Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, May 29, 2014

Mh. SUGU AMLIPUA ZITTO KABWE BUNGENI...TANAPA,NSSF ZAHUSISHWA.


Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe sio tu ni Mbunge anayebanwa na masharti ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, bali pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Fedha za Serikali (PAC). Kwa mujibu wa kipengele cha 12 cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge lako tukufu, mojawapo ya majukumu ya PAC ni kushughulikia maeneo yenye matatizo sugu ya matumizi mabaya ya fedha za umma katika Wizara na Mashirika ya Umma yaliyoainishwa katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. NSSF na TANAPA ni baadhi tu ya Mashirika ya Umma yaliyo chini ya usimamizi wa kibunge wa PAC. 

Kwa maana hiyo, Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Zitto Kabwe, kwa kutumia makampuni yake ya Leka Dutigite Ltd. na Gombe Advisors Ltd., amefanya biashara na TANAPA, shirika la umma analolisimamia kama Mbunge na Mwenyekiti wa PAC. Mheshimiwa Zitto Kabwe na wanamuziki washirika wake, kwa kutumia makampuni ya Gombe Advisors Ltd. na Leka Dutigite Ltd., wamelipwa fedha za umma za TANAPA na NSSF. 

Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali kutoa maelezo juu ya madai ya ukiukwaji wa Sheria uliofanywa na viongozi wa umma na mashirika ya umma katika kashfa hii. Pamoja na maelezo yatayotolewa , Kambi Rasmi ya Upinzani inataka Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum juu ya matumizi ya fedha zilizotolewa na TANAPA na NSSF; msukumo uliofanya fedha hizo zitolewe na matumizi ya fedha hizo kwa kuzingatia masharti yanayosimamia fedha za umma na utawala bora katika usimamizi wa fedha za umma.
 Aidha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ifanye uchunguzi juu ya malipo na matumizi husika kwa kurejea masharti ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Sheria nyingine zinazohusika. Kwa upande mwingine, kwa kuwa suala hili linahusu mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na usimamizi wa fedha za umma, Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge nayo ifanye uchunguzi wake juu ya madai ya masharti ya Katiba ya Nchi, Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge na Kanuni za Bunge juu ya maadili ya kiongozi wa umma ikiwemo yahusuyo utangazaji wa maslahi.

...Jay Z Splits with Longtime Business Partner John Meneilly...

Jay Z and John Meneilly
Hov is back in the headlines, but this time it’s strictly business. After over a decade, Jay Z and his longtime business manager John Meneilly have parted ways.

The New York Daily News reports that the hip-hop mogul severed ties with Meneilly, who is credited as one of the architects of Roc Nation.
According to one industry insider, the split was not mutual: “It wasn’t his choice.”
However, a second source says it was “amicable and mutual” and that the agreement was made “a couple months ago.”
Meneilly and Jay Z have a long history together. The former Provident Financial executive helped Jay build his Rocawear clothing brand, which sold for $200 million in 2007, and brokered his multi-million Magna Carta…Holy Grail album deal with Samsung last year.
Meneilly also helped take Roc Nation from a record label to a talent management group that now reps artists and athletes including Rihanna, Kanye West, Shakira, CC Sabathia, Skylar Diggins, and Robinson Cano.

MAANDALIZI MISS UKONGA 2014 YANAENDELEA








  Wasichana washiriki mashindano ya miss ukonga 2014 wilaya ya ilala jijini dar es salaam wapatao 16, ambapo kila mmoja ana ndoto za kuchukua ushindi.
warembo hao  wakiongea na mwandishi wa blog hii.walitaka
jamii hiyelewe  kuwa urembo siyo uhuni bali ni kipaji cha mtu kama vipaji vingine vilivyo hivyo wazazi wasiwakatalie watoto wao kushiriki
 mashindano hayo ya urembo kwani ni moja ya
ajira rasmi kama zingine..
katika mashindano hayo kwanza wanafundisha  maadili mema, nizamu, kujituma ,kushirikiana na jamii,kufanyakazi,pia nakujali imani ya mtu yeyote
warembo hao wamesama katika washiriki hao wengine ni wasomi wa vyuo vikuu ,kwani wemesama watakavyo pata nafasi hiyo itakuwa msaada kwa jamii  kuwa elimisha,tamaduni za

 asili ya tanzania na kuzitangaza nje 

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA

 
Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne. Glazer aliyekua akiishi Palm Beach Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia yake. Screen Shot 2014-05-28 at 11.38.55 PM Siku ya jana May 28 2014 ni mwaka mmoja umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou pamoja na Malcom Glazer.

