Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, November 25, 2012

UNIQUE MODELS WAWILI WAPENYA SWAHILI FASHION WEEK




Liz unique.

Caty unique.
Washiriki wawili wa shindano la unique model 2012 waliopita katika usaili swahili fashion week,unique Entertainment inawapa sapotikwa kila hali kuhakikisha models wake ndani ya mwaka mzima wwanakuwa na mengi waliofanya katika tasnia ya mitindo.

Saturday, November 24, 2012

UNIQUE MODELS WANG'ARA ONYESHO LA KHANGA ZA KALE@SERENA HOTEL

Washiriki washindano bora la wanamitindo nchini Tanzania Unique model 2012 wakiwa jukwaani kuonyesha ubunifu wanguo zilizotengenezwa kwa khanga ambazo zimebuniwa nambunifu mahiri Asia Idarus Khamsin,onyesho hili lilifanyika jana usiku katika hoteli ya Dar es salaam Serena jijini Dar.
Mkurugenzi wa shindano la Unique model,unique Entertaint blog na kampuni ya Unique Entertainment Superman Magese akionyesha umahili wa catwalk jukwaanik,hii inakumbukia enzi zake akiwa model alikuwa mkali wa caltwalk ile mbayaaa,akiwa amevalishwa na Asia Idarous.
Mpito huu ulikuwa kwa maselebrity tu Sauda mwilima,othman michuzi,cathbert kajuna na Superman magese.
Baadhi ya wanamitindo wanaowania taji la Unique model 2012 wakiangalia fashion show ya Khanga za kale baada ya kushuka jukwaani.(katikati) ni afisa mipango wa unique model Yasinta Julias akitake some fotoz.

Thursday, November 22, 2012

BAKHRESA TAJIRI NAMBA 40 AFRICA ANAMILIKI $520 ML

 If anyone has a picture of this guy...I will be surprised! He is one of the richest men in Africa, now recognized in the Forbes List...still,not a photo of his face is seen!! I salute this guy!

YA LEO KALI KUSHONA KIATU KWA COMPYUTA

Monday, November 19, 2012

TASWIRA YA USAILI WA UNIQUE MODEL 2012

 Hii ndiyo taswira ya usaili kwa models waliofika jana katika usaili wa Unique model 2012.
Mashombeshombe nao walikuepo......unique model ya mwaka huu lazma ukae.

YALIOJILI USAILI WA UNIQUE MODEL 2012@LAMADA HOTEL

 Kazi ilikuwa ngumu sana ..kutenda haki si kitu kidogo

Sunday, November 18, 2012

WANAMITINDO 12 WAINGIA UNIQUE MODEL 2012

Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili.
Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer  Njabili ..........
Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa shindano Methuselah Magese baada ya kazi nzito ya usaili kumalizika.pembeni ni baadhi ya models wasubiri picha za hapa na pale.