disputes ... which led to a lien on the rapper's passport, preventing him from performing overseas.
According to the suit, HR bent over backwards to fix the legal issues -- coughing up nearly a hundred grand to cover bail, child support, and a slew of other legal bills ... hoping it would clear the way for the tour, a task that included lifting the lien on X's passport.
But HR claims its efforts were in vain -- because DMX continued to cause problems, hiring outside management that tried to book DMX on shows within the United States ... violating X's agreement with HR. On top of that, X couldn't resolve his passport issues ... and all concerts had to be canceled.
X's manager Jason tells a different story -- claiming DMX chose to sever all ties with HR after it put the rapper at risk with some unsavory business practices.
Wednesday, March 21, 2012
PROF. IBRAHIM LIPUMBA AFUNGUA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA KUU LA CUF
SITTA MGENI RASMI MEDIA DAY BONANZA 2012
WAANDISHI wa habari 1,500 wanatarajiwa
kushiriki kwenye bonanza la vyombo mbalimbali vya habari litakalofanyika
Jumamosi wiki hii ukumbi wa Msasani Beach Club, Dar es Salaam.
Bonanza hilo hufanyika kila mwaka
likiandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na
linajulikana kama Media Day Bonanza.
Lengo la bonanza ni kuwaweka pamoja
waandishi wote wa habari bila kujali ni wa siasa, michezo, uchumi, afya na mambo
mengine pamoja na wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari, ili kubadilishana
mawazo na kufurahi pamoja.
Maandalizi kuhusiana na bonanza hilo yapo
hatua za mwisho, ambapo bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ watatumika
kuburudisha washiriki, ambapo shughuli itaanza saa tatu asubuhi hadi saa mbili
usiku.
Pia kutakuwepo na wasanii wa muziki wa
kizazi kipya ambao tutawatangaza Alhamisi wiki hii, lengo ni kuwa na bonanza
tofauti na la miaka ya nyuma.
Mgeni rasmi katika bonanza hili atakuwa
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye pia ni Mbunge wa Urambo
Mashariki na aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta.
Pamoja na mambo mengine, Sitta atakabidhi
zawadi za vikombe na medali kwa washindi mbalimbali watakaoibuka siku hiyo, pia
atapata fursa ya kuzungumza na washiriki wa bonanza hilo.
Tunaomba vyombo vya habari ambavyo
havijathibitisha ushiriki wao kwa njia ya maandishi vifanye hivyo kama
vilivyoagizwa kwenye barua zao za mialiko, vinginevyo ushiriki wao
hautathaminika.
KENYA BEAUTY QUEEN CHOSEN AS OLYMPIC TORCHBEARER
Kenyans Evans Wadongo, Cecilia Mwangi, Asunta Wagura and Abbas Gullet
have been chosen to be Olympic Torchbearers ahead of the 2012 sports
event in London.
The four were chosen from 250,000 nominations for the ‘Moment to
Shine’ campaign, as it has been labelled by the London 2012 Organising
Committee.
The Kenyans were nominated by Samsung, who are one of the official sponsors of the event.
They will join close to 80,000 torchbearers chosen from around the
world to carry the lit golden torches for one hour, from one London town
to another.
The Kenyan group will all be bearing the symbolic torches on July 1;
Evans, Cecilia and Asunta in Solihull, while Abbas will bear the torch
in Evesham.
“We were chosen because of the community work we do,” Cecilia told
Capital Lifestyle, elated at being among those who will make history.
“I was selected as an anti-jigger campaign ambassador. It’s a
milestone for Ahadi Kenya Trust. It’s also a moment for Kenyan people to
shine and for the world to know our story,” she said. “It came as a
surprise.”
“We will also have a reception dinner afterwards,” says Evans, who
will be rubbing shoulders with iconic Senegalese musician Youssou Ndour
who is bearing the torch in Alcester on July 1.
“I feel proud and happy to be selected. It shows that people believe
in and are inspired by my work,” Evans added. “Samsung wanted people who
can inspire others and people whose work is widely known to make a
positive impact.”
Evans came into the limelight after being feted as a CNN hero in
2012, for founding a company that makes solar lanterns for masses in
Kenyan rural areas that cannot afford lighting at home. In doing so he
was hoping to also improve the health of the impoverished minorities,
who often get eye ailments because of using smoky uncovered kerosene
lamps.
Former Miss World Kenya Cecilia on her part is well known as a
crusader against jiggers, which are especially rampant in Central Kenya.
Abbas Gullet recently led the Kenya Red Cross Society in staving off a
horrific famine in the Horn of Africa region, and Asunta is the
Executive Director of KENWA, known as the first Kenyan to openly say she
is HIV positive and campaign against infections and related stigma.
