Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, July 27, 2013

TIMBERLAND AMUOMBA RADHI CHRISS BROWN

timbaland-jay-z-rapradar
The apologies keep rolling in. Following Timbaland’s statements regarding posthumous Aaliyah recordings, the producer apologized via Twitter for referencing Chris Brown’s collaboration, “Don’t Think They Know“. Oddly enough, Chris wrote a song last night called, “Go To War For Ya”.  In any event, here’s what Timbo had to say:
I want 2 publicly apologize 2 my lil homie @chrisbrown 4 my statements on revolt regarding the Aaliyah collaborations. I actually like the song wit him n Aaliyah, its just when you are talking about babygirl its a very sensitive subject with me. So the people who not only worked with her but grew a bond so tight we are like family so im very over protective over her.
I have mad luv 4 my dude @chrisbrown. A mother lost a daughter. a brother lost a sister. that is still grieving over her passing. it just a very sensitive subject. I just want the family to be respected

Friday, July 26, 2013

DANGURO LA MACHANGUDOA SUGU LAGUNDULIKA KIGAMBONI JIJINI DAR


 Hili ni sakata la  kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya madanguro katika uwanja wake na kuwapangisha makahaba katika eneo maarufu kwa jina la Kijiji cha Makahaba.

Mwandishi wetu alipokea ujumbe mfupi ulioelezea ufuska unaofanywa na mabinti ambao hupewa eneo na kujenga vibanda kisha kujiuza kwa bei chee katika kijiji hicho maeneo ya Kigamboni jijini Dar.

Bada ya simu hiyo, uchunguzi wetu  ulibaini kwamba, eneo hilo linalofanyiwa ufuska huo linamilikiwa na kikongwe aliyejitambulisha kwa jina la mzee Matutu akidaiwa kuendesha maisha kwa biashara hiyo ya madanguro.
 
Baada ya kujiridhisha na uchunguzi kuwa ni kweli jambo hilo linafanyika eneo hilo,waandishi walivamia eneo la tukio wakiwa na mjumbe wa mtaa huo aliyefahamika kwa jina la Abbas na kujionea madanguro yaliyojengwa kwa mstari ambapo milango yake iliachwa wazi huku ndani wakionekana mabinti wakiwa wamejilaza kihasarahasara wakiwatega wateja wanaopita katika mtaa huo.

Madanguro hayo ambayo kwa hesabu ni takriban kumi na nane, yamejengwa kwa aina yake ambapo mengi kati ya hayo yana ukubwa wa kutosha kuingia kitanda kidogo pekee.

 
Baada ya kujionea hayo, kikosi kazi sambamba na mjumbe huyo kilimtafuta mzee Matutu na kufanikiwa kuzungumza naye kuhusu madanguro hayo na namna anavyoyaendesha ambapo alikiri kuwa yeye ni mmiliki wa eneo hilo na huwa anapokea shilingi 30,000 kwa mwezi kwa kila mwanamke na fedha hiyo ndiyo inayomsaidia kuendesha maisha.

“Sina kazi nyingine ya kuniingizia kipato zaidi ya hii ya wasichana licha ya kwamba sijawaruhusu wafanye biashara hiyo. Fedha hiyo ndiyo inanisaidia kwa mahitaji yangu,” alisema kwa tabu mzee Matutu huku akimtaja msimamizi wa madanguro hayo kuwa ni mpwa wake.
 Kwa upande wake mjumbe wa mtaa huo, Kassim alisema kuwa serikali ya mtaa imejitahidi kwa kadiri ilivyoweza kuwaondoa mabinti hao lakini wamekuwa wakirudi kila mara.

Alipoulizwa hatua waliyoichukua kwa mmiliki wa madanguro hayo ambaye ni mzee Matutu, kiongozi huyo alibakia kusikitika asijue hatua gani ya kumchukulia mzee huyo ambaye hata wakimpeleka kwenye vyombo vya sheria anahisi itakuwa ni uonevu kwa kuwa hana msaada mwingine wa kifedha zaidi ya fedha kutoka kwa mabinti hao.

