Pages

Pages

Thursday, April 14, 2011

VIMINI VYA WABUNGE VIJANA VYAWARUSHA ROHO VIGOGO BUNGENI

         NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewataka wabunge kuvaa mavazi rasmi wakiwa bungeni mjini Dodoma ili kuepuka usumbufu wakati wakiingia getini.
          Akizungumza muda mfupi kabla ya kuahirisha Bunge juzi jioni, alisema amepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wabunge kuwa wamekuwa wakisumbuliwa  getini wakati wa kuingia.
  “Kwa wanaume hakuna tatizo, nachukua fursa hii kuwapongeza,” alisema na kuwafanya wengi wa wabunge kushangilia.
          Ndugai alisema huo ni utaratibu ambao wameupanga wenyewe hawana budi kuuzingatia pindi wanapokuwa bungeni mjini Dodoma
         Akinukuu kanuni ya Kudumu ya Bunge  namba 146 (1),  inayosema mbunge anayeingia kwenye ukumbi wa Bunge atawajibika kuvaa mavazi ambayo  ni safi na yenye kuhifadhi heshima yake, hadhi ya Bunge na utamaduni wa nchi kama ilivyoainishwa katika kanuni hiyo .
          Alisema kanuni hiyo kifungu cha tatu inataka wabunge wanawake kuvaa vazi lolote la heshima, yaani ambalo si la kubana mwili, lisiloonyesha maungo  ambayo kwa mila na desturi za Kitanzania hayapaswi kuonyeshwa na ni refu kuvuka magotini. 
             Kanuni hiyo pia inawataka wanawake kuvaa gauni la kitenge au blauzi inayovaliwa na kitenge au sketi ya rangi yoyote. Pia kanuni hiyo inaruhusu kuvaliwa kwa suti ya kike au vazi linalovaliwa wakati wa eda.


WABUNGE WA CCM WATEPETA BAADA YA KUONGEZWA  MUDA WA KUTOA MAONI KUHUSU KATIBA
    Wabunge wa ccm leo bungeni walikuwa kama wamemwagiwa maji baada ya kutangazwa kuwa muda wa kujadili na kutoa maoni kuhusu katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania uonezwe mpaka mwezi juni.
         Wakati huohuo wabunge wa upinzani walionekana kufarijika na tamko hilo la serikali ampo imekuwa kilio cha watu wengi nchini.


DRAKE KUFUKUZWA YOUNG MONEY?


  Toka new york.Kuna rumors kuwa Rapper toka Canada,Aubrey Drake Graham aka Drake kuwa amefukuzwa Young Money baada ya kusemekana kuwa alizinguana na mabosi wake Baby na Lil Wayne

Inasemekana kuwa Drake alikua anadai mkwanja wake uliopita Young Money na na pia kudai mkwanja zaidi kutokana na mchango wake alioutoa hapo Young Money!

LICHA YA KUJIVUA GAMBA CC BADO INA MFUMO WA KUKUMBATIA UFISADI
SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya kile kinachoitwa ni kujivua gamba, imeelezwa kuwa hatua hiyo haitasaidia, kwani 'imeondoa
watu badala ya mfumo dhaifu' ambao ndiyo jamvi la mafisadi ndani ya chama na serikali yake.
Imeelezwa kuwa pamoja na CCM kutaka baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi katika kashfa mbalimbali ambazo zimekuwa zikiitikisa nchi kwa muda mrefu sasa, wajirekebishe au kukaa kando, bado wanaweza kutumia mfumo dhaifu uliolea ufisadi kwa muda mrefu, hata kama wako nje, kwani 'watu hao wana vibaraka na mawakala wao katika maeneo mengi nchini'.

Hayo yalisemwa jana na Mjumbe wa Mkutano wa Wilaya Umoja wa Vijana wa CCM, Moshi Vijijini, Bw. Paul Makonda alipozungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua hiyo ya CCM, ya kuteua wajumbe wapya wa Kamati Kuu (CC) na sekretarieti, baada ya wale wa awali kujiuzulu.