The London 2012 website says the nominations were received between
May and June last year and successful nominees notified this month.
SEAN KINGSTON ASHITAKIWA KWA KUMZURU MWANAMKE

Sean Kingston has been accused of attacking a woman during his supporting act stint on Justin Bieber’s 2010 tour.
After landing at LAX on a flight from Miami earlier this week, 22-year-old Kingston was officially served, according to reports from Radar Online:
There has been no official word released from the Kingston camp as of yet.
Kind of hard to believe a big ol’ teddy bear like Sean Kingston could ever lay hands on a woman, don’t you think?.
After landing at LAX on a flight from Miami earlier this week, 22-year-old Kingston was officially served, according to reports from Radar Online:
Beautiful Girls singer Sean Kingston has been served with a civil summons and complaint in connection with a lawsuit to be filed alleging he was involved in the gang attack of a woman. Kingston…was served Friday night with the legal docs, linked to an incident that allegedly occurred after a concert in 2010 in which Kingston opened for the Baby singer.The private investigator who officially served the legal documents told Radar reporters he had no comment and was at LAX on official business.
There has been no official word released from the Kingston camp as of yet.
Kind of hard to believe a big ol’ teddy bear like Sean Kingston could ever lay hands on a woman, don’t you think?.
Tuesday, March 20, 2012
BASI LA PRINCES MURRO LAPATA AJALI MAENEO YA SENJELE MBEYA
Tukio
zima la Ajali mbaya la basi la Prince Muro iliyotokea jana Usiku maeneo
ya Senjele likielekea Tunduma. Mwendo kasi ndio chanzo cha ajali hiyo
mtu mmoja amefariki na wengine 14 ni majeruhi
Majeruhi ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema kwamba dereva huyo alikuwa mwendo kasi tangia walipo fika mikumi, Wameendelea kudai kwamba walimpa onyo mala kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliza na akaongeza mwendo kasi zaidi mpaka walipo pata ajali hiyo maeneo ya Senjele kuelekea Tunduma.
Habari kamili itakuja mpaka sasa kuna majeruhi 14 na mtu mmoja amefariki Dunia.
MKWASA AITA 25 WA TWIGA STARS
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars),
Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 25 kitakachoingia kambini
Machi 25 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya program yake ya maandalizi kabla ya mechi
dhidi ya Ethiopia.
Wachezaji walioitwa kambini ni Amina Salum (Lord Baden
Sekondari, Pwani), Asha Rashid (Mburahati Queens), Aziza Mwadini (New
Generation, Zanzibar),
Esther Mayala (Street Girls, Mwanza), Evelyn Senkubo
(Mburahati Queens), Fadhila Hamad (Uzuri Queens) na Fatuma Bashiri (Simba
Queens).
Wengine ni Fatuma Gotagota (Mburahati Queens), Fatuma Khatib
(Mburahati Queens), Fatuma Mustafa (Sayari), Fatuma Omari (Sayari), Hanifa Idd
(Uzuri Queens), Maimuna Said (JKT), Mwajuma Abdallah (JKT), Mwanahamisi Omari (Mburahati Queens) na
Mwanaidi Khamis (Uzuri Queens).
Mwapewa Mtumwa (Temeke), Rukia Khamis (Sayari), Semeni Abeid
(Tanzanite), Siajabu Hassan (Evergreen), Tatu Salum (Makongo Sekondari), Upendo
Jeremiah (Pangani, Tanga), Veneranda Mbano (Tanzanite), Zena Khamis (Mburahati
Queens) na Zena Said (Uzuri Queens).
AFYA YA KAMANDA GULUMO INAENDELEA VIZURI
Msanii
Mkongwe wa bendi Kwongwe ya Msondo Ngoma Music, Muhidini Gurumo akiwa
katika hospital ya Taifa Muhimbili, Dar es salaam jana, akipimwa mapigo
ya Moyo na Ofisa Muuguzi Msaidizi wa Hospital hiyo,Suraiya Mohamed
alipolazwa kufanyiwa uchunguzi wa kina toka mwishoni mwa
wiki iliyopita.