KITALE AHUSISHWA WIZI WA MALIZA SHARO MILIONEA

       
             sharo millionea
 Msanii  wa  Commedy nchini na muimbaji wa bongo fleva  Kitale  rais wa mateja, amekanusha taarifa zinazomuhusiha na mali za Marehemu Sharo milionea.
  Katika  A/C yake ya BBM Kitale ameandika 
  "mama wa marehemu sharo Milionea ametoa malalamiko juu ya kutokabidhiwa baadhi ya mali za marehemu Sharo.
 
   Waandishi bila kumuelewa mama, wao moja kwa moja wananihusisha na mimi kuwa nahusika.  Hii ni kwa watanzania wote, Marehemu Sharo Milioneaaliacha gari aina ya Oper, naom,ba kuwaambia watanzania ile gari haipo chini yangu, ile Gari ipo chini ya Muddy Suma, ambaye ni mwenye gari aliyopata nayo ajali Sharo na mama yake  
 Sharo kulalamika kwenye vyombo vya habari ni sawa na ni haki yake kwa sababu mwenye Gari aliahidi kusamehe, ila aliomba aachiwe mpaka atakaponunua gari nyingine. Kinachoshangaza sasa ni mwaka unakwenda gari haijauzwa wala nini  kwa hiyo mama anahisi mimi na Mudfy suma letu moja.  

                    Kitale
Hapana mzazi wangu mimi nipo pamoja na wewe, na watanzania wote naomba muelewe gari sinayo mimi,. maana kila muandishi ananiandama mimi.  Kitu ambacho mimi na Sharo tulishea ni move tu. Gari anayo Mudy suma sababu  yeye  ndiyendiye aliwezesha na kuhusu sofa anazo Mudy Suma"

DEANS ROBBINS ALIVYOROC MWAKA JANA MISS WORLD

Image
Image
Image

JUSTINE BIEBER AWATEMEA MATE MASHAKI AKIWA GOROFANI

 Bieber akiporomosha mafundo ya mate kwa mashabiki walikuwa chini ya gorofa wakimshangaa.
Here it is ... hard proof Justin Bieber is a revolting, germ-spreading spitter.

The photos were snapped Thursday in Toronto, where Bieber was perched atop his hotel balcony. We can't tell what, or who, was directly under him as he dropped his saliva-bomb.

It is worth noting ... hordes of fans were gathered outside the window of his hotel room all day -- he even posted a Bieberview pic on Instagram.

0723-justin-bieber-instagram
Also relevant ... multiple people have accused Bieber of using spit as a weapon -- including some woman at a gym, his neighbor, and most recently ... a nightclub DJ.

RIHANNA APIGWA FINE YA $ 47,000 KWA KUMVUTA LINDSAY LOHAN

0725_rihanna_getty
Rihanna
just learned a hard lesson ... acting like an irresponsible Lindsay Lohan can cost you a LOT of money -- in this case $47,050.
Source broke the story ... Rihanna's ex-accountants have been trying to get the singer to sit for a deposition in a lawsuit she filed against them. Rihanna claims they mismanaged her money and owed her millions, but the accountants claim Rihanna's the one who's at fault.

According to the accountants -- Berdon LLP -- Rihanna's been blowing off deposition after deposition (Lindsay-style) costing them boatloads in attorneys' fees, so Berdon asked the judge to punish the singer.

And this month, the judge agreed, fining Rihanna $47,050 for Berdon's legal bills.

On top of the fine, the judge also ordered Rihanna to sit for a deposition once and for all on August 28 ... and if she doesn't show up, he might dismiss her case entirely.


MWANAMKE E ALIYEPANGA KUMUUA MUMEWE AFIKISHWA MAHAKAMANI HUKO ARUSHA

Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo.

Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na Novatus Elias, walifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha /Arumeru, Devotha Kamuzora, wakisomewa makosa mawili ya kula njama ya kutaka kumuua Simon Jackson ambaye ndiye mume wa Janeth.

Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Edna Kasala, alidai mahakamani hapo kuwa washtakiwa wote walitenda kosa la pili la kula njama na kutaka kumuua Desderi Sabas, ambaye ni mtoto wa mke mwingine kwa mume huyo anayeishi Bukoba, mkoani Kagera.


Washtakiwa wote hawakutakiwa kujibu lolote kwa sababu Mahakama hiyo kisheria haina mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.