WAZIRI DK. MUKANGARA AWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO BUNGENI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akiwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015 mjini Dodoma jana. Waziri Mukangara ameomba Wizara yake iidhinishiwe kiasi cha Shilingi, 35,371,884,000 ambapo kati ya hizo jumla ya shilingi 20,371,884,000 ni za matumizi ya kawaida na kiasi kilichobaki ni fedha za miradi.

 Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari wakifuatilia Hotuba hiyo.
 Baadhi ya wadau wa Habari akiwepo Mkurugenzi wa Kituo cha Redio 5 cha jijini Arusha Francis Robert (kushoto) akifuatilia hotuba hiyo bungeni mjini dodoma leo.
 Innocent Mungy kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akifuatilia mjadala wa Bajeti bungeni mjini Dodoma.
 Wadau mbalimbali wa sanaa, Michezo na Utamaduni walikuwepo.
 Wasanii wakifuatilia mjadala wa bajeti Bungeni, mtaalm Dude na kule P Funks mwaandaaji wa muziki na pia msaani wa muziki.

SAFARI YA MWISHO YA MSANII RECHEL NA MWANAE

Mwili wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika simanzi kubwa huku Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa kuondokewa na msanii mwenzao. Angalia picha zikionyesha matukio ya mwili wa Rachel tangu akitolewa Muhimbili, kupelekwa Sinza na Leaders.

CHALZ BABA ATOBOA SIRI: SAJENT HAKUSTAILI KUOLEWA NA MIMI

BVCC
RAIS wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili kuwa mkewe licha ya kwamba walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza hivi karibuni, Chaz Baba alisemaSajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu.
“Nilikuwa nampenda sana Sajent ila nilishindwa kumuoa kutokana na umaarufu wake ambao ulimnyima sifa ya kuolewa na mimi maana wote ni mastaa ingekuwa shida huko mbeleni,” alisema Chaz Baba.

HUYU NDIYE MSICHANA ALIYESHINDA MASHINDANO YA HIPS KENYA

kwamboka12kwamboka8          kwamboka9 kwamboka2

HAPPY BIRTHDAY MZEE REGNArD MENGI

Mengi na K-lyinnLeo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:

DIAMOND PLATNUM APIGA COLABO NA TIWA SAVEGE

Diamond Platnumz na Tiwa SavageDiamond Platnumz na Tiwa Savage 
Diamond Platnum akiwa location kuchukua clipS za video mpya ya wimbo aliofanya na msanii maarufu wa nchini Nigeria Tiwa Savege anaetamba na nyimbo kibao.Diamond Platnumz na Tiwa SavageDiamond Platnumz na Tiwa Savage

...Lil Wayne Debuts ‘Side Bitch’ for Weezy Wednesdays...

Lil Wayne
Carter V season continues. Last week, Lil Wayne previewed his freestyle “Tina Turn Up Needs a Tune Up.” And this week it’s all about the side chicks.
In episode 14 of Weezy Wednesdays, the Young Money captain explains the difference between a regular girl and a “Side Bitch.” He then pushes play on a new song inspired by his relationships.
“I can’t wait until she my bitch / ‘Cause right now, I’m just her side bitch / She gotta ni**a she can ride with,” he raps. “Lord, I’m so tired of being her side bitch.”
The DJ Scoob Doo-directed clip ends with a contract, which outlines the terms of being a side chick.

