Pages

Pages

Monday, May 2, 2011

MARIAH CAREY AJIFUNGUA MAPACHA..!!


 Furaha imeongezeka zaidi katika familia ya Nick canoon,Jumamosi ya tarehe 30 April 2011 mnamo saa 12:07 za mchana kwa saa za Marekani jijini Los Angeles baada ya Mariah Carey kujifungua watoto mapacha baby ambapo kulwa ni wa kike na doto ni wa kiume.
Carey amejifungua salama na hii ili kukamilisha furaha ya ndoa yao Mariah Carey alikua anasikiliza wimbo wake wa We Belong Together! huku mumewe akisikilizia kwa chati,lakini watoto hawa bado hawajapewea majina.

No comments:

Post a Comment