Pages

Pages

Sunday, March 27, 2011

NYETI KULIKO NYETI TULIZONAZO KUHUSU KILI MUSIC AWARDS 2011


 mpoki msanii alishinda tuzo ya wimbo bora wa kisili
  wachambuzi wa mambo ya kisanaa nchini Tanzania wanachambua kama ifuatavyo,tunawasifu waandaji wa kill music awards lakini vipi kuhusu tuzo ya albamu bora  haikuepo ni upungufu mojawapo.ingechangia wanamuziki kutoa album bora zaidi.

  Muasisi wa tuzo hizi hawamuenzi yeye na mawazo yake kikamilifu kama umuhimu wa tuzo hizo katika mchango mkubwa wa kukuza muziki Tz, msanii wa kimataifa marehemu James Dandu ni wazi kasaulika.R.I.P James Dandu.

  Mo tek(jay mo) alioneka kujimilikisha sana tuzo za GSB wadau na wachambuzi wa mambo ya tuzo wanasema.........ngoja niishie hapo tusitaftane buree....!

 

Baba Mtakatifu Benekidt wa 16 ataka mapigano yasimamishwe nchini Libya

Baba Mtakatifu Benedikt  wa 16

Baba Mtakatifu atoa mwito wa kukomesha umwagikaji damu nchini Libya

Wapinzani wa Kanali Gaddafi wameingia katika mji wa kusafirishia mafuta - Ras Lanus leo baada ya kuwatimua  wanajeshi wa Gaddafi mashariki mwa  Libya.Hata hivyo habari hizo zimetolewa na mpiganaji mmoja wa wapinzani alienukuliwa na shirika la habari la Reuters.
Akizungumza  akiwa katika njia ya kuelekea kwenye mji wa Ras Lanus mpiganaji huyo Walid al Arabi aliwakariri wapiganaji wanaompinga Gaddafi waliokuwa wanatoka mji wa Ras Lanus wakisema kuwa hakuna tena jeshi la Gaddafi katika mji huo.
Na habari zaidi zinasema kuwa wapinzani wanasonga mbele kuelekea magharibi.Baada ya kuuteka mji muhimu wa Adjabiya, waandishi wa habari wamethibitisha kuwa waasi  pia wameuteka mji wa Brega.
Lakini habari nyingine zinasema kuwa majeshi ya Gaddafi yameanza kuushambulia tena mji wa Misrata.
Wakati huo huo waziri wa ulinzi wa Marekani Robert Gates amepinga wazo la kuuangusha utawala wa Gaddafi na kueleza kuwa hatua hiyo ni ya utata mkubwa.
 Baba Mtakatifu  Benedikt wa 16 ametoa mwito wa kusimamisha matumizi ya silaha nchini Libya.Mwito huo unayahusu pia majeshi ya nje. Baba Mtakatifu amesema  leo mjini Rome kwamba anauelekeza mwito wake kwa taasisi za kimataifa na kwa wote wale wenye mamlaka ya kijeshi na kisiasa.


Vikosi vya jeshi la muungano vyaishambulia Libya bila huruma

Libya yashambuliwa

Vikosi vya jeshi la muungano linaloongozwa na Marekani vimeongeza shinikizo kwa kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi kutokana na mfululizo wa mashambulio ya anga bila huruma.

Miripuko ilisikika kwenye mji mkuu wa Tripoli mapema leo na walioshuhudia wamesema kuwa eneo la rada ya kijeshi lilikuwa likiwaka moto.
Ndege za kivita za jeshi la muungano zilifanya mashambulio 150 zaidi dhidi ya vikosi vya jeshi la Kanali Gaddafi, ukiwemo mji wa mashariki wa Adjabiya. Mashambulio hayo yamewawezesha waasi kuudhibiti tena mji huo.Baadhi ya ndege za kijeshi zinazoshiriki katika operesheni nchini LibyaBildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:  Baadhi ya ndege za kijeshi zinazoshiriki katika operesheni nchini Libya
Kuna taarifa kwamba mtoto wa kiume wa Kanali Gaddafi, Saif al-Islam ameondoka kwa siri nchini humo ikiwa ni katika kuchukua hatua za kidiplomasia kwa ajili ya kuzuia mapigano zaidi na kuidhibiti hali iliyopo sasa ya kisiasa na kijeshi ambayo inazidi kuwa mbaya.
Marekani na Jumuiya ya Kujihami ya NATO zinafikiria kuwapatia silaha wapinzani, zikisema kuwa azimio la Umoja wa Mataifa linaruhusu uwezekano huo.
NATO hatimaye pia imekubali kuchukua jukumu la kuongoza operesheni za kutekeleza marufuku ya ndege kuruka katika anga ya Libya. Operesheni hiyo itakuwa chini ya Jenerali Charles Bouchard kutoka Canada.
Mwandishi: Grace Patricia Kabogo (AFPE,RTRE,DPAE)
Mhariri: Mohamed Dahman