IRENE UWOYA NA DANCER WA THT WAZAMA KIMAHABA

Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya
 Baada ya kuulizwa Msami mwenyewe, alikataa kujihusisha kimapenzi na Uwaoya lakini girlfriend wake ambae wamegombana kwa sasa juu ya swalahilo, amefunguka yote.


Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana Wivu na Uwoya
na anachofahamu Irene Uwoya alimlaghai Msami kwa kumwambia  anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba

 

Karrueche Says She’s Embarrassed After Landing On VH1′s ‘Notorious Side Chicks’ List

 

Karrueche Tran woke up today to find that she’s made a Top 10 list…and it’s not the type of list that a woman would run home and brag about.  In the article, headlined “Get Your Own Man! The 10 Side-Chickiest Side Chicks in Hip Hop,” VH1.com selected 10 women who were rumored to have played the side while their lovers had mains at home. Kae made the list for her involvement in the love triangle between her, Chris Brown and Rihanna.
They wrote:
Ahh, this tangled web. Unless you’ve been living under a boulder, you know that Breezy had an affair with aspiring model (aren’t they all) Karrueche while he was with Rihanna. Then, he and Riri broke up, and he wifed up Karrueche — but then promptly cheated on her with Rihanna, and then got back together with Tran. Rinse, repeat. The love triangle has inspired several years of bitter twitter battles between the girls (Rihanna actually referred to the half-Vietnamese stunner as a “rice cake” in her duet with Brown, “Birthday Cake,” and then tweeted a pic of a rice cake wearing shades and gold hoop earrings), as well as beef between their two entourages — but Brown can’t seem to quit either of them. In a confessional video he released in 2012, he said as much. “Is there such a thing as loving two women?” Yeah, dude, but for your own sanity, just pick one.
Today, Kae reacted to the article in a post on Instagram. She wrote:
when no one understands you.. they misinterpret you.. judge you.. label you.. this is embarrassing to see, but I can do nothing but laugh because at the end of the day you can say whatever you want about me.. Label me however you please.. Your words do not define who I am. I’m happy with myself.. Flaws..wrong choices..mistakes and all and that’s all that matters. I usually don’t speak up on shit like this but whatever. I have family that has to see shit like this. I don’t even think we’re all on the same page as to what a “side chick” really is.. Either way [deuces emoji]

Read more at http://necolebitchie.com/2014/05/karrueche-says-shes-embarrassed-after-landing-on-vh1s-notorious-side-chicks-list/#OqIMdEsD3zhzv388.99
Karrueche Tran woke up today to find that she’s made a Top 10 list…and it’s not the type of list that a woman would run home and brag about. In the article, headlined “Get Your Own Man! The 10 Side-Chickiest Side Chicks in Hip Hop,” VH1.com selected 10 women who were rumored to have played the side while their lovers had mains at home. Kae made the list for her involvement in the love triangle between her, Chris Brown and Rihanna. They wrote: Ahh, this tangled web. Unless you’ve been living under a boulder, you know that Breezy had an affair with aspiring model (aren’t they all) Karrueche while he was with Rihanna. Then, he and Riri broke up, and he wifed up Karrueche — but then promptly cheated on her with Rihanna, and then got back together with Tran. Rinse, repeat. The love triangle has inspired several years of bitter twitter battles between the girls (Rihanna actually referred to the half-Vietnamese stunner as a “rice cake” in her duet with Brown, “Birthday Cake,” and then tweeted a pic of a rice cake wearing shades and gold hoop earrings), as well as beef between their two entourages — but Brown can’t seem to quit either of them. In a confessional video he released in 2012, he said as much. “Is there such a thing as loving two women?” Yeah, dude, but for your own sanity, just pick one. Today, Kae reacted to the article in a post on Instagram. She wrote: when no one understands you.. they misinterpret you.. judge you.. label you.. this is embarrassing to see, but I can do nothing but laugh because at the end of the day you can say whatever you want about me.. Label me however you please.. Your words do not define who I am. I’m happy with myself.. Flaws..wrong choices..mistakes and all and that’s all that matters. I usually don’t speak up on shit like this but whatever. I have family that has to see shit like this. I don’t even think we’re all on the same page as to what a “side chick” really is.. Either way [deuces emoji].

