Pages

Pages

Wednesday, April 20, 2011


    MAJAMBAZI MWANZA WAONJA JOTO YA JIWE           Jana majira ya saa kumi na dakika kadhaa jioni jeshi la polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kuwatia nguvuni watu wanne wanaotuhumiwa kwa kufanya ujambazi wakiwa na bunduki moja aina ya smg na bastola mbili moja ikiwa na risasi 12 na na ya pili ikiwa na risasi 2.
Kwa mujibu wa kamanda wa jeshi la polisi Mwanza Simon Sirro amesema kuwa watu hao wamekematwa katika eneo la mtaa wa libert jirani na benki ya NMB wakiwa kwenye harakati za safari kuelekea Nyegezi ambako walipanga kwenda kufanya uvamizi kwenye duka moja.
           Awali majambazi hayo yalivamia bar moja eneo la kilimahewa na kuwalaza watu chini kisha kupora mali zao na kuiba bastola ya mteja mmoja. Majambazi hayo yaliyokuwa katika gari dogo yalipostukia kuwa yanafuatiliwa yalianza kufyatua risasi hovyo hali iliyosababisha shughuli za biashara kwenye eneo la tukio kusimama kwa muda.

           Raia wema ndiyo waliofanikisha kukamatwa kwa majambazi hao kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ambao nao bila ajizi walifuatilia nyendo za majambazi hao na hatimaye kufanikiwa kuwatia nguvuni.

             Wawili kati ya majambazi hayo manne hali zao ni mbaya na wamepelekwa hospitali ya Rufaa Bugando, mmoja katwangwa risasi mguuni na takoni ile hali mwingine sugu anayetambulika kwa jina maarufu 'Askofu' akiwa amevunjika mguu kabisa kwa kutwangwa risasi wakati alipojaribu kuitoroka mikono ya polisi.

        "Watu wanatafuta fedha kwa njia zisizo halali kwa kutumia nguvu na hata kufanya mauaji ili wapate fedha kwaajili ya sikuu ya pasaka, napenda kuwatahadhalisha wote waliopanga kuingia Mwanza kufanya uhalifu kuwa waondoke wakiwa wameaga makwao kwani hawatatoka wakiwa salama" amesema kamanda Sirro.

        Jeshi la polisi mwanza linaendelea kufanya uchunguzi zaidi juu ya tukio zima ambamba na kuwahoji watuhumiwa wote wanne wa mkasa huo.


Wiz Khalifa Confronts Kanye West at Coachella Over Amber Rose?


           Say it ain’t so!  We know Wiz Khalifa can’t be serious if the following story is true!
According to Media Takout, internet and recently crowned pop sensation, Wiz Khalifa, reportedly stepped to Kanye West about him disrespecting his wifey, Amber Rose.
          Allegedly Kanye was on stage performing Sronger and slightly altered the words of one of the verses to say “I did anything for that blonde dike” with Amber Rose standing on stage several feet away from him.  Apparently this pissed off Khalifa who confronted Yeezy, which sparked off a tussle that got security involved.
          Seriously though hommies, there are other chicks out there that are worth fighting over.  Make a song together and make up.  We’re pretty sure that when Wiz and Amber break up he and Kanye will make a remake of “The Girl is Mine” together.


SERENA WILLIAMS AJIACHIA MIAMI

        Serena Williams looks in great spirits as she confidently shimmies down the beach in a mis-matched bikini.
The Wimbledon tennis champion put on a little dance as she relaxed with friends in Miami toda
   Serena Williams, who has slipped to world number 11 in her absence from the WTA Tour, is unlikely to return before the summer and admitted that the time spent on the sidelines had taken an emotional toll.
A part of her lung had 'died' from the pulmonary embolism and she has remained on blood thinning medication.
But while she hasn't been able to play tennis, she has been able to keep up with her lucrative sponsorship contracts.
      A television advert featuring her curvy figure was recently released to promote Top Spin 4, a tennis game made for the Wii console.
But it is unlikely to be seen by many - the game’s maker 2K Sports rejected it because it was deemed too raunchy. 



