Pages

Pages

Sunday, May 22, 2011

EXCLUSIVE:MZEE YUSUPH AMMENDEA DADA YAKