Pages

Pages

Thursday, February 10, 2011

  TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR

Lil Wayne's first interview 

 We’ve just learned Lil Wayne will be sitting down with MTV News’ Sway Calloway for his first live interview since being released from Rikers Island. The rapper, who completed eight months on gun possession charges, will not only be discussing life after prison, but will also answer fans’ questions live. Immediately following the interview, fans will be able to check out the Hype Williams-directed video premiere of Weezy’s new single, “6 Foot 7 Foot” featuring Cory Gunz. 


LIVE BILA CHENGA: DIDDY AJIWEKA KWA CASIE 

Kwa mda mrefu kumekuwa na tetesi kuwa mtu mzima P.diddy anatoka na mwanadada Cassie.. Sasa sio tetesi tena kwasababu kitu kimekuwa provided kabisa kupitia picha ambazo zimeleak kwenye mtandao …., Kwenye picha hizo P.diddy anaonekana akiwa amempakata mwanadada Cassie huku wanakiss na wote wakiwa kama walivyozaliwa...


TWANGA CLUB BILICANAS 

Asha Said 'Sharapova ' mnenguaji machachari na anayevutia jukwaani akiwa kazini. Maua ya Twanga hapa yakionyesha mtindo wa kutwanga .


   MIAKA 7 YA LEO TENA

No comments:

Post a Comment