Pages

Pages

Tuesday, June 1, 2010

MOVIES ZA BONGO ZINAPENDWA ILA.....!! wapenzi wengi wa movies za bongo wamelaumu umalizikiaji wa movie hizo kuisha holela bila mpangilio moja ya mashabiki hao wa sanaa hii frank kadende ambae ni mtizamaji mkubwa wa blog hii alituma malalamiko hayo kwa njia ya email kama maoni binafsi,si wote wanaoharibu ila baadhi yao kama kchagula,frank na aunt ezekiel wamekua wakijitaidi kuonesha mwisho wa stori ya movie zao.ni changamoto kwa wasanii wa kuigiza kuwa ubora wa kuandaa movie zao kiprofeshional



.....................................................................................................................................................................MAIMATHA WA JESE kuipamba miss kilimanjaro june 11 katika ukumbi li ligga club mjini moshi ambayo inadhaminiwa kampuni ya TBL kupitia kinywaji cha REDDS.wakati huohuo:market meneja wa REDDS bi Kabula leo amekabidhi tops na tshirt za redds kwa kamati ya MissMwanza na akimzigo huo mr magese katika ofisi TBL jijini Dar rs salaam.

No comments:

Post a Comment