Pages

Pages

Wednesday, April 7, 2010

MISS ILALA AKANUSHA UVUMI

Uvumi ulio onea kuwa miss ilala 2009-2010 silvia shally ametimkia ulaya masomoni ameukanusha baada Uniqueentertz.blogspot.com kumtafuta kwa takribani wiki nzima apatikani.
Silvia alieleza kwa simu kua yupo nchini na ni maamuzi yake kubadili namba ya simu kutokana na usumbufu anaoupata toka kwa watu, kwani alisibitisha kua anampenda kwa dhati alienae na hana time na mapapaa

No comments:

Post a Comment