Pages

Pages

Friday, April 29, 2011

WAREMBO WENYE NIDHAMU CHAFU WAFUKUZWE-MAWAKALA

msimamizi toka Basata omary mayanga akiwa na hashim lundenga katia semina hyo inayoendelea katika hoteli ya paradise city hetel iliyopo posta mpya.
    MAWAKALA ambao huandaa mashindano ya urembo ,Miss Tanzania leo wametoa dukuduku lao kwa Kamati ya Miss Tanzania na kuomba waandae kanuni zitakazowabana warembo watakaotwaa taji la Taifa yaani Miss Tanzania pindi watakapofanya vitendo vya utovu wa nidhamu.


   Mawakala hao ambao wamesema hayo leo katika semina ya siku moja iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo.


   “Mkurugenzi Lundenga tumekuwa tukipata wakati mgumu wa kupata warembo wenye vigezo kwani wengi wazazi wao hukataa kuwata ruhusa ya kushiriki kutokana na vitendo wanavyovifanya warembo waliokwisha pata mataji na hasa Miss Tanzania” alisema wakala mmojawapo.


   Akijibu hoja hiyo kwa kifupi Mkurugenzi pia Mratibu wa Miss Tanzania Hashim Lundenga akajibu kwa kusema kwamba wao hawastahili kupewa lawama hizo na jamii kwa kila mshiriki anayekuja na kuingia kambini huwa ana malezi yake huko alikotoka yaani kwa wazazi wake au walezi, lakini katika kuchukua tahadhari watakaa na kuweka mkakati wa kukabiliana na na tatizo hilo huku akiwataka wakala wote washirikiane na Kamati ya Miss Tanzania ili kuweka nidhamu ya mashindano hayo



PICHA ZAIDI KUHUSU HARUSI YA KIFALME
    Wakivalishana pete.
In this image taken from video, Britain's Prince ...Prince William, Kate Middleton, Kate, Duchess ...
 Wakiwa katikas usafiri.
Britain's Prince William kisses his wife Kate, ...
Denda kwa chati..mmmhwaaa.. 
Britains Prince William and his wife Catherine, ...
Mchizi alishidwa kuvumilia ilidi anywe lita kadhaa za mate toka kwa mkewe.
Kate Middleton, Michael Middleton, Pippa Middleton
Heshima ilikuwepo.
Britains Prince William and his wife Catherine, ...
Then kijiusafiri cha nidhamu kilikuepo pia.

No comments:

Post a Comment