Pages

Pages

Friday, April 2, 2010

TANZANIAN SUPER MODEL

        Happiness Magese a.k.a millen magese miss tz 2001 ambaye alikuwa za mitindo nchini afrika kusini sasa anaiwakilisha vema tz katika medani ya mitindo nchini marekani.
        Millen ambaye hivi karibini alivishwa pete yenye thamani us $7600 sawa na milioni kumi za kitanzania, huu nimfano wakuigwa  kwa wanamitindo wa tanzania kutokata tamaa na kujituma zaidi katika kutafuta mafanikio.

No comments:

Post a Comment