Kasala iliomba mahakama kuwanyima dhamana washtakiwa, kwa sababu watuhumiwa wengine wawili wanatafutwa hivyo na upelelezi haujakamilika.
Alidai kutokana na uzito wa tuhuma hizo, maombi hayo ya kuwanyima dhamana washtakiwa yameambatana na hati ya kiapo ya Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Mkoa wa Arusha.
“Mheshimiwa tunafahamu kwamba dhamana ni haki ya washtakiwa kikatiba, lakini kutokana na mazingira ya kesi hii kuwa magumu, tunaomba dhamana isitolewe ili kuwatafuta watuhumiwa wengine wa kesi hii,” alidai Kasala.
Kwa upande wake,Wakili wa utetezi, Fidelis Peter, alipinga maombi hayo na kutaka mahakama itoe dhamana kwa washtakiwa kwa sababu ni haki yao ya kikatiba na kwamba hilo ni kosa lao la kwanza.
Sababu nyingine ya kupinga maombi ya upande wa mashtaka, ni kwamba washtakiwa wanaweza kuvuruga upepelezi wakiachiwa siyo za msingi kwani ni watu wanaoaminika katika jamii.
“Mheshimiwa sababu za kuwanyima dhamana washtakiwa hazina uzito wowote, pia mshtakiwa wa kwanza (Janeth) ana mtoto wa miezi sita na tangu akamatwe alhamisi iliyopita hajamwona wala kumnyonyesha hivyo anastahili kupewa dhamana,”alidai Wakili Peter.

Hata hivyo, baada ya kusikiliza maombi ya pande zote mbili, Hakimu Kamuzora, alikubaliana na maombi ya upande wa mashtaka na kuamuru watuhumiwa wapelekwe mahabusu hadi Agosti 5, mwaka huu kesi hiyo itakapotajwa tena.
Katika kesi hiyo iliyovuta hisia za watu wengi jijini hapa, inadaiwa Janeth alitaka kumuua mumewe ambaye ni mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite na mwanaye wa kiume, ili arithi mali na utajiri alionao mfanyabiashara huyo.
Akiwa amejifunika uso muda wote alipokuwa mahakamani, Janeth alionekana kuwa na mawazo mengi na macho mekundu kwa sababu ya kulia baada ya njama hizo kugonga mwamba.

Awali kabla ya kukamatwa kwa mwanamke huyo, taarifa zilieleza kuwa, mwanamke huyo alitumia fedha nyingi kulipa majambazi waliotakiwa kutekeleza tukio hilo lakini mmoja wa majambazi hao aliamua kuvujisha siri hiyo polisi iliyofanikisha kukamatwa kwa wahusika kabla ya kutenda mauaji hayo.

Mume wa mwanamke huyo alinukuliwa awali akisikitika na kuhoji kwa nini mke huyo alifikia kupanga hilo.

DJ KHALED KUMUOA NIKI MINAJ

  Dj Khaled ameshindwa kukaa na la moyoni kwa muda mrefu sasa ameamua aweke wazi kuwa anataka kumchukua jumla jumla (kumuoa). Katika maneno yake Dj Khaled alisema alitamani kumwambia ukweli Nicki Minaja tangu mwaka jana ila alishindwa lakini leo ndo kaamua kusema ukweli..
Nicki Minaj

Thursday, July 25, 2013

BIG TYMERZ KURUDI UPYA ..BIRDMAN AONGELEA ATAKVYMRUDISHA MANNIE FRESH

 
Could many Mannie Fresh now be part of the upcoming Big Tymers project? Maybe so. During RapFix Live today, Baby reveals (3:35 mark) that he plans to hit the studio with Mannie in a week or two.
“I’ve been talking to Fresh a lot. We talk every other day, we been talking about doing music; so matter of fact we gonna get in. Me and Fresh ain’t got no problem, we never had no problem. It’s been a minute and we plan on working again.
I was been tryin’ to do that, he didn’t wanna do it. I thought personally he didn’t want no part of it because it been dead. We been lettin’ it live in the grave, ain’t nobody picked it up. It was Wayne’s decision to say let’s rock with this Big Tymers, besides that it’s been in the grave, nobody touched it.
I love his family, he loves my family, we know each other. His sister passed, my sister passed, I went to the funeral so people bring things outta context but personally he’s my brother and I got nothing but love for him and I’ma work with him again.”