RAY NA JB PACHIMBIKA!...KUONESHANA UMWAMBA


Wasanii wakongwe wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB pamoja na Vicent ‘Ray’ Kigosi wanaandaa filamu nchini Uturuki itakayoonesha nani yupo juu zaidi kati yao.Akizungumza na Bongo5 jana, Ray amesema kuwa kila mmoja kati yao ana uwezo binafsi katika kazi ya filamu kwa hiyo filamu hiyo itaamuru nani yupo juu.“Mimi nilikuwa na movie na JB na tukaanza kushoot kule (Uturuki) lakini matokeo ya msiba wa Adam Kuambiana, tukasitisha zoezi na kuamua kutafuta tiketi kwa pamoja as a group za kuja kwenye msiba,lakini kwa bahati mbaya tukapata tiketi moja tu ambayo tukajadili kwa pamoja tukaona atuwakilishe JB,” alisema Ray  na  kuongeza
“Sisi tuna utaratibu wa kufanya kazi, zamani nilikuwa na utaratibu na marehemu Steven Kanumba ya kufanya kila mwaka sinema moja na kupimana ubavu kwenye filamu moja, kwahiyo baada ya kufariki Kanumba nikapanga na JB kila mwaka kutengeneza filamu moja ndio hiyo ambayo tumeianza na mambo ya misiba yakiisha tutarudi tena Uturuki kwenda kumalizia kazi.

"Hii ni mojawapo ya biashara na kuwatendea haki mashabiki wetu wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa sababu tunapata comments nyingi sana kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwamba hebu jaribuni kucheza filamu moja Ray na JB tumuone nani zaidi. 
"Nimecheza naye filamu nyingi  lakini kwa kipindi hiki kila mtu yupo juu. Ukiangalia JB amehit na mimi nipo juu pia kwahiyo tunahitaji kumtambua nani zaidi.”

KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POSTS

UPDATES:MWILI WA MSANII RECHO WAONDOLEWA MUHIMBILI TAYARI KWENDA KUAGWA NA KUZIKWA



Mwili wa marehemu Recho aliyekuwa msanii wa bongo muvi na mwili wa mtoto wake kwa sasa unatolewa katika hospitali ya taifa muhimbili na kupelekwa nyumbani kwao Sinza, na baadaye viwanja vya leaders club kwa ajili ya kuagwa

Kwa mujibu wa mwanahabari Zamaradi Mketema ni kuwa miili hiyo ya marehemu (Recho na mwanaye itaagwa na ndugu wa karibu kwa dakika chache nyumbani kwao Sinza na kwenda viwanja vya leaders

Tukio hilo limeleta simanzi kwa ndugu jamaa na marafiki na vilio ndiyo vimetawala kwa wasanii wa bongo muvi waliofika muhimbili na kuchukua marehemu

KISANGA KISANGANI BLAZA: MUME WA FLORAH MBASHA ASAKWA NA JESHI LA POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.

Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji.
Taarifa zilizopatikana  ndani  ya  jeshi hilo kupitia vyanzo vyetu makini zinadai kwamba mlalamikaji huyo alifika kituoni hapo Jumatatu iliyopita muda wa mchana na kufungua kesi  yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/3191/2014 na ya Jalada  la  Uchunguzi  Na. TBT/IR/1865/2014 akidai  kufanyiwa  unyama  huo kwa siku mbili (Ijumaa na Jumapili)  wiki iliyopita nyumbani kwa Mbasha, Tabata-Kimanga, Dar.
Ilidaiwa  kuwa, Ijumaa iliyopita mlalamikiwa alifanya kitendo hicho sebuleni nyumbani na Jumapili ilidaiwa  alitekeleza ukatili wake huo ndani ya  gari lake  hali ambayo  ilimfanya mlalamikaji kutoa  taarifa  Kituo cha Polisi, Tabara-Aroma jijini Dar.
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha anayetafutwa na polisi kwa kosa la ubakaji.
Iliendelea kudaiwa kuwa, kufuatia maumivu  makali  aliyoyapata mlalamikaji huyo ilibidi  aende  Hospitali ya Amana  na  kugundulika  kuwa aliingiliwa  kimapenzi na kumsababishia michubuko  sehemu za  siri.
HISTORIA YA MLALAMIKAJI Mlalamikaji ni  kati  ya  watoto  mapacha  waliozaliwa  jijini Mwanza  na mama  ambaye  jina lake  halikupatikana mara moja.
Mama wa mtoto huyo (kwa sasa ni marehemu pamoja na mume wake) akiwa muumini wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God (EAGT) aliamua  kumtoa mtoto mmoja kwa mama  mzazi wa Flora Mbasha kwa lengo la kumlea,  wakati huo mtoto  huyo alikuwa na miezi  mitatu.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha.
Ikaelezwa kuwa, mama wa  Flora alikaa  na  mtoto huyo akimsomesha hadi alipofika darasa la saba ambapo alimkabidhi kwa Flora na kuishi naye hadi  alipofikwa na janga hilo.
Maelezo zaidi yanasema Mbasha aliweza  kufanya  kitendo  hicho  kwa sababu mkewe (Flora)  ameondoka  nyumbani na kwenda kuishi hotelini kwa kile  kilichodaiwa  kwamba kuna ugomvi  mkubwa ndani ya ndoa yao.
Taarifa  zaidi  zinadai kwa sasa Mbasha naye hayupo  nyumbani kwake huku mlalamikaji yuko  Hospitali  ya Amana akiendelea kufanyiwa  uchunguzi  wa  kiafya ili kubaini kama ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa au la!
Kwa  upande  wake  mlalamikaji huyo alipopigiwa  simu  juzi kwa  lengo  la  kuthibitisha  kuhusiana  na sakata  hilo  alikiri na kusema  amekwishatoa  taarifa  polisi   kwa  kitendo alichofanyiwa na mwenye nyumba huyo huyo.
Wanandoa hao katika pozi.

..Zoezi la ukaguzi wa Stempu kwenye bidhaa za Filamu latikisa Dar..

TRA1a Mjumbe wa Kamati ya Urasimishaji wa Kazi za wasanii wa Filamu na Muziki hapa nchini  ambaye pia ni Afisa kutoka Bodi  ya Filamu Tanzania Bw. Wilhad Tairo akifafanua jambo kwa mfanyabiashara wa duka la Filamu wakati wa Operesheni ya kukagua Bidhaa zisizo kuwa na Stempu za TRA, Operesheni hiyo ya wiki mbili iliyoanza jana jijini Dar es Salaaminatekelezwa kwa uhirikiano wa TRA, Bodi ya Filamu, Basata na Cosota  TRA2 Mfanyabiashara wa duka CDs za Filamu lililopo maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam akieleza  jambo kwa maafisa wa Kikosi kazi kwa ajili yakukagua bidhaa ambazo azizingatii taratibu kabla ya kuingizwa sokoni leo jijini Dar es Salaam. TRA3a Muuzaji wa duka la CD za Filamu katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam akiwaonyesha Stempu za TRA katika CD zake wakaguzi kutoka TRA,Bodi ya Fila, Basata na Costa ambao walifika dukani kwake kwa ajili ya ukaguzi wa bidhaa ambazo zimeingizwa sokoni bila kufuata taratibu za kisheria iliwemo kuweka Stika za TRA  kama sheria inavyotaka.Kamati ya urasimishaji wa kazi za wasanii wa Filamu na Muziki wameanza Operesheni ya wiki mbili katika jiji la Dar es Salaam ili kuleta ufanisi katika mapato ya Wasanii. TRA5 Afisa Kodi Msaidizi Bi. Theophilda Majara( Mwenye blauzi nyekundu) akikagua baadhi ya CD za Filamu wakati wa Operesheni ya kukagua Filamu ambazo hazijafuata taratibu za kisheria ikiwemo kulipia Stempu ya TRA kabla ya kuingia sokoni. Zoezi hilo linaendeshwa kwa ushirikiano wa TRA, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Bodi ya Filamu, Basata  na Costota . TRA6Baadhi ya wananchi wakifuatilia namna Operesheni ya kukagua Filamu zilizoingia sokoni bila kufuata utaratibu namna inavyotelekelezwa  jana katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.
 Picha na Frank Shija- Afisa Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

TAARIFA YA TFF KWA VYOMBO VYA HABARI HII LEO

TAIFA STARS KWENDA HARARE ALHAMISI
Msafara wa watu 30 wa Taifa Stars unaojumuisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi unaondoka kesho alfajiri (Mei 29 mwaka huu) kwenda Harare, Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika.

Mechi hiyo itachezwa Juni Mosi mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare, Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itatua jijini humo saa 5 asubuhi kwa ndege ya Kenya Airways.

Msafara wa Taifa Stars ambayo ambayo jana (Mei 27 mwaka huu) ilicheza mechi ya kujipima nguvu na Malawi na kushinda bao 1-0, na utarejea nchini Juni 2 mwaka huu unaongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.

Wakati huo huo, mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na Malawi (Flames) iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 8,380,000 kutokana na watazamaji 1,504 waliokata tiketi kushuhudia pambano hilo.

Mgawo ulikuwa kama ifuatavyo; Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) sh. 1,278,305.08, gharama za kuchapa tiketi sh. 225,600, gharama za uwanja sh. 1,031,414.24, gharama za mechi sh. 1,375,218.98 na TFF/Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 4,469,461.69.
MWAMBUSI KOCHA BORA VPL 2013/2014
Kocha Mkuu wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi ameshinda tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa msimu wa 2013/2014.

Hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi mbalimbali ilifanyika jana (Mei 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Mbali ya tuzo hiyo, Kocha Mwambusi ambaye hivi sasa yuko nchini Sudan na timu yake kwenye michuano ya Nile Basin alipata pia zawadi ya kitita cha sh. milioni 7.8.

Aliyeshinda tuzo ya kipa bora ni Hussein Shariff wa Mtibwa Sugar aliyepata sh. milioni 5.2 wakati Amisi Tambwe wa Simba aliibuka na tuzo ya mfungaji bora. Tambwe naye alipata sh. milioni 5.2.

Mchezaji bora wa VPL kwa msimu wa 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa Azam FC aliyejipatia sh. milioni 5.2. Tuzo ya refa bora imetwaliwa na Israel Mujuni aliyezawadiwa sh. milioni 7.8.

Yanga iliyoshika nafasi ya pili kwenye ligi na kupata sh. milioni 37, pia ilipata sh. milioni 16 baada ya kushinda tuzo ya timu yenye nidhamu ya hali ya juu. Sh. milioni 21 za mshindi wa nne zilikwenda kwa timu ya Simba.

Mabingwa wapya wa VPL, Azam FC walipata sh. milioni 75 wakati Mbeya City ilipata sh. milioni 26 kwa kushika nafasi ya tatu.
RAIS MALINZI ATUMA RAMBIRAMBI MSIBA WA KOCHA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu Zambia (FAZ), Kalusha Bwalya kutokana kifo cha Kocha wa timu ya Nkana FC, Masauso Mwale.

Amesema amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha ghafla cha Kocha Mwale, na kuongeza kuwa msiba huo si pigo kwa Zambia pekee bali Afrika kwa ujumla kwa vile ni mfano wa kuigwa kwa makocha wazalendo waliozipatia mafanikio makubwa klabu za Afrika.

Rais Malinzi amemuomba Rais Bwalya kutuma salamu zake za rambirambi kwa familia ya Mwale, na kuitaka kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba huo mzito kwao.

Mwale (51) alifariki mwishoni mwa wiki kwa ajali ya gari aliyokuwa akiendesha katika barabara ya Kitwe- Ndola akienda kambini kujiunga na timu yake kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Sewe San Pedro ya Ivory Coast.