Pages

Pages

Thursday, April 14, 2011

KASHFA YA MEREMETA YAANZA KULINDIMA BUNGENI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4PZBEzDM3m8imVZ4-QAzhNauzWwKSVU4VQMbEpXxW1viwA8QTL2lRhwYf-Yzh-GzZL8NTMnPDifNAA-LHVRpOXBNlauO0waNYc-GXTQnZnqy1F3xshADjWHV6ADFzxrmtUSwcOTOQ5R3Z/s1600/zitttoo.jpg   Mbunge Zitto kabwe na peter mnyika leo wameanzisha insu mpya inayozungumzia kashfa ya bilioni 150 zilizotolewa na serikali kuendeleza mgodi wa buhemba.
    Duru za siasa nchini Tanzania zinasema kuwa fedha hizo hazikutumika ipasavyo na kuingia mifukoni mwa watu binafsi.
    Wachunguzi wa mambo chini wamesema hii itakuwa ni moja ya agenda zitakazowekwa hadharani  siku ya jumamosi katika maandamano yaliyopangwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA).

BOB JUNIOR AMPAKA DIAMOND


           MWIMBAJI na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la ‘Masharobaro’, Bob Junior ‘Rais wa Masharobaro amesema kuwa sababu ya msanii, Nasib Abdul ‘Diamond’ kukosa tuzo mwaka huu inasababishwa na kujikweza kwake.
        Alisema Dimond baada ya kupata tuzo tatu mwaka jana amekuwa anajisikia na kujiona huku akitafuta wanawake wenye sifa mbaya ili aweze kuandikwa.
        Bob Junior ambaye ndiye alitayarisha albamu ya msanii huyo ya kwanza alisema kuwa sifa zinamfanya msanii huyo kushindwa kufanikiwa katika tuzo za mwaka huu.
        “Msanii huyo amekuwa akinitafuta hata mimi na kufikia kunilalamikia kuwa namuongezea fedha za kutengenezea nyimbo, kitu ambacho ni maamuzi ya kiofisi.
        Alisema kuwa ukiachilia suala la kuchukua jina lake la Rais wa wasafi akibadilisha jina lake la rais wa masharobaro ambalo lina maana hiyo kwa sasa amekusanya genge kwa nia ya kumfanyia kitu kibaya, hali iliyomfanya atoe taarifa kituo cha polisi

Besigye wa Uganda apigwa risasi mkono

Dk Kizza Besigye
Besigye amekuwa akitembea kwenda kazini kama njia moja ya kufanya maandamano
                 Habari kutoka nchini Uganda zinasema kwamba kiongozi wa upinzani nchini humo Kizza Besigye amepigwa risasi ya mkono na maafisa wa polisi ambao walikuwa wakijaribu kuwatawanya watu waliokuwa wakiandamana na kiongozi huyo wa upinzani mjini Kampala.
                Awali polisi walijaribu kumzuia Besigye kutembea kwa miguu hadi kazini kama sehemu ya maandamano ya kupinga ongezeko la gharama ya maisha, lakini juhudi zao ziligonga mwamba baada ya raia kumzingira Besigye.
Watu kadhaa wakiwemo wabunge wawili wamekamatwa na polisi.
                Kumekuwa na taarifa pia za maafisa wa polisi kutumia gesi ya kutoa machozi katika hospitali moja, baada ya waandamanaji kuanza kuwapura kwa mawe, walipokuwa wakiandamana na kulalamika juu ya ongezeko kubwa la bei za bidhaa muhimu na mafuta.
                Mfanyakazi mmoja wa hospitali hiyo katika mji wa Kasangati, nje kidogo ya mji mkuu wa Kampala, amesema baadhi ya kina mama waliokuwa na watoto wagonjwa katika hospitali hiyo iliwabidi kuwahamisha watoto ili wasiathiriwe kwa gesi hiyo ya kutoa machozi.
               Besigye kwanza alikamatwa siku ya Jumatatu, akiwa pamoja na wabunge wachache, waliokuwa wakishiriki katika maandamano kama ya leo.
Siku ya Alhamisi alikamatwa tena baada ya maandamano.
               Mkuu wa polisi, Kale Kayihura, amesema maandamano hayo sio halali, na yeyote atakayeshiriki katika maandamano hayo atakamatwa.