Mpinzani Nigeria apinga matokeo


Hoteli iliyopigwa bomu Kaduna
          Mpinzani mkuu katika uchaguzi wa urais Nigeria, Jenerali Muhammadu Buhari, amesema kulikuwa na hila iliofanywa kwenye uchaguzi wa Jumamosi.
          Bw Buhari ambaye aliwahi kuwa mkuu wa majeshi aliiambia redio ya Marekani kuwa kuna maeneo upande wa kusini wenye wafuasi wake wengi hawakuruhusiwa kupiga kura.
          Lakini alisema chama chake kitapinga matokeo kwa mujibu wa sheria na kusihi kuwepo kwa amani baada ya ghasia kuibuka upande wa kaskazini kufuatia Goodluck Jonathan, aliyetoka kusini, kushinda.
Shirika la msalaba mwekundu limesema watu 48,000 kwa sasa wamekimbia vurugu hizo.
         Katika jimbo la Kaduna, vyanzo vya polisi vimeiambia BBC takriban watu 400 wamekamatwa wakihusishwa na mapigano hayo.
         Mwandishi wa BBC Abdullahi Kaura Abubakar amesema kwa sasa hali imetulia kwenye mji wa Kaduna, ambapo mitaa imejaa maiti zilizochomwa moto na wengine wakachoma makanisa, vituo vya polisi pamoja na nyumba baada ya siku mbili za ghasia.
        Alisema, mapigano yanaendelea katika maeneo mengine ya jimbo hilo na majeshi ya usalama yamesambazwa zaidi maeneo hayo.
       Bw Jonathan alitangazwa kuwa mshindi kwenye uchaguzi wa rais siku ya Jumamosi, huku tume ya uchaguzi ikisema kapata takriban asilimia 57 ya kura zote ambayo ni kura milioni 22.5 ukilinganisha na kura milioni 12.2 za Bw Buhari.
       Waangalizi wa kimataifa walisema uchaguzi huo ulikuwa huru na wa haki.


     

          AVRIL ACHANGANYKIWA NA TUZO
Mshindi wa Tuzo ya Teeniez Female Artistes of the Year kwenye Chaguo la Teeniez Awards,zilizofanyika kwenye viwanja vya Carnivore-jijini Nairobi,amepagawa kwa ushindi mpaka kufikia kulia kwa furaha alipotangazwa kuwa mshindi....na kusema kuwa hakutegemea kushinda tuzo hizo coz alikua kundi moja na wakali kama Amni,Wahu na Size 8....
    Hapa aikilia hukun akisali na kumshukuru mungu kwani alijua tuzo hiyo ni ndoto kwake kuipata.


GUCCI MANE ATETEWA

Gucci Mane Ringtone

A lawyer for Atlanta rapper Gucci Mane has denied accusations that he pushed a woman out of his Hummer as it was moving, resulting in a misdemeanor charge.

Yesterday (April 19th), Gucci, born Radric Davis, was formerly charged with battery, reckless conduct and disorderly conduct.

The rapper, who is still incarcerated, plans to plead not guilty, according to his lawyer Ashutosh Joshi.

Prosecutors accused Gucci of showing a "willful disregard for a woman's personal safety" when they formally charged the 31-year-old rapper.

"We obviously believe the charges are false,"Joshi told the Macon Telegraph. "We don't agree with them and we look forward to having the opportunity to fight the charges in court."

Gucci is accused of pushing a 36-year-old woman named Diana Graham out of his Hummer on January 28th, after the woman allegedly refused a proposition from the rapper, to visit a local hotel. 

