Pages

Pages

Wednesday, April 7, 2010

TANZAIANIAN TOP MODEL

Mwanamitindo Miriam Odemba moja ya hazina za kujivunia watanzania katika medani ya mitindo na urembo Duniani.
 Miriam kwa Tanzania ni mrembo mweye mataji makubwa ya kipekee,ni kweli ameitangaza vema nchi yetu kupitia Miss Earth air 2008.tembelea duka lake la nguo lililopo msasani road upate pamba za ukweli.NJUNKIIS HOUSE OF FASHION

No comments:

Post a Comment