Pages

Pages

Wednesday, February 9, 2011

MH.MAGUFULI NA DR.SLAA WACHALUANA


AGIZO la Waziri wa Ujenzi, John Magufuli la kutaka mabango ya biashara yaliyoko barabarani kuondolewa, limezaa sura mpya baada ya Manispaa ya Ilala kusema hawalitambui agizo hilo kwa kuwa hawakushirikishwa.
Akitoa tamko hilo mbele ya baraza la madiwani wa Manispaa hiyo jana, Meya wa Ilala, Jerry Silaa, alisema waziri huyo ametumia sheria ya mwaka 2007 ya kuondoa mabango ya barabarani lakini ukweli ni kwamba halmashauri ndiyo yenye dhamana ya kuweka mabango hayo.
Kutokana na hali hiyo meya huyo alisema tayari wameweka walinzi wa kulinda ili kuhakikisha mabango hayo hayang’olewi.
Alisema katika kikao walichokaa pamoja na kamati za kudumu, maamuzi yaliyofikiwa ni kwamba hoja ya mabango ya barabarani kusababisha ajali hairidhishi kwani mpaka sasa hakuna takwimu zilizotolewa kuhusu ajali ngapi zimesababishwa na uwepo wa mabango.
Alisema pia alama za ‘x’ zilizowekwa na wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), zinachafua mazingira ya mji na hivyo kuwapa maswali mengi wananchi, wawekezaji na wageni wanaoingia nchini kutoka nje ya nchi.
Aliongeza kuwa wameshachukua fedha za wamiliki wa mabango hayo, hivyo kama ni kushtakiwa wizara nao watakuwa miongoni mwa watakaotakiwa kulipa fidia kwa ajili ya kuvunja mkataba jambo ambalo alidai hawako tayari kulifanya.
Kwa mujibu wa Silaa, tayari wameomba kuonana na Waziri Mkuu ili kuweza kuingilia kati suala hilo ambalo linaweza kuibua mgogoro mkubwa kati ya wamiliki wa mabango na halmashauri.


 UNIQUEENTERTZ TOP 40 GORGEOUS WOMEN OF THE YEAR 2011

40. Kate Beckinsale

Kate Beckinsale) 
39. MEL B


38. Paz Vega




37. Rihanna



36. Valerie Cruz

35. Nicki Minaj

34. Grace Park


i love fun

33. Joanna Krupa

 

32. Jamie Edmondson

 

31. Gwen Stefani

 next tym ntaerndelea kuwaletea mpaka tutamjua nani kashika nafasi ya kwanza.so emdelea kufatilia mpangilio huu makini wa mwaka 2011,cu rit now!



TANGAZO:
NEW MODEL:Rachel David


karibu kwenye gemu la kibishi-fro DAr  TZ.
PIA KAMA WEE NI MO0DEL UNAPENDA MAUZO TUTUMIE PICHA YAKO TUTAKUTAMBULISHA KWA WADAU KWANI WADAU WOTE WA SANAA YA UREMBO NA MITINDO LAZMA WAPITIE HUMU  SO U NEVER KNOW ABOUT YOU! UE MNENE,NWEMBAMBA,MREFU AMA MFUPI POA TU.

No comments:

Post a Comment