Pages

Pages

Thursday, October 7, 2010

SUPA PESA YAZIDI KUTOA MAMILIONEA
Mjasiliamali ndiye nmshindi wa Milioni kumi katika mchezo wa kubahatisha wa Super Pesa ambapo Bw. Kaijage Kironde katikati akionyesha hundi yake aliyokabidhiwa yenye thamani ya shilingi milioni 10 wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi mbalimbali walioshinda katika bahati nasibu hiyo kwa wiki mbili mzilizopita katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Sea clif  iliyopo Dar , wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Bahati nasibu hiyo ya Super Pesa Bw. Harm Fourie na kulia ni Meneja Mkuu wa Super Pesa Natasha Issa. endelea kucheza upate bahati ya kuwa milionea wa SUPA PESA wiki hii kwa kutuma sms yenye neno SUPA kwenda 15777 ktika mitandao ya vodacom,zain,tigo na zantel.

No comments:

Post a Comment