Pages

Pages

Friday, April 2, 2010

NANI KUMRITHI MIRIAM GERALD MISS MWANZA?

Ikiwa siku na masaa zimakalibia kufika siku ya june 4,2010 siku ya kumtangaza miss mwanza 2010 hofu kuu imezidi kutanda jijini mwanza ni binti gani atakae endeleza kutikisa miss tanzania kutokea jijini mwanza.
    Kwaniaba ya mkulugenzi wa sisi Entertainment john doto, meneja habari na mawasiliano wa sisi entertainment mr magese amebainisha kuwa mchakato wa miss mwanza unaanza mei mmoja jijini mwanza
    Kwa habari za uchunguzi zinasema kwamba wakazim wa mwanza wanasubiri shindano hili kama sikukuu kwakua nitukio kubwa linaipa sifa zakipekee jiji hili kwa miaka miwili mfululizo ambapo mwaka juzi ilimtoa Nasreen Kharim kuwa miss tanzania 2008

No comments:

Post a Comment