Alipobanwa na waandishi wa habari, wakitaka kujua kundi lipi analitumikia kati ya yaliyopo ndani ya CCM, alisema kuwa anatumwa na wananchi wasiokuwa na sauti, wanyonge, wasiosikika, walioko vijijini, baadhi yao wakiwa ni wana-CCM, ambao wakati mwingine si rahisi kuvifikia vyombo vya habari na kupaza madai yao dhidi ya matatizo yanayoikabili nchi na chama chao.

 

DAMN! Oprah is Charging $1 Million for Ad Space on Her Final Show!


      Oprah is indeed the ultimate baller when it comes to media and entertainment.  As we all know she has her own cable network and will be shutting down her world famous talk show soon.  However, did you know that she was going to $1 million for each 30-second ad spot during the show’s final episode?
That’s right, if you want to advertise during the historic final episode it will cost you a cool mil.  Now that’s some serious balling right there!


SIJAFILISIKA TONI BRAXTON
Toni Braxton Pictures  Mwanamuziki Toni braxtoni amekanusha kufirisika japo kuwa anakabiliwa na deni kubwa la bilioni zaidi ya 80 kutokana matumizi yake.
  Toni amesema bado yuko juu na ajafulia kwani anamiliki magari matatu ya kifahari,jumba la kifahari na anatumia usafiri wa daraja la kwanza(busness clss) pindi anapokuwa na safari ndefu


Kobe Bryant B*tch Slapped With $100K Fine for Calling Ref a F*ggot



     Damn, and Kobe Bryant was doing so well.  He won two back-to-back championships and got finals MVP last year but now his image is becoming tarnished again after he called a ref a homophobic slur during recent game.
If you want to know exactly what he said, he called the ref a f***ing f*ggot and there’s now denying it because they caught him on tape.  As a result of his antics the NBA hit him with at $100,000 fine.


Mpendazoe Vs Dk. Mahanga kortini
              MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mei 25, 26 na 27 itaanza rasmi kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Segerea uliofanyika mwaka jana yaliyomtangaza Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kuwa mbunge, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya (CHADEMA), Fred Mpendazoe.
            Mbali na Dk. Mahanga washtakiwa wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo.
           Katika madai yake mlalamikaji ambaye ni Mpendazoe anataka Mahakama Kuu itengue ushindi wa Dk. Mahanga kwa kuwa taratibu za sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 hazikufuatwa

Lazima Gaddafi aondoke, viongozi wasisitiza

Muammar Gaddafi na wafuasi wake
             Viongozi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa wamesema katika ujumbe wa pamoja kwamba hakutakua na amani nchini Libya iwapo Muammar Gaddafi ataendelea kuwepo madarakani.
Shirika la Nato na washirika wake,wanasema, lazima waendeleze harakati za kijeshi ili kulinda raia na kuongeza shinikizo kwa serikali ya Kanali Gaddafi.
           Kumuachia aendelee kukaa madarakani,wanasema,itakuwa ni usaliti kwa watu wa Libya.
Nato imekuwa katika harakati za kuongeza ndege zaidi za kijeshi kwa ajili ya mpango huo.
           Ni wachache kati ya wanachama wake 28 - ikiwemo Ufaransa,Uingereza, Canada,Ubelgiji, Norway na Denmark -wanaoendeleza mashambulio ya angani.
          Katibu mkuu wa Nato, Anders Fogh Rasmussen,amewaambia mawaziri wa mambo ya nje mjini Berlin kuwa hajapata ahadi yoyote ya kuongezwa kwa ndege za kivita kutoka kwa washirika lakini ana matumaini kuwa hilo litafanyika.


Coolio 'Completely Hammered' at Concert -- The Pics!

       Coolio was a drunken, incoherent, vulgar mess at a concert last week in Minneapolis -- this according to the owner of the venue ... and based on the pictures obtained by ... dude ain't lying.

0414_coolio_Launch
        The rapper stopped by a place called The Lounge for their "Hip Hop Thursday" event -- where he performed three songs, including "Gangster's Paradise" ... and we're told, he could barely speak the words.

      Lounge owner Bryan Bell tells us, "Coolio was completely hammered ... a trainwreck, he was totally vulgar and completely incoherent and I did not want to be there for it” -- adding, “This is not what the Lounge does. This is not what we do at our club."

No comments:

Post a Comment