 MISS TZ AKONGA NYOYO ZA WADAU KATIKA STYLE MOTOMOTO

Mwandaaji wa Style Motomoto Khadija Mwanamboka akimtuza Gabriel Mollel kwa kuibuka mbunifu bora wa mwezi Machi wakati wa onesho la mavazi la Tanzania Mitindo House usiku wa kuamkia leo hoteli ya Double Tree jijini Dar Chini Mamodo wakionesha mitindo
Modo akiwa kazini
Mitindo

 Toto la kitanzania(Geneviev Emanuel miss TZ). Akiwa jukwaani likishow-up mavituuz ya mitindo

 

Maandamano ya vurugu nchini Syria

Fujo zimezuka tena nchini Syria, siku moja baada ya watu kama 20 kuuwawa katika maandamano ya kupinga serikali, katika eneo la kusini la Deraa.
Ripoti kutoka mji ulio pwani, wa Latakia, inasema kuwa mapambano makali ya bunduki yalitokea, na askari waliokuwa kwenye mapaa waliwafyatulia risasi waandamanaji.
Watu waliokuwa na hasira, walichoma moto ofisi za chama tawala cha Baath, mjini Latakia, na katika mji wa Tafas, kusini mwa nchi.
Serikali imesema fujo hizo zinafanywa na magengi yenye silaha, yanayojaribu kuleta mtafaruku nchini Syria.

Waandishi wa habari wanasema, maandamano hayo ni tatizo kwa Rais Bashar Assad ambaye alirithi uongozi wa nchi kutoka kwa baba ake, miaka 11 iliyopita. 


KUTOKA KIJIWENI\

Vijimambo!


UTOAJI TUZO KILI MUSIC AWARDS JANA USIKU
Wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi ulienda kwa msanii wa vichekesho Mpoki

Wimbo bora wa RnB Nikikupata ulienda kwa msanii Ben Pol

Kushoto ni mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Combinations Sound Man Water akipokea tuzo ya mwimbaji bora wa kiume kwa niaba ya 20% kutoka kwa mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd Juhyana Kusaga.
TUZO ALIZOCHUKUWA 20% NI
1.       Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa Mbaya
2.       Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
3.       Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume
4.       Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
5.       Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume

Wimbo bora wa Hip Hop Karibu Tena ulienda kwa msanii Joh Makini


Mtayarishaji bora wa nyimbo Lamar

Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikishwa tuzo ilienda kwa JCB na Jay Moe

Mwenyekiti wa Tanzania mitindo house, Khadija Mwanamboka akimkabidhi msanii wa kizazi kipya Linah tuzo ya msanii bora wa kike, pia Linah alichukua tuzo ya msanii mpya anayechipukia

Wimbo Bora wa Reggae, What u Feel Inside - Hardmad

Kushoto ni msanii Bonta, JayMoe, Ksingo, Nikki wa Pili na Ruben


Deepika Padukone’s Top 15 Looks

Deepika first hit our screens with adverts for Close-up, Liril and Dabur and swiftly moved into Bollywood with her debut film Om Shanti Om where she shared screen space with Shah Rukh Khan.

The girl next door with an edge, the leggy beauty looks effortlessly stylish whether she dons an Indian ensemble or red carpet gown. On screen, Padukone always manages to add personality to her character with her outfits.


Vogue.in celebrates the cover girl who always puts her fashionable foot forward, by showing you her best looks so far. 




            WEEK-END PHOTO:
                Asia Dachi akiwa pande za home kwao

No comments:

Post a Comment