Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, July 17, 2012

MISS UTALII KINONDONI YASOGEZWA MBELE KUPISHA MWEZI MTUKUFU

  Shindano la kumsaka myange wa Utalii wilaya ya Kinondoni 2012 limesogezwa mbele kutokana na kuanguangukia mwanzoni mwa mfungo wa ramadhani ambapo kamati husika imetoa tamko la kusogeza mbele shindano hilo kupisha mfungo mtukufu wa ramadhani ambao unaanza mwishoni mwa wiki hii.
  Chanzo cha habari kinasema kuwa sababu kuu ya kuhamisha tarehe husika ya shindano toka tarehe 20 julai mpaka iddi pili mwezi wa nane ni kuondoa taswira tofauti ambapo baadhi ya washiriki na wanakamati kuwa waumini wa dini ya kiislamu hivyo kamati ikaona vyema kupeleka mbele shindano hilo ambapo limekua gumzo jijini Dar es salaam.
  Taarifa kamili kuhusu tarehe shindano hilo itatangazwa rasmi kupitia vyombo vya habari hivi punde,tunaomba radhi kwa usumbufu ila tumefanya hivyo kueshimu taratibu za kidini hususani kipindi hiki cha mwezi mtuku wa ramadhani.

IRENE BWIRE AWA MISS UTALII KAGERA 2012

 Miss Utalii Kagera 2012 Miss Irene Bwire (katikati) na mshindi wa pili Miss Jania Abdul (kushoto)  na Miss Mayor Kashumba mshindi wa tatu (kulia)
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Mama Pangani akifungua Onyesho hili rasmi
Mrembo Irene bwire ameibuka mshindi wa Taji la Miss Utalii Kagera 2012, katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Linas Club mjini Bukoba mkoani Kagera siku ya jumamosi tarehe 14-7-2012. 
Irene alitwaa taji hilo kwa kuwashinda warembo wengine 14, katika shindano ambalo mkuu wa Wilaya ya Bukoba mama Pangani alikuwa mgeni rasmi. Mrembo Jania Abdul alikuwa mshindi wa pili na Mayor Kashumba alikuwa mshindi wa tatu, hivyo wote pamoja na mshindi wa nne,watano na mshindi wa taji la Miss Utalii Vipaji watawakilisha mkoa wa kagera katika fainali za Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya Magharibi,zitakazofanyika mkoani Mara, mwezi Oktoba 2012.

Katika shindano hilo ambalo lilisindikizwa na burudani za muziki wa asili na wa kizazi kipya wakiwemo bendi ya Diamond Sound, msanii BK Sunday  na makundi ya ngoma za asili za mkoa wa kagera,shindano hilo
liliandaliwa na Dinner Fashion,huku Miss Utalii Kilimanjaro 2012 Evamary Gamba akiwa ni mwalimu wa warembo.
Mgeni rasmi aliwapongeza waandaaji kwa kufanikiwa kuandaa shindano hilo ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa ni kichocheo cha kutangaza utalii na utamaduni wa mkoa wa kagera. 
Aidha 
alisema kuwa serikali na mkoa wa Kagera wanathanini sana mchango wa shindano hilo katika kuhamasisha na kutangaza utalii na utamaduni wa Tanzania pia mianya ya uwekezaji, na kuwataka wadau mbalimbali
kuliunga mkono kwa kudhamini shindano hilo kla linapofanyika

ALLY REHMTULLAH'S COLLECTION AT THE TRENDZ KENYA FASHION FESTIVAL 2012

Monday, July 9, 2012

MISS REDD'S KAGERA 2012 APATIKANA NI BABY LOVE KALALA

 Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 2011 limemalizika na Miss Baby Love Kalaa(katikati)kuibuka mshindi
 Mshindi wa pili katika shindano hili ni Miss Juliana Robinson wa mwili waliosimama.
Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji   na kumvisha mshindi  wa mwaka huu.

Sunday, July 8, 2012

MISS UTALII KINONDONI 2012 YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni Bw. M ethuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tAREHE 20 JULAI jijini Dar.
 Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .
 Washiriki wa shindando hilo.

WEMA ,WOLPER WAMETOKA SURUHU

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
                                                
 Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana blogspot.com

Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa 
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo

WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA 
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
                                                                     

Thursday, July 5, 2012

MISS TOURISM KINONDONI 2012 YAIVA NI JUNI 14 TRAVERTINE HOEL

Warembo wa shindano la kumsaka mnyange wa utalii kinomdoni wakiwa katika picha ya pamoja.

MISSS UTALII KAGERA 2012 WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA NA MELI YA MV.VICTORIA



Warembo wakiingia melini.
Meneja wa Kampuni ya Kiroyera Tours akitoa maelezo kwa Warembo hawa
baadhi ya warembo katika pozy.
Muandaaji wa Onyesho hili Bi Dinna akimshkuru AFISA wa Bandari ndg Msese.
Afisa wa Bandari Mdau Ajuaye Kheri Msese akiwapa somo walimbwende katika kuwapa uelewa zaidi wa mambo mbalimbali.
Warembo wakiwa wamependeza

Wednesday, July 4, 2012

BAUCHA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO.

Pichani ni Producer Baucha.
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
Kwa mujibu wa SMS yake aliyonitumia saa 9:30  usiku Ally Baucha ambaye ni mmiliki na producer wa studio za kurekodia muziki maarufu kwa jina la BAUCHA RECORDS na mara baada ya taarifa hizi nilifanikiwa kuzungumza naye pia usiku huu huu.
 Tuzidi kumwombea kwa Mola amtie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Tuesday, July 3, 2012

KUELEKEA REDDS MISS HIGHER LERNING HAWA NDIO WAREMBO

Washiriki wa Shindano hilo wakiwa mazoezini walikojichimbia huko Kunduchi jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuelekea mjengoni Dodoma leo asubuhi.


Mashindano hayo yanatarajiwa kuwa na mvuto zaidi kutokana na washiriki wake wote kuwa ni wa vyuo vikuu hivyo wanatarajiwa kuweza kufanya mambo makubwa kutokana na uelewa wao.

MISS SHINYANGA 2012 YAPAMBA MOTO

Warembo wa Miss Shinyanga 2012 itakayorindima wilayani Kahama jumamosi hii ya tarehe 7/07/2013 uwanja wa Taifa Kahama.
Warembo hawa watahusika vilivyo kwa skilz zao, maandari ya eneo husika kupambwa na taa maalum, stage la uhakika na sound ya mtikisiko kurindima katika kusapoti burudani na yatakayojiri siku hiyo.
Warembo katika pozi style.com
Coca cola ni moja kati ya wadhamini wakuu wa shughuli nzima.
Waremmbo na kinywaji chao katika pozi
Kutokana na maandalizi yaliyofanywa mpaka sasa na msisimko unaotajwa kinyang'anyiro hiki kinatajwa kuwavuta mashabiki toka sehemu mbalimbali nchini wengi wakitaka kushuhudia live bila chenga mpango mzima utakavyokuwa.
Baadhi ya warembo wa kinyang'anyiro cha miss Shinyanga 2012 wakikulingishia tabasamu zao.