Pages

Pages

Thursday, June 3, 2010

MISS CHANG"OMBBE JUNE 4 TCC CHANG"OMBE,MISS DAR CITY CENTER 2010 JUNE 5 MOVEN PEAK

Shindano la kumsaka Miss chang"ombe 2010 litafanyika Tcc chang"ombe jijini Dar ambapo bendi ya FM Academia itawarusha wapenzi wa urembo usiku huo.jumla ya washiriki 19 watapanda jukwaani.hayo yalibainishwa na mwandaaji wa kitongoji hicho bwana Tom Chilala.Mshindi ataibuka na kitita cha laki tano,
     WAKATI HUOHUO:
Shindano la kumsaka Miss Dar city center 2010 litafanyika Moven pick jijini Dar es salaam,ambapo mwandaaji wa kitongoji hiko Catherine John amebainisha haya onesho hili litakua la aina yake ambapo mrembo Silvia shally atalibwaga taji hilo siku ya tarehe5 june na kumkabibidhi ..........
#####################################################################################

No comments:

Post a Comment