Pages

Pages

Wednesday, February 16, 2011

WEEKEND NA VITUKO MAALUM KATIKA KAZI

Mtunga Sheria ndiyo mvunja Sheria, hapa nia askari Polisi ambao wao huwa wa kwanza katika kutoa elimu ya Usalama Barabarani, na hasa kwa waendesha pikipiki kutopakia abiri zaidi ya mmoja ili kuepuka ajali, lakini wao cheki walivyopakiana kana kwamba sheria ya usalama Barabarani wao haiwahusu kabisaaa.
Gari ndogo kama hii hebu cheki hii lumbesa iliyopakia je itafika kweli??
Eeeh! hadi itoke hiyo katika maji leo.....
Konda napaswa kuwajibika pindi gari lake linapozima katikati ya dimbwi la maji kama hili...
Kugombea usafiri si kwa watu wa Mbagala pekee hadi huko kwa wenzetu hebu cheki wanavyokagombea kahice haka je wataenea kweli??

No comments:

Post a Comment