MWANAMUZIKI Wetu maarufu
wa bendi kongwe ya Msondo ngoma, Muhidin Gurumoaliyelazwa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili kwa ugojwa wa shinikizo ladamu anaendelea
vizuri.Akizungumza na Dar es Salaam jana,Msemaji wa bendi hiyo Rajabu
Mhamila'Super
'D' alisema Afya ya Gurumo inaendelea vizuri na wakati wowoteanaweza
kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo.Alisema kuwa madaktari wanataka
kuchukua vipimo vya mwisho kwa kinakujua kila kitu kinachop msumbua
katika mwili wake."Kwa sasa tunashukuru Mungu afya ya Gurumo inaendelea
vizuri tofautina mara ya kwanza na akiendelea hivi anaweza hakurusiwa
hivikaribuni"alisema Super D.Hata hivyo aliwataka wapenzi wa bendi hiyo kumuombea duwa mwanamzikihuyo ili apone upesi
pia aliongeza kwa kusema maonesho yao ya wikiihii ni kama ifuatavyo
Alhamisi watakuwa Mwandege Mkoa wa Pwani,Ijumaawatapiga katika viwanja
vya Lidaz Clab jumamosi watakuwa katikaviwanja vya TCC Sigara na
Jumapili watamaliza wiki endi katika ukumbiwa Max Bar uliopo Ilala
Bungoni alisema Super D.
WILL SMITH NA JADA PINKETT MAMBO BYEE..!!
Wil smith na mkewe Jada.
Will Smith and Jada were all about that PDA this past weekend as they
hit up a 76ers game in Philly with the kids. Jada, who’s been rocking a
long mohawk lately, made sure she let folks know that flame is still
burning as she kissed Will in front of thousands on the huge jumbotron
at the game. Their kids, Willow and Jaden as well as Will’s mother
Caroline were also spotted.
Tomorrow, Jada will release the music video to the song she wrote for Will titled, ‘Burn’ on facebook.
Tomorrow, Jada will release the music video to the song she wrote for Will titled, ‘Burn’ on facebook.
Monday, March 19, 2012
REBECCA MALOPE KUPAMBA TAMASHA LA PASAKA
Pia
kwaya mahiri ya Kinondoni Revival inayotamba na albamu yao mpya ya Mtu
wa Nne, inatarajia kutumbuiza katika tamasha la Pasaka na Mwinjilisti
Faraja Ntaboba kutoka DRC.
Mgeni
rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe. Baada ya kutikisa Uwanja wa Taifa,
mashambulizi mengine yatahamia kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Aprili 9
mwaka huu.
"Katika
tamasha la Pasaka mwaka huu, Rebecca Malope atapata fursa ya kuimba
nyimbo mbalimbali zilizomo kwenye albamu zake," alisema Msama.
Rebecca
amewahi kutamba na albamu za Saturday Nite (aliyoitoa Januari 1, 2009),
Hlala Nami (Novemba 11, 2003), Siyabonga (Desemba 21, 2000), Free at
Last (Novemba 18, 1997), African Classics (Mei 5, 2009) na Greatest Hits
(Januari 10, 2006).
"Bado
tunaendelea na mazungumzo na waimbaji wengine mahiri wa muziki wa
Injili, lakini Rebecca atakuwepo akishirikiana na wengine mahiri kama
Rose Muhando, Solomon Mukubwa na wengineo," alisema Msama.
Tamasha
la mwaka huu malengo yake makubwa ni kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwasomesha watoto yatima na kuwasaidia mitaji wanawake wajane.
Kiingilio
katika tamasha hilo kimetengwa katika kategoria tatu na kitakuwa sh.
2,000 kwa watoto, sh. 5,000 kwa viti vya kawaida na viti maalumu sh.
10,000.
Rebecca Malope ni mwimbaji nguli wa Afrika Kusini aliyetamba zaidi kimataifa mwishoni mwa miaka ya 90.
Malope alizaliwa katika shamba la tumbaku Afrika Kusini. Akiwa mtoto, yeye na dada zake walikuwa wakiimba kwaya kanisani.
Alijiunga na kundi la muziki wa injili akiwa binti mwenye umri mdogo, jijini Johannesburg, chini ya mtozi, Zizwe Zakho.
Alianza
kutoa albamu yake ya kwanza aliyoipeleka Marekani mwaka 1996 na mwaka
uliofuata alisaini mkataba na EMI kisha akatoa albamu ya Free At Last
TWANGA PEPETA ILIYVYOPAGAWISHA MANGO GALDEN KIONONDONI
Bendi
ya The Africa Stars "Twanga Pepeta wazee wa kisigino" ikiongozwa na
Luiza Mbutu wapili kushoto usiku wa kuamkia leo, bendi hiyo ilikuwa
ikitoa burudani ndani ya ukumbi wa Mango Gardeni jijini Dar es salaam,
pia bendi hiyo hivi karibuni inategemea kutambulisha Album yake mpya.
Wengeni ni waimbaji wa bendi hiyo Muumin Mwinjuma kulia na kutoka
kushoto ni Janet Isinika, Dogo Rama na Amigolas.
Wannenguaji wa kike wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao katika onyesho hilo kwenye ukumbi wa Mango Kinondoni.
Subscribe to:
Posts (Atom)