WABUNGE WATAKA KUZICHAPA BUNGENI WAHIMIZA MILANGO IFUNGWE NDONDI ZILIKE

   Zogo hilo lililodumu kwa takriban dakika 20 liliandamana na hatua ya wabunge wa pande zote mbili kurushiana maneno ya kejeli, kutishana na kuzomeana wakitumia vipaza sauti vilivyo mbele ya viti vyao, kinyume cha taratibu za kawaida za Bunge.
     Miongoni mwa sauti zilizosikika nyuma ya vipaza sauti hivyo ni ile ya maneno ya kuwataka walinzi wafunge milango ili wabunge wachapane makonde ili kumaliza mzozo huo ulioanzishwa na hatua ya Kamati ya Uongozi wa Bunge kubadilisha kanuni.
        Vurugu hizo zilianza baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kumaliza kutoa tangazo la uchaguzi wa wenyeviti wa Bunge, wawakilishi wa Bunge la Muungano katika Bunge la Afrika, wabunge wa SADC na wawakilishi wa Bunge kwenye Bodi ya Mpango wa Tathmini ya Utawala Bora Afrika (APRM).
       Wakati akitangaza utaratibu wa chaguzi hizo, Spika Makinda aliwaeleza wabunge kuwa katika nafasi za wenyeviti wa Bunge, kanuni zinataka kuwe na majina sita ili yapigiwe kura na kubaki matatu, likiwamo jina moja la mbunge kutoka Zanzibar.


 FUNK MASTER FLEX KATEMWA NA MKEWE

   This bit of information dropped last week on the net but the voracity was questionable.  After several reliable sources picking up the story it seems like it may be true afterall.
After Flex had a very public beef with the staff at New York’s Power 105 his wife of 18 years has decided to leave him.  She released the following statement via her blog but shortly took it down


WHY DO MEN SPEND SO MUCH TIME CHASING WOMEN THEY DON'T PLAN TO MARRY?


     If you take a look at the men who congregate at any social outing, you’ll notice they have a tendency to huddle in semi-circle looking at women.  They attempt to be discrete at first, but as the liquor pours on, they forget about their efforts to cover up their blatant staring.  And if you look closely, those men are slightly covering their mouths with their drinks so they can talk to each other about what they see and share scouting reports.  Seems a bit much right?  It actually is.  The things these men are trying to decipher are:
 WAANDISHI WAKIGOMBANIA MKWANJA TOKA KWA MADAM RITAH
      Madam Ritha Paulsen leo alikuwa katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam ,akiwa na shughuli maalumu iliyowahusisha waandishi wa habari,. Alipotoka nje ya ukumbi wa Habari Maelezo na kuingia ndani ya gari yake ndipo ilipozuka 'pata shika na nguo kuchanika', Ni pale Madam Ritha alipotoa bahasha kwa mmoja kati ya waandishi, Kilichofuta hapo ni kama uonavyo pichani. Kundi la waandishi walilivamia gari lake na kugombania chochote kitu. Mwishowe Madam Ritha aliondoka kwa kasi kukwepa adha hiyo ya waandish

LADY GAGA AANGUKA JUKWAANI 

STEFANI JOANNE ANGELINA GERMANOTTA AKA LADY GAGA

Lady Gaga hivi karibuni alianguka kwenye stage wakati anapiga live show Houston,Marekani

Lady Gaga alikua kwenye tour yake iitwayo Moster Ball Tour na wakati anaimba wimbo uitwao You and I katikati,mzuka ulipanda na kupanda juu ya piano akiwa na viatu vya mchuchumio na bahati mbaya akatekeza na kuanguka sakafuni,na hakuumia bali alizuga na kuendelea na Performance kama kawa,na kuonekana kama kuanguka kwake ni sehemu ya show hiyo

No comments:

Post a Comment