Pages

Pages

Saturday, April 30, 2011

MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DSM

Nembo mpya ya miss Tanzania
                                       Mkurugenzi wa miss Tanzania Hashimu Lundenga kushoto akiteta jambo na wadau
                                Jaqueline chuwa mwaandaji wa Miss kilimanjaro(kulia) akiwa ameweka pozi a grasi.

                                     Miss TANZANIA anayeshikiria taji  MPANGALA
       Mkurugenzi wa MISS TANZANIA LUNDENGA akizungumza wakati wa uzinduzi wa miss TANZANIA nyuma yake akiwa na baadhi ya warembo waliowahi kutwaa taji la miss TANZANIA

  Baadhi ya warembo waliowahi kutwaa taji la miss TANZANIA wakiwa katika picha ya pamoja  wakati wa uzinduzi wa shindano la Miss TANZANIA ambapo kampuni ya simu za mkononi VODACOM imeingia mkataba wa miaka miwili na kamati ya miss TANZANIA ili kuendeleza fani hiyo ya urembo



  
MADEREVA UBUNGO WAZUA KIZAZAA
   Madereva asuhi ya leo waligoma ikiwa ni kuazimisha siku ya wafanyakazi kwa staili ya kudai haki zao ambapo safari zote zilisitishwa mpaka mida ya saa saba ndiyo baadhi ya magari yakaanza kutoka.





   GADDAFI ANATAKA MAZUNGUMZO
Kiongozi wa Libya, Kanali Gaddafi, ametoa wito kwa Nato kwamba kufanywe mazungumzo ili kusimamisha mashambulio ya ndege za umoja huo dhidi ya nchi yake.
Katika hotuba iliyotangazwa kwenye televisheni, Kanali Gaddafi alisema yeye yuko tayari kusimamisha mapigano ikiwa itakubaliwa na pande zote.
Mlibya anatazama hotuba ya Kanali Gaddafi
Katika hotuba yake Jumamosi asubuhi, kiongozi wa Libya alisema yuko tayari kutoa amri kuwa mapigano yasitishwe na kuanza mazungumzo, endapo NATO itaacha mashambulio ya mabomu.
Lakini alikataa lile dai kubwa la wapiganaji na jumuiya ya kimataifa, kwamba yeye aondoke.
Alisema hatong'atuka wala kuihama Libya.
Wengi serikalini wanaona kuwa wameshakaribisha mazungumzo kwa kukubali mpago wa Umoja wa Afrika wa kurejesha amani; lakini wanahisi upinzani ndio hautaki kumaliza mapigano, kwa sababu unakataa kuzungumza na serikali ya Kanali Gaddafi.
Alipokuwa Kanali Gaddafi anazungumza, NATO ilidondosha makombora matatu mjini Tripoli, kwenye yale yaliyoonekana kama majengo ya serikali.
Hotuba ya Kanali Gaddafi, ilikuwa mchanganyiko wa kukaza na kulegeza kamba.
Alisema kila mwananchi wa Libya sasa anakabili mambo mawili : uhuru ama kifo.
Hakuna kusalliam amri, hakuna hofu wala kuondoka. 


DVD YA SUPER D BOXING COACH KUPATIKANA KIURAISI 

Rajabu Mhamila Super D (kushoto) akisisitiza jambo wakati anaelekeza vitu vya msingi vilivyomo katika Video ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kulia ni Said Chaku, Amri Massare na Antoni Ruta

Edson Joel na Zaituni Kibwana wakiangalia kava ya Super D Boxing Coach leo
Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D (kushoto) akitoa maelekezo yaliyomo katika DVD yake ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa wadau wa mchezo huo kutoka kulia ni Saidi Chaku, Amri Masare, Zainabu Kiliware, Edson Joer na Antoni Ruta Dar es salaam leo ambapo VIDEO CD hazo zitapatikana kwenye mapambano yote ya ngumi nchini.
 
 
 

Diamond Reveals Why She Left Lil Scrappy for Soulja Boy!


    This is a lesson to be learned for all of you dudes out there that show jealousy toward your girlfriends.  Diamond recently implied in an interview that the reason that she left rapper Lil Scrappy for Soulja Boy was because Scrappy always tried to compete with her.
   The implication came about when she revealed that the reason she was attracted to Soulja was because he always taught her.  Shortly after saying this she made a quick comment about certain dudes not wanting to teach you anything and only want to compete.  Below is her exact quote from the interview:
  “He’s always been real sweet . . . He’s very very smart, very intelligent.  I learn a lot from him and that’s what I look for when I date a guy.  I like to learn.  Teach me.  Sometimes guys may not want to teach you, they want to compete.

No comments:

Post a Comment