Pages

Pages

Friday, February 18, 2011

DAMU SALAMA YATAKIWA KWA WAHANGA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO        

       Kiasi kikubwa cha damu salama kinatakiwa kuokoa maisha ya wahanga wa mabomu walioko hospitali za temeke,ilala na muhimbili kiasi cha  chupa 200 za damu salama  huhitajika kutibu wagonjwa na kuwaongezea wenzetu walio katika janga hilo.Watu mbalimbali wametakiwa kujitolea damu kunusuru maisha ya watanzania wenzetu.

Giggs asaini mkataba mpya Man United

Mcheza soka mkongwe Ryan Giggs amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu yake ya Manchester United.
Hatua hiyo ina maana mshambuliaji huyo wa pembeni mwenye umri wa miaka 37, atakuwa ameichezea timu hiyo kwa miaka 21 akiwa ameanza kuichezea klabu hiyo tarehe 2 mwezi wa Machi mwaka 1991.
Na akiwa tayari ameshacheza mara 24 msimu huu kwa klabu yake hiyo, Giggs amesema bado anahitaji kutoa mchango zaidi kwa timu yake.
"Ni vizuri kufahamu nachangia mafanikio ya timu. Najihisi bado nahitajika kutoa mchango zaidi," alisema.
"Na hakuna kitu kingine ninachopenda zaidi ya kuichezea United na nimekuwa mwenye bahati sana kufanya hilo kwa miaka 20.
"Huu ni muda wa furaha kuendelea kushirikishwa pamoja na wachezaji wengi hodari vijana ambao wanapitia katika klabu hii."
Giggs ameshaichezea Manchester United zaidi ya mechi 850 na hivi karibuni alicheza mechi yake ya 600 ya Ligi Kuu ya England.


TUCHANGIE WENZETU JAMANI!
 
UNIQUEENTERTZ TOP 40 GORGIOUZ WOMEN

20. Zoe Saldana

ZOË SALDAÑA photo | Zoe Saldana

19. Scarlett Johansson

18. Nicole Scherzinger

17. Kim Kardashian

16. Gabrielle Union

15. Abbey Clancy

14.Ainett Stephens

13. Gisele Bundchen

12. January Jones

11. Marissa Miller

 Ndugu wasonaji wa blogu hii kwa muda watakribani nimekuwa nikiwaletea orodha ya wanawake 40  wenye mvuto zaidi duniani na mpaka leo tumebakiza nafasi kuyaani kumi bora katika wale kumi waliobakia,endelea kufatilia mchatato huu.Next week Bye bye....

 

No comments:

Post a Comment