Pages

Pages

Sunday, February 6, 2011

WANAFUNZI CHUO KIKUU KUZUA KIZAZAA...!!

Wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) wanategemea kufanya mgomo wa aina yake jumatatu hii ambapo wamepanga kukutana maeneo ya posta kusonga ikulu kufikisha malalamiko yao ya kuongezwa 10,000 kwa siku kama gharama ya kujikimu wawapo masomoni toka bodi ya mokopo.

  wanafunzi hao wamekua wakishawishi wanafunzi wa vyuo vingine kuunga mkono kwa kutumiana ujumbe wa sms na facebook ambapo kesho wameapa kufika ikulu kwa mheshiwa Rais JK.

 

 JAKAYA AITOSA DOWANS

Kile kindumbwendumbwe cha kumsingia mheshimiwa Jk kuwa anamiliki kampuni ya Dowans kimeingia mitini baada ya kikwete kutoa ufafanuzi kuwa hausiki na kampuni hiyo.

  Kikwete alisema hayo katika sherehe za kutimizwa kwa miaka 34 ya ccm mjini Dodoma,ni kweli DOWANS si ya mtoto wa jakaya wala rafiki yake wala babmkwe na hamjui mmiliki wa kampuni hiyo.

 

Sofia Vergara: MWANAMKE MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI-2011

               Sofia akiwa katika pozi huko fukwe za miami USA

The #1 Hottest Woman of 2011 is the stunning, Sofia Vergara. Her role as Gloria on the Critically acclaimed series, Modern Family, has made her a household name. Vergara has been up for individual honors but hasn’t quite been able to take home a statue but that isn’t stopping her from having a good time. Awards show red carpets have been very good to Sofia and quite frankly to all of us. She also will debut her brand new fashion line at Kmart stores around the country this Spring.

 

VIDEO YA SUPER D BOXING COACH KUTOKA HIVI KARIBUNI


BONDIA wa Zamani na Kocha wa Ngumi wa Klabu ya ngumi ya Ashanti, Rajabu Mhamila
'Super D' yupo mbioni kutoa Video inayozungumzia maisha yake ya mchezo huo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Super D alisema video hiyo itakuwa sokoni muda
wowote kuanzia sasa ikizungumzia maisha yake tangu alipoanza kucheza mchezo huo
mwaka 1984 hadi 2010 sasa.
Alisema Video hiyo itaonesha mapambano mbalimbali aliyocheza na dhidi ya
mabondia Mbwana Matumla, Rashidi Ali na Ajibu Salumu.
Alisema lengo la kuandaa video ni kutaka kutimiza malengo yake ya kuendeleza
mchezo wa ngumi kwa kuwapatia vijana nafasi ya kujifunza kupitia kwake.
Alisema kutokana na nchi ya Tanzania kuwana vipaji vingi atashindwa kuwafikia
kila mmoja wao na badala yake amewapa fursa ya kujifunza kwa kuangalia video.
Alisema Video katika kuhaikisha Video hiyo inafanya vizuri sokoni ameongezea
vionjo vingine kutoka kwa mabondia maarufu duniani kama Mike Tyson, Michael Mo,
Junior Myweather, Mohamed Ally, Man Paqyao na Joe Fleizer.

 

1,550 WAMEGUKA TOKA CCM WAJIUNGA CHADEMA

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana kikiadhimisha miaka 34 tangu kianzishwe, zaidi ya wanachama wake 1,550 wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Maswa, Luhende Mipawa, alisema kuwa wanachama hao wamerudisha kadi hizo kwa wakati tofauti siku tatu tangu CCM ilipozindua maadhimisho ya miaka 34 ya kuzaliwa kwa chama hicho.
“Tangu CCM walipozindua sherehe zao za kutimiza miaka 34, tumepokea wanachama wapatao 1,550 kutoka matawi mbalimbali ya CCM katika Wilaya ya Maswa ambao wamejiunga na chama chetu,” alisema.
Alisema kuwa dalili hizo zinaonyesha wazi wananchi wa wilaya hiyo walivyo na imani kwa CHADEMA wanachokiamini ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini.
“Hizi ni dalili njema kuwa wananchi wanakikubali chama chetu ndiyo maana unaona kwa muda wa siku tatu tumevuna wanachama 1,550, tuna kazi kubwa ya kutimiza kiu kubwa ya wananchi wetu,” alisema.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wanachama wa CCM aliyehamia CHADEMA, Geni Jilala, alisema kuwa kwa sasa chama hicho kimekosa mwelekeo na kupoteza misingi iliyowekwa na Mwalimu Nyerere na matokeo yake kimekuwa ni cha kuwatumikia wenye fedha huku wanyonge wakiachwa, hivyo CHADEMA ndiyo chama mbadala.
“CCM ya leo inawakumbatia wenye fedha, kwani ndiyo wana sauti ndani ya chama, sisi wanyonge tumeachwa, hivyo tumeona heri tukimbilie CHADEMA ambacho ndicho chama cha wanyonge,” alisema Jilala.
Aliongeza kwamba kutokana na mgawanyiko na makundi yanayokitafuna chama hicho wilayani humo, kuna hatari ya kusambaratika na kubaki na jengo la ofisi.
Hivi karibuni Katibu wa Uenezi wa CCM Taifa, Kapteni John Chiligati, alishindwa kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Maswa katika viwanja wa MADECO, baada ya wananchi kutojitokeza kwa madai kuwa chama hicho hakina jipya la kuwaeleza wakazi wa mji huo.


VICTORIA BECHAM KUITOSA SPICE GIRLsKATIKA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA OLYMPIC 2012.

Victoria Beckham has officially left The Spice World. The singer-turned-designer will never return to the ’90s girl group that catapulted her to fame — not even for the world’s biggest sporting event.


Organizers of the 2012 Olympics hoping to book The Spice Girls for the opening ceremony will have to settle for just four members — Melanie Brown, Emma Bunton, Geri Halliwell, and Mel Chisholm — of the record-breaking quintet, Britain’s News of the World dished over the holiday weekend.
Victoria is not interested in joining them, despite husband David’s work to bring the Olympics to the home country, the tab claims. The mother-of-three, who reunited with the gals for a reunion tour in 2007, has shaken off her Posh Spice persona to become an established figure in the fashion world and has apparently told the other girls she has no future in music. Those in-the-know say Vic fears a comeback on a global stage would open Beckham up to more criticism about her singing.
“There is no way Victoria will perform with the Spice Girls ever again. She’s not a spoilsport but she doesn’t feel she’s a good enough performer to go back there again all these years on.”
Beckham has reportedly told her former bandmates that she would not be offended if they brought in a replacement for the event, but it is not clear whether Olympic organizers would book The Spice Girls without her.
Victoria is, however, expected to help produce stage musical chronicling the band’s rise to stardom.


UOZO WA MADENTI WA NCHI ZA MAGHARIBI

                          Huu ni upuuzi kamili madentiwa jinsia moja wakinyonyana vitovu..what nxt?

                Kudendeka kwao ni kitu cha kawaida tu kama ice after dinner

                 kisingizio eti ni majira ya joto ndiyo hufanya haya mafinyufinyu na mafindofindo,mabinti zetu wengi wakiendaga huko wanakuwa wakwanza kukopi haya..je huu ni ujanja ama ujinga?


No comments:

Post a Comment