 BEFORE (BIFU ILIVYOKUWA)

Despite taking ample shots at the Cash Money head in the past, the 44-year-old said dissing is a young man's game.
Fresh said he has no problem with Birdman or anyone from YMCMB; he just wants what he feels is his just due. "I'm too old to be making dis songs. I'm too wise to be making shots at anybody, but my thing is I'm a business man at the end of it," he said. (MTV)
In January 2012, Fresh detailed his issues with Birdman's Cash Money empire.
"We still have money issues. We will always have them, as long as Cash Money is selling anything that has Mannie Fresh on it. 'Til this day, I'm like, "Dude, what's going on? Where are the statements for this?" There's always some kind of complication, that's all I can say," Fresh said in an interview. "Everybody has to get paid. It would be something large if Cash Money did a tour with the first generation of artists, but with everything that's happened, we need money upfront and on top of that we all need our own attorneys. You don't get my money and pay me-I get my money directly." (Billboard)
Months prior, he blamed Cash Money for botching a potential longstanding relationship with Def Jam.
"I got this deal with Def Jam through Jay-Z," Fresh said during the Red Bull Music Academy 2011 in Madrid. "Jay-Z reached out, he was like, 'I'll do a deal with you. You come to Def Jam and you do your thing. And I'm over there and I talk to Lil Wayne. I'm like, 'Hey dude, I got a deal with Def Jam and they pretty much are going to give me my situation, do what I want to do.' They were like, 'Just deliver a big song.' So I go to Lil Wayne, he does the song with me and soon as I get ready to put it out, Cash Money shuts it down. They were just like, 'Nah, you didn't get permission from us to do that.' And I'm like, 'Wow, it's really that serious? That's kinda ugly of y'all to do that.' And I'm like, 'Wayne agreed to do the song.' And they were like, 'Well, Wayne can't speak for Wayne. We speak for Wayne.' ... So that was a learning lesson for me and it kind of gave Def Jam a salty taste too because they was just like, 'Every time we do something, if it's going to get shutdown, we really don't want to do this with you.'" (Red Bull Music Academy)

BAUNSA MGONI AKATWA MGUU BAADA YA KUFUMANIWA

Tukio hilo la kikatili lilijiri Julai 15, mwaka huu wakati Said na mama Ali walipokuwa ndani ya nyumba ya Ali iliyopo kijijini hapo.



MANENO YA SHUHUDA
Akizungumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja alisema Said alifumaniwa ndani ya nyumba asubuhi akiwa na mke wa Ali baada ya kuwekewa mtego ambao ulimnasa vizuri.


Aliongeza kudai kuwa, Said ni msimamizi wa mashamba ya Ali kijijini hapo na kwamba God ni mtoto wa mwenye nyumba ambayo Ali amepanga kijijini hapo.
MPANGO WA FUMANIZI
Habari zinapasha kuwa mara baada ya mnyetishaji kutoa taarifa za usaliti huo, Ali alimtafuta  ‘baunsa’ ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja na wakaweka mtego kwa kujificha karibu na nyumba hiyo ambayo Said angeingia ili kuivunja amri ya sita ya Mungu.


Katika kufanikisha mtego huo, mmbeya huyo alipewa jukumu la kuhakikisha nyendo za Said na mama Ali siku hiyo zinarekodiwa mpaka kuingia ndani ya nyumba hiyo na kumtaarifu Ali ambaye siku hiyo alimuaga mkewe kwamba amesafiri.

SAID ATINGA NYUMBANI KWA ALI
Habari zinasema mtoboa siri huyo alimwambia Said kuwa Ali amesafiri na ndipo jamaa akafunga safari kwenda kwa mama Ali kwa nia ya kujivinjari licha ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukifikia katikati.
Habari zinadai mara baada ya kufika kwa Ali, Said aliingia ndani ya nyumba bila kujua kwamba mwenye mke alikuwa amejificha jirani akisubiri mtego unase.
Inasemekana Said akiwa ndani, Ali na baunsa wake waliibuka kwa kutaarifiwa na God na kumnasa jamaa huyo huku akidai ni mgoni wake. Alimuuliza maswali kadhaa, yakiwemo haya:
“Umekuja kufanya nini ndani ya nyumba yangu? Kwa nini umekaa na mke wangu?”
Habari zinasema Said alijibu hakuona ubaya kwa kuwa yeye ni mwangalizi wa mashamba ya mwanaume huyo hivyo anaweza kuingia ndani kwake wakati wowote.

