Pages

Pages

Friday, March 4, 2011

USAGAJI WAWAKUMBA MABINTI WA KITANZANIA

 
Tabia ya waschana mastaa kuendekeza mambo ya usagaji yamekuwa fashion siku hizi katika nchi yetu ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania.

Hivi karibuni mastaa wawili wa kike walibambwa wakila ndimi hadharani na walifuraia kupiga picha hizo bila woga wowote ndivyo ilivyo kwa mabinti wengi kwa sasa kuiga tabia hiyo kwa wingi nchini.

Uchunguzi wa blogu hii umebaini kuwa baada ya kuwauliza baadhi ya wadada kadha wanaoshiriki karamu hizo zisizo takatifu walisema "ujue mwanamke mwenzako ana radha tofauti na wa sasa alafu tumechoshwa na wanaume wamekuwa waongo na wanafiki wa mapenzi",idadi ya wasichana wasagi imeongezeka baada ya kuiga tamaduni za magharibi kupitia tovuti,majarida na wanawake mastaa wanaoshiriki mambo hayo.

Aidha blogu hii imebaini kuwa kuna idadi kubwa ya wasichana maarufu na warembo mashuhuri nchini Tanzania wanashiriki kitendo hicho,wachunguzi wa mambo ya kimapenzi wanasema kuwa ikiendelea hivi wanaume totakosa soko umuhimu wetu itakuwa ni kuzalisha tu na wakishajifungua wanaendelea kupeana mapenzi wao kwa wao.

 

OBAMA HAMTAKI GADDAFI

Waasi mjini Benghazi
Huku hali nchini Libya ikitajwa kuendelea kuzorota, Jamii ya kimataifa imeendelea kumtaka kiongozi wake Kanali Muammar Gaddafi kuachia ngazi.
Rais Barrack Obama wa Marekani amesema kwamba Marekani huenda ikachukua hatua ambazo bado hajazitaja kumshurutisha Rais Ghaddafi kujiuzulu.
Naye Rais Dmitriy Medvedev wa Urusi ameonya kwamba huenda Libya ikakumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe ikiwa hatua za dharura hazitachukuliwa kurekebisha hali ilivyo nchini humo.
Rais Obama alikuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ikulu ya White House ambapo alimtaka Rais Ghaddafi kung'atuka malakani mara moja.
Rais Obama pia ameonya kwamba wale wanaotekeleza mashabulizi dhidi ya raia nchii Libya watawajibika kwa makosa hayo.
Wakati huo huo Marekani sasa inatoa msaada wa moja kwa moja kusaidia wakimbizi kutoka Libya kurejea makwao. Rais Obama amearifu kwamba ametoa idhini ya kutumika kwa ndege za kijeshi za Marekani kurejesha raia wa Misri waliotorokea Tunisia kufuatia mapigano makali ambayo yamezuka kati ya wafuasi wa Rais Ghaddafi na vikundi vinayomtaka kujiuzulu.
Shirika la kutoa misaada la Marekani USAID pia limetuma maafisa katika mipaka ya Libya ili kushirikiana na wale wa Umoja wa Mataifa na mashirika mengine yasio ya kiserekali katika kutoa msaada kwa waathiriwa wa mapigano hayo.
Huku haya yakiarifiwa, mejeshi yanayomuunga mkono Rais Ghaddafi yemetekeleza mashambulizi mapya ya anga katika mji wa Brega wenye visima vya mafuta na ambao umetekwa na wapinzani wa Rais huyo. Hakuna majeruhi yalioripotiwa kufikia sasa.


JOHN CHEYO AMPONDA ROSTAM AZIZ

Mbunge wa chama cha UDP jimbo la bariadi Bw.John cheyo ametoa kauli ya kumshinikiza Bw.Rostam Azizi ajiuzulu siasa kwani ndiye anaipeleka nchi pabaya husani katika mabo ya nishati."siasa na biashara haviendani"
Cheyo alisisitiza kuwa Rostam amue moja kufanya biashara ama siasa

