Pages

Pages

Thursday, October 7, 2010

HAPPY BIRTHDAY...!! JAKAYA MRISHO KIKWETE

Uniqueentertz blog inampongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kutimiza miaka 60 katika uhai wake akiwa na madaraka makubwa ya nchi yetu.Tunakutakia maisha marefu Rais wetu katika kipindi kijacho cha uongozi tupo pamoja.

No comments:

Post a Comment