Pages

Pages

Saturday, February 5, 2011

 MTU MZIMA AKIBURUDIKA BAADA YA KUSUBIRI KWA MUDA SANA!!

Hapa Bw.Hala akidendeka Mhwaaa.. mhwaa...!! na mkewe Anitha siku ya harusi yao jumamosi hii ndani ya ukumbi wa Diamond jubilee.


Jarah Mariano

Mariano is Hawaiian, but grew up in California. She’s modeled for Abercrombie and appeared in SI’s swimsuit edition in addition to her work with Victoria’s Secret.

 

Ujjwala Raut:

Raut is an Indian model who’s appeared in campaigns for virtually every clothing line out there, including H&M and Gap. She has a young daughter named Ksha.

 

 MAGAIDI KUIANDAMA UGANDA KIPINDI CHA UCHAGUZI

Polisi nchini Uganda wametoa hadhari mpya dhidi ya kutokea tukio la kigaidi. Hadhari hii imetolewa wakati huu wakati ucahguzi mkuu ukiwa unakaribia.
Polisi wa Uganda
Polisi wa Uganda
Mkuu wa polisi nchini Uganda Meja Jemedari Kale Kaihura ametoa onyo la kutokea shambulio la kigaidi na hivyo kuwapa hadhari wananchi.
Maelezo zaidi ni kuwa tisho la shambulio la kigaidi linatokana na kundi la Al Shabaab na linapangwa siku za mwisho za kampeni pamoja na uchaguzi.
Kampeini za Urais na Ubunge zinaendelea na zimepangwa kumalizika tarehe 16 mwezi huu wa Februari na uchaguzi utafanyika tarehe 18 mwezi huu wa Februari.
Polisi wametoa hadhari kwa wananchi kuwa waangalifu na kuripoti watu wasioeleweka kwa vyombo vya usalama, pamoja na vifurushi ambavyo wanashuku vikiwa vimeachwa mahali.

 

Miranda Kerr

  Kerr is a huge part of Victoria’s Secret advertising, as she’s one of the Victoria’s Secret angels. Kerr is Australian and entered the fashion world after winning a modeling contest sponsored by Dolly magazine.

 

Natasha Poly;

A Russian model who’s full name is actually Natalia Polevshchikova, which makes you understand why she’s shortened it to Natasha Poly. Poly makes $70k a day when shooting advertisements, which isn’t too bad since the requirements are mostly standing around looking hot.

Amanda Marcum:

Marcum comes straight out of the heartland, born and bred in Oklahoma. She’s appeared on the cover of Stuff magazine and in advertising campaigns for many clothing lines including Tommy Hilfiger and Armani.

 


 MUHASIBU AFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA YA WIZI

MHASIBU Msaidizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi, Raymond Mazale, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na kosa la wizi wa sh milioni 22 mali ya mwajiri wake.
Wakili wa Serikali Beatrice Mpangala mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam, Aloyce Katemana, alieleza mahakama kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na mashtaka manne ya wizi.
Alisema mshtakiwa anatuhumiwa kufanya udanganyifu wa stakabadhi za serikali na kujipatia kiasi hicho cha fedha kwa nyakati tofauti.
Mpangala alidai kuwa kati ya Machi 4, 2009 katika Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi Upanga jijini Dar es Salaam, mshtakiwa akiwa ni mhasibu msaidizi wa mahakama hiyo kwa njia ya udanganyifu alitumia stakabadhi za malipo ya serikali Na.3359401 hadi 33659600.
Hata hivyo Mpangala alisema kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika.
Mshtakiwa huyo alikana mashtaka hayo na Hakimu Mkazi Katemana alisema makosa hayo kwa mujibu wa sheria yana dhaminika na kusema ili mshtakiwa apate dhamana atoe fedha taslimu au hati ya mali yenye thamani ya sh milioni 11.08, wadhamini wawili ambao kila mmoja atatoa hati ya mali yenye thamani ya sh milioni tano.
Hata hivyo mshtakiwa huyo alishindwa kutimiza masharti hayo na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena Februari 12.
kutoka home---



 HOTTEST GIRLs IN TOWN(DAR)
  Nancy sumari.
moja ya washindi wa mashindano makubwa ya yrembo Tanzania 2005 na mshindi wa miss world Africa,sasa anafanyakazi katika kampuni ya Front Line management,ni nuru na muongozo wa warembo chipukizi chini

Wema sepetu
   ni moja ya warembo wenye mvuto wa hali ya juu kwani ndiye mshindi wa miss Tanzania tangu aliposhinda hakuna miss mwingine alievunja rekodi yake kwa mvuto na bashasha la hali ya juu,shez sexy jamani....1! mtoto anafiga usipime we acha tu mzazi..!!

........sasaiv anadate na....???!!!..jibu jumatano,next tym homie.

No comments:

Post a Comment