Pages

Pages

Monday, February 7, 2011

 SHENA MILLER NA JUDE LAW WAACHANA RASMI
 SIENNA MILLER and Jude Law have announced their separation.
"I can confirm that Sienna Miller and Jude Law are no longer in a relationship," a spokesperson for Miller told us this morning.
The two met on the set of Alfie in 2003 and separated three years later. They reunited in late 2009 - appearing together publicly for the first time at the Met Ball in New York in May, 2010 - but are understood to have split several weeks ago.
"It was entirely an end-of-the relationship decision," a friend of the couple told People magazine. "It had run its course. It is mutual and amicable and they are still friends."

*WAZIRI KAWAMBWA AKUTANA NA WANACHUO UDSM, HAKIJAELEWEKA MABOMU YARINDIMA

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akiwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati alipokutana nao leo Chuoni hapo kwa ajili ya kusikiliza malalamiko yao. Wanafunzi hao walitawanywa na askari kwa kutumia mabomu baada ya kuanza kuwashambulia askari kwa mawe na chupa za maji kutokana na hasira za kutopewa majibu yanayoridhisha kuhusu madai yao, baada ya mkutano huo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akiondoka eneo la mkutano akiwa chini ya usimamizi wa Polisi baada ya kumaliza kuwahutubia wanafunzi hao.

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakimbeba mwenzao kumkimbiza hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu kutokana na kujeruhiwa na Bomu la machozi baada ya askari wa kutuliza ghasi (FFU) kuanza kufyatua mabomu ili kuwatawanya wanafunzi hao waliokuwa wakirusha mawe na chupa za maji baada ya mkutano huo. Mwanafunzi huyo akiwa na jeraha mgongoni baada ya kupigwa na bomu la machozi. Wanafunzi wakimuokoa mwenzao baada ya mabomu hayo.Baadhi ya wanafunzi wakijaribu kukimbia bila mwelekeo baada ya Askari wa kutuliza ghasia (FFU) kuanza kufyatua mabomu chuoni hapoa." Duh! Watoto wananitoa jasho hawa sijui nifanyeje hapaaaa!" Wanafunzi hao wakipanda juu ya paa kuwahi nafasi kabla ya waziri kuwasili eneo hilo. Sehemu ya umati wa wanafunzi hao wakiwa eneo la mkutano. "Hapa hadi kielewekw" Jamaa akiwa na bango lenye Ujumbe wa Waziri, wakati wakimsubiri awasili Chuoni hapo.
Wanafunzi wakitoa huduma ya kwanza kwa mwenzao mwanadada aliyeanguka ghafla na kupoteza fahamu kutokana na mabomu yaliyorindima Chuoni hapo baada ya mkutano na Waziri wa Elimu. Baadhi ya wanafunzi wakijificha katika majani kukwepa moshi na mabomu yaliyorindima chuoni hapo baada ya mkutano na Waziri wa Elimu." Jamani twaaafwaaaaaa" wanadada wakijificha peupeeeee wakizani wapo kichakani baada ya kuanza kwa mabomu hayo. Hawa nao hivyo hivyo...... Magari ya Polisi yakigongana baada ya kutokea mkanganyiko wakati wakijaribu kuondoka eneo hilo la Chuo huku wakishambuliwa kwa mawe na chupa za maji na wanafunzi.


Kumezuka mapambano mengine Sudan Kusini, ndani ya jeshi la taifa la Sudan, ambapo watu wasiopungua 30 wamethibitishwa kufariki.
Jeshi la SPLM katika mkutano wa kuleta amani, Rumbek 2005
Jeshi la SPLM katika mkutano wa kuleta amani, Rumbek 2005
Mapigano yalianza karibu na mji ulio mpakani wa Malakal katika jimbo la Upper Nile siku ya Alhamisi.
Hii ni baada ya wanajeshi kutoka Sudan Kusini kukataa kusalimisha silaha zao na kupelekwa upande wa kaskazini, kulingana na mkataba wa amani wa mwaka wa 2005.
Mapigano hayo ambayo yalisambaa kwenye maeneo mengine yanatokea kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mwisho ya kura ya maoni iliyofanyika mwezi uliopita ambayo itathibitisha uhuru wa eneo la kusini.
Serikali ya jimbo hilo, ilisema hali katika Malakal kwa hivi sasa ni shuwari.



BODABODA ZITATUVUNJA MIKONO LAKINI BADO TUTAENDESHA TU!
 


A motorcyclist received a caution from police officers in China - for riding with no arms. Officers in Jimo, Shandong province, stopped the motorcycle for being overloaded - but were shocked when they saw the driver, reports the Qilu Evening Post. Liu, 27, lost both arms at the age of seven after an electric shock. When he was 10, his parents sent him to a local circus to learn skills, and from then on, he trained himself to ride a motorcycle without arms. Liu admitted that he had been riding his adapted motorcycle for 10 years without arms - and he didn't even have a license. He said the circus where he worked had closed down three years ago and he and two other disabled circus workers had been performing on the streets ever since. Police decided against fining him because he didn't have any money but issued him a serious warning. Liu promised them he would not ride motorbikes again.

WAPARESTINA WATUA KUCHABAGWA NA TAIFA STARS

Wachezaji wa timu ya taifa ya Palestina wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam baada ya kuwasili jana kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars utaofanyiaka kesho kutwa katika Uwanaj wa Taifa. 


Cameron's LFW

SAMANTHA CAMERON will play an important role at London Fashion Week, which kicks off next Friday. She was appointed as a British Fashion Council ambassador in September last year.

"She is going to host some receptions for us at 10 Downing Street and I am also hoping she will join me in making the opening speech," says BFC chairman Harold Tillman.
Tillman was full of praise for the stylish First Lady, who couldn't attend last season's LFW due to the birth of her youngest daughter, Florence.
"Samantha has taken to the role so well and is such a natural, it is almost as though she is this first and the Prime Minister's wife second," he tells the Telegraph.
YOU SHOULD SEE: How Samantha Cameron celebrated Christopher Kane's Fashion Fund win...

Watu wanne wameuwawa nchini Tunisia

Watu wasiopungua wanne wameuwawa nchini Tunisia, wakati polisi walipowafyatulia risasi waandamanaji, katika mji wa Kef, kaskazini mashariki mwa nchi.
Maandamano Tunisia
Maandamano Tunisia
Waandamanaji wawili waliuwawa kwenye maandamano, na wengine wawili wakafariki kutokana na majeraha wakiwa njiai kupelekwa hospitalini.
Maafisa waliwafyatulia risasi umati mkubwa wa waandamanaji waliokusanyika nje ya kituo cha Polisi na kuwasha moto, wakitaka mkuu wa kituo hicho kujiuzulu.
Imeripotiwa mamia ya waandamanaji walikusanyika nje ya kituo hicho cha Polisi mjini kef kufuatia taarifa kwamba kamanda wa polisi alimpiga kibao mwanamke mmoja, hatua iliyowakera zaidi, na wakawa wanajaribu kulivamia jengo hilo.
Tukio hili la nchini Tunisia linafuatia amri ya kutotoka nje iliyotangazwa na serikali baada ya maandamano yaliyomlazimisha Rais Ben Ali kuacha madaraka, na baadaye muda wa amri hiyo ukapunguzwa kwa saa mbili.
Wanafunzi wa Tunisia waunga mkono raia wa Misri
Wanafunzi wa Tunisia waunga mkono raia wa Misri
Kuna mtazamo kuwa maandamno ya Tunisia yalichochea maandamano nchini Misri na nchi zingine za eneo la Uarabuni.

No comments:

Post a Comment