 

Sexy Rihanna - Her Messed-Up Rolling Stone Interview Is Sad



sexy_rihanna_photos.jpg         Rolling Stone Magazine has done it again: managed to get a revealing interview out of an iconic star: in this case, Rihanna. The Hip Hop singer still most-closely linked to artist Chris Brown says she likes to be spanked, is into sexting, and has been making songs about abuse in the wake of her violent relationship with Brown.
Two years ago, Chris Brown and Rianna had an argument that turned ugly, with Brown hitting her in the face, causing it to be badly disfigured. Brown gave an apology that to this day many don't believe, and is still (as evidenced by his recent blow-up after being interviewed by Good Morning America's Robin Roberts) not completely normal and has anger problems.
Rihanna also has her problem - with the fact that she's a public figure.
In a recent Twitter dust-up, Rihanna got after blogger Sandra Rose criticized her for agreeing to have the restraining order against Brown partially lifted. Ms. Rose said that "The true fans who supported Rihanna through those tough times after chris brown beat her azz deserve better than this." The hot singer / model tweeted back "I would've sworn he beat YOUR ass, just by how upset u are! My fans don't care abt a restraining order and neither do I! My bad!"
In Rolling Stone, Rihanna said the issue was essentially none of Rose's business and that it was her personal decision.


WAREMBO MISS TABATA 2011


Watoto wa ogoth wakiwa wamekaa kimapozi ya picha huko Dar west



DA BRAT AJICHORA TATTOO YA MICHAEL JACKSON MGUUNI
 Da Brat decided to show her respects to MJ and got a tattoo of him on her leg.  We ain’t mad at that!http://ondareal.com/wp-content/uploads/2011/04/MJshot98798.png
Da brat ambae ni kipenzi kikubwa cha marehemu Mj.


Aliyeichoma Moto Quran Atupwa Jela Siku 70


Andrew Ryan

Andrew Ryan mwenye umri wa miaka 32 aliiba msahafu toka kwenye maktaba ya mji wa Cumbria na kisha kwenda katikati ya mji na kuuchoma moto msahafu huo kwenye eneo ambalo kulikuwa na maduka mengi.

Andrew alilifanya tukio hilo mwezi januari mwaka huu akidai analipiza kisasi kwa vitendo wanavyofanyiwa wanajeshi wa Uingereza nchini Afghanistan.

Andrew ambaye ana historia ya kufikishwa mahakamani mara sita kwa makosa tofauti tofauti likiwemo kosa la kutoa kauli za ubaguzi wa rangi kwenye mechi ya soka, alihukumiwa kwenda jela siku 70.

Akitoa hukumu ya kesi hiyo, jaji Gerald Chalk alimwabia Andrew: "Wewe ni mtu mwenye historia ya kufanya matukio ya uhalifu na kuvunja sheria".

"Uliamua kufanya kosa hili kubwa na kuwavunjia heshima waislamu", alisema jaji Chalk.

Andrew aliambiwa kuwa anaruhusiwa kuonyesha hisia zake hadharani lakini si kwa kufanya kitendo ambacho kitasababisha ukosefu wa amani kwenye jamii.

Andrew alikiri kosa la kufanya kitendo cha kueneza chuki za dini na pia alikiri kufanya wizi kwa kuiba msahafu toka kwenye maktaba ya manispaa.


  Wiz Khalifa Has A Tattoo With Amber Rose’s Name


Yoo. This chick must have some good stuff. First Kanye, now Wiz. WTF…. Check out this pic.

   


KOCHA WA MCHEZO WA NGUMI SUPER D KUFUNDISHA KWA NJIA YA DVD NCHI NZIMA







    BAADHI ya wanamichezo hapa nchini hupitia hatua ngumu hadi kuyapata mafanikio na pia ni wachache kati yao wanapata mafanikio kwa nia rahisi kutokana na asili ya mazingira wanakoishi na michezo wanayocheza.Mmoja wa mabondia na kocha maarufu nchini Rajabu Mhamila 'Super D'          akizungumza na Gazeti hili hivi karibuni anaelezea mikakati aliyojiwekea baada ya kucheza mchezo huo kwa muda mrefu kabla ya kuachana nao na kuamua kujitosa kuwa kocha kuwawezesha vijana.
    Akielezea historia yake Super D anasema alianza kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka 1984 baada ya familia yake kupitia baba Mohamed Mhamila 'Checknolis' kuwataka watoto wote kufanya mazoezi kujiepusha na magonjwa kutokana na miili yao kuwa na asili ya


No comments:

Post a Comment