MWENYE MKE ATIBUKA NA MAJIBU, AMWAGA DAMU
Jibu hilo lilidaiwa kumtibua Ali na ndipo yeye na baunsa wake wapomfunga kamba miguuni Said na kuanza kumkata kwa panga mguu mmoja kisha kuugeukia wa pili.
Said alipiga mayowe yaliyowafanya wanakijiji kukimbilia eneo la tukio kwa lengo la kujua kulikoni ambapo walimkuta Said akiwa anavuja damu na sehemu ya nyuma ya miguu ikiwa nyanga’nyang’a.

MWENYE MKE AKIMBIA, ANASWA
Ali, God na baunsa walikimbia eneo hilo. Baadhi ya wanawake walitumia khanga zao kuifunga miguu ya Said kwa lengo la kujaribu kuzuia damu isiendelee kumwagika. Said alikuwa akilia sana.
“Wanakijiji walichukizwa sana na ukatili uliofanywa na Ali, hivyo wakaanza kumsaka na kumkamata kichakani akiwa amejificha pamoja na God. Alipewa mkong’oto kwa lengo la kutaka kumuua, lakini viongozi wa kijiji walisihi asiuawe bali afikishwe kwenye kituo cha polisi,” alisema shuhuda.

MKE, MUME, MMBEYA WAFIKISHWA POLISI
Polisi wa Kituo cha Dumila waliitwa na kumchukua Said, Ali na God kwa kutumia gari aina ya Land Rover lenye namba za usajili T 750 AAJ. Mke wa Ali yeye alipelekwa polisi kwa pikipiki.
Walipofika kituoni, Said alipewa fomu ya matibabu ya polisi (PF 3) na kupelekwa Hospitali ya Wilaya ya Kilosa kwa matibabu.
“Pale hospitali Said alishonwa miguu yote lakini madaktari wakaamua ahamishiwe katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu zaidi,” alisema shuhuda huyo.

ANAWEZA ASITEMBEE TENA
Akaongeza: Daktari mmoja alisema haamini kama jamaa (Said) atatembea tena kwa sababu zana iliyotumika kumkata ilifika hadi kwenye mishipa ya nyuma ambayo ndiyo humfanya binadamu aweze kusimama na kutembea.

BAUNSA ASAKWA
Afisa mmoja wa polisi kituoni hapo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini kwa kuwa si msemaji, alisema wanaendelea kumsaka baunsa aliyeshirikiana na Ali kumkata miguu Said.

NEEMA YA MAZIWA YAPATIKANA MTAANI BAADA YA GARI LA MAZIWA KUPATA AJALI

SONY DSC Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSC SONY DSC

POLISI 117 WATIMULIWA CHUO KWA UTVU WA NIDHAMU


Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. 

Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale waliopoteza sifa za kuendelea na mafunzo ya kijeshi baada ya kukutwa na makosa ya utovu wa nidhamu, utoro na matatizo ya kiafya.
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Matanga Mbushi, ambaye ni mkuu wa chuo hicho alisema katika mahojiano maalumu kwamba, waliotimuliwa chuoni ni kati ya askari wanafunzi 3,189 waliokuwa wamesajiliwa kuanza mafunzo ya kijeshi katika chuo hicho, Oktoba 25 mwaka jana.
 
Kati yao askari 115 ni wale wa Polisi na askari wawili wanatoka katika Idara ya Uhamiaji iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kufukuzwa kwa wanafunzi hao , kuna akisi moja kwa moja jinsi menejimenti ya chuo hicho ilivyojipanga upya kupunguza wimbi la baadhi ya askari walioko kazini na ambao wanalipaka matope jeshi hilo kutokana na kupotoka kimaadili kwa kutaka kujinufaisha kimaslahi.

Askari hao walikuwa waungane na wenzao ambao wanatarajiwa kuhitimu mafunzo ya awali ya polisi na uhamiaji, Julai 26 mwaka huu baada ya kupatiwa mafunzo ya medani za kivita. Mgeni wa heshima atakayeshuhudia kuagwa kwa askari 3,092 ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi.

Kamishna Mbushi alisema askari hao pamoja na mambo mengine wamepatiwa mafunzo maalumu ya utunzaji wa amani ya nchi iliyopo, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), Haki za Binadamu, Masuala ya mtambuka (Cross cutting issues), Usimamizi wa majanga na Usimamizi wa kazi za Polisi.

Mafunzo mengine ni pamoja na Polisi Jamii, Sheria ya ushahidi, Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, Upelelezi wa makosa ya jinai, Usalama barabarani na stadi za kazi.

Taarifa za awali kutoka ndani ya chuo hicho, zinaeleza kuwa mahafali hayo ya Polisi yatatanguliwa na medani za kivita yatakayofanyika Julai 25 huko katika Kijiji cha Kilele-Pori, Wilaya ya Siha.

FEZAA KAOZA KWA PENZI LA ONEAL ,FEZA KESSY AKIRI KUFA KIMAHABA.


foolforlovebig_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_131323191318196
Kama ulikuwa unahisi kuwa uhusiano wa Feza na Oneal unaishiwa fleva, basi hauko sahihi. Wandani hawa wameendelea kuiimarisha ngome yao ya mahaba ili kamwe isije kushambuliwa na wameendelea kupanga mipango ya kuliendeleza penzi lao baada ya The Chase.
“We’re getting more serious,” Feza alimwambia Big Brother. “Kukutana na Oneal kwenye nyumba hii kumeonesha upande wangu ambao sikudhani watu wangeuona, alisema Feza. Upande wa ulaini na udhaifu wangu. Marafiki zangu nyumbani wanasema nimekuwa rahisi sana na napotea. Mtu mmoja anahitaji kwa kiasi fulani kuwa mjinga kwenye uhusiano. Ni ngumu sana pia, sababu wakati mwingine nataka kuwa mkali na siwezi sababu uhusiano huu si tu unanihusu mimi. Unanihusu mimi Oneal na Africa.” Feza alimwambia Biggie kuwa yeye na mpenzi wake huyo raia wa Botswana wana hamu kubwa siku wanaondoka mjengoni humo kwenda kuundeleza zaidi uhusiano wao.

Wednesday, July 24, 2013

UNIQUE MODEL 2012 ILIKUWA MZUKA SANA....2013 WE BACK AGAIN STAY TUNED

 Unique model 2012 moja ya event kubwa za mitindo nchini Tanzania,hapa mwanamitindo Zeenath akionyesha uwezo wa miondoko ya kimaonyesho ya nguo.
 Unique models wakionyesha uwezo wa kudansi jukwaani.
Mambo yalikuwa hivi wadau.
 Majaji wakifanya yao.
 Mshindi namba tatu Amina Ayoub akiwapungia watu mkono baada ya ktangazwa.
 Hali ilikuwa namna hii wadau.
 Majaji wakitangaza matokeo.
 Elizabeth Pertty Unique model-Talent 2012 akipungia watu baada ya kutangazwa.
 Mwanamitindo akionyesha kipaji cha kuigiza kwa kutoa ujumbe kuhusiana na gonjwa la ukimwi.
 Unique model of the year 2012 Catherine Masumbigama akipungia mkono mashabiki baada ya kutangzwa kuwa ndiye mwanmitindo wa mwaka 2012-2013.
 Catherine akiwa na Balozi wa shindano la unique model Roseminner.
 Grand finale.
 Vestina Jax Unique model-Talent akifanya yake jukwaani.
 Top five ni Zeeenath Ayoub,Cecilia Emmanuel,Elizabeth Pertty,Catherine Masumbigana na Amina Ayoub.

YALIOJILI UNIQUE MODEL 2012

Catherine Masumbigana (katikati) akiwa ndiye mshindi wa shindano bora la wanamitindo nchini Tanzania,Unique model 2012 huku mshindi wa photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na mshindi wa kipaji (kulia) Vestina Jax.