Ivory Coast yakumbwa na tisho la vita ya wenyewe kwa wenyewe

Tukio la shambulio dhidi ya wanamama
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeezea hofu ya kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Ivory Coast, na kuamrisha walinda amani wake kutumia njiya zote ili kuwalinda raia.
Hapo Alhamisi wanajeshi watiifu kwa Laurent Gbagbo anayeng'ang'ania madaraka licha ya kushindwa kwenye uchaguzi Mkuu waliwafuatilia risasi wanawake waliokuwa wakiandamana mjini Abdijan kumuunga mkono Alassane Ouattara anayetambuliwa kushinda uchaguzi huo kimataifa.
Takriban wanawake sita waliuawa kwenye tukio hilo.Wakati huo huo mshirika wa karibu wa Bw. Ouattara ameitaka jamii ya kimataifa kuchukulia mzozo wa kisiasa nchini Ivory Coast kwa uzito sambamba na hali ilivyo huko Libya.
Mwakilishi wa Kambi ya Ouattara katika Umoja wa Mataifa Youssoufou Bamba amesema wapinzani wao wanatumia silaha za vita kuwalenga raia wasio na hatia.


SEXY MODELS:
BUBBLES
Bubbles is an sexy exotic female,who is half Jamaican/Italian model out of Miami, Florida.
She showcases her body for Dynasty series.
Shoutout goes to hhvm
bubbles

JESSICA JOURDAN
She looks like she is really bringing the heat from a curves standpoint.  Ridiculous J’s, thick as hell, and an impossibly small waist.  Can’t argue with that…she’s actually a good looking woman too.  I appreciate an internet model who actually has the total package.  I saw a XXL magazine today (terrible, I know…I know) and the “Eye Candy” in that joint was a pure embarrassment.  I remember when video chicks actually had to be good looking women.  Now if you are a midget with an oversized ass, you can make the cut.  In some weird way I feel responsible for that.  But I’ve always said there is such a thing as too much booty.
This next one…I’ll just let you do what you want with it.

MTOTO WA BOBBY BROWN NA WHITNEY NAYE TEJA!


BOBBI KRISTINA
....HAPA AKIVUTA COCAINE...
....AKIVUTA GANJA....
Mtoto wa wanamuziki maarufu toka Marekani,Whitney Houston na Bobby Brown waliokua watumiaji wazuri wa madawa ya kulevya,Bobbi Kristina (miaka 18) amefuata nyayo za wazazi wake hao,coz alikutwa na kupigwa picha akitumia cocaine. Kabla ya hapo Bobbi Kristina aliwahi kutolewa kwenye mtandao,akiwa na miaka 14 tu akivuta bangi na kunywa pombe na washkaji zake.Na wengi hawajashangaa matumizi ya mtoto huyo wa madawa ya kulevya coz alikulia na kushuhudia maisha hayo na itakua ngumu kumkemea aache kwa hatua aliyofikia kwa sasa. Boyfriend wake wa zamani alitoa ushuhuda kwa kusema kuwa,kuna wakati alikua anagombana nae ili aache kutumia madawa ya kulevya lakini ikashindikana coz ilikua too much na ikabidi waachane! 

Fashion News

John Galliano On Trial

John Galliano On Trial

John Galliano, Creative Director of Christian Dior was arrested on 25th February for an alleged assault as well as alleged anti-Semitic remarks. He was released by the police the following morning.

The designer was found under the influence of alcohol when he was arrested and allegedly accused of verbal assault on a couple in a café terrace in Paris. He was also seen using anti-Semitic insults towards a group of friends drinking at a nearby table, reportedly in the same bar and a video of Thursday’s incident was released by the UK tabloid, The Sun on 28th February

Following the incident, Christian Dior has fired John Galliano as the Creative Director of the house. "I unequivocally condemn the statements made by John Galliano, which are in total contradiction to the longstanding core values of Christian Dior," Sidney Toledano, Dior's president and chief executive officer, said in a statement.

Last evening, Galliano himself issued a statement denying the claims made against him and saying that he has fully co-operated with the police investigation. As part of his statement, the designer says: “I have fought my entire life against prejudice, intolerance and discrimination having been subjected to it myself. In all my work my inspiration has been to unite people of every race, creed, religion and sexuality by celebrating their cultural and ethnic diversity through fashion. That remains my guiding light.”

The Paris Prosecutors Office has decided to put Galliano on trial over the alleged racial assault, to be held in the second quarter of the year.

No comments:

Post a Comment