Pages

Pages

Friday, February 4, 2011

SUGU AVUNJA PENZI LA JAFARAI...!!


                                       SUGU AKA MR II Gwiji lA HIP HOP TZ

Muasisi wa bongo flava Mr.II a.k.a Sugu ameingia matatani baada ya kulaumiwa na msanii mwenzake Jafarai kuwa ndiye chanzo cha kuachana na demu wake Shyrose Banjhi.

Chanzo habari toka kipindi cha XXL cha clouds fm wakati mtu mzima jafarai akihojiwa na B-12 na Adam chovu,jafarai amekiri kuwepo kwa mahusiano kati ya sugu na mpenzi wake shyrose baada ya kufumania jimeseji la mahaba toka kwa mbunge huyo wa mbeya.

 

                               MAMODO WA MBELE

Ana Beatriz Barros

 Another Brazilian model, Barros has worked with Guess, Bebe, Chanel, and of course Victoria’s Secret. Has made a whopping seven appearances in SI’s swimsuit issue.

 

Ana Hickmann

ana_hickmann12

 Hickmann was once listed in Guinness as the model with the longest legs in the world (they really make up some goofy categories) with legs measuring 48 inches long (she is 6ft 1′ tall). Hickmann was married way back in 1998 when she was only 16 years old.

 

Jessica White:

 Jessica White is a budding supermodel. She has been called “the model of her generation” by Tyra Banks, and became the first African-American model to appear in three consecutive SI swimsuit issues in 2005.

 

Nichole Robinson:

Robinson is Panamanian-American, and dated South Park creator Trey Parker a few years back. Lucky guy.

Anne Vyalitsyna:

Vyalitsyna is Russian, and started modeling at the age of 15 after being discovered by IMG scouts.

 

    DAMU KUMWAGIKA ZAIDI MISRI

Umati mkubwa umekusanyika kwenye eneo la wazi katik mji mkuu wa Misri, Cairo, kushinikiza madai ya kujiuzulu kwa rais Hosni Mubarak.
Misri
Maelfu wamekusanyika Cairo


Maelfu ya waandamanaji waliohudhuria "siku ya kuondoka" katika mkusanyiko huo kwenye eneop la Tahrir wamepeperusha bendera huku wakiimba "ondoka! Ondoka!".
Wanajeshi wamekuwa wakilinda eneo hilo ili kuzuia mfarakano kati yao na wanaomuunga mkono rais Mubarak.
Cairo
Waandamanaji Cairo
Bw Mubarak amesema "amechoshwa" kukaa madarakani, lakini hataki kujiuzulu kwa sababu hatua hiyo italeta machafuko.
Amekiambia kituo cha televsheni cha ABC News kuwa kundi lililopigwa marufuku la Muslim Brotherhood, litachukua nafasi ya utawala iwapo ataondoka.
Pia amekanusha kuwa utawala wake ulihusika na ghasia zilizotokea siku mbili zilizopita, na taarifa kuwa mwanaye, Gamal, ana nia ya kuwania urais.

MAAZIMISHO YA MIAKA 34 YA CCM-DODOMA

 Wakeleketwa wa chama cha mapinduzi wakionyesha mabango yenye ujumbe wa chama kiwa ni maazimimisho ya miaka 34 ya ccm ambapo maandamano hayo yaliongozwa na mwenyekiti wa ccm Bw.Jakaya mrisho.

No comments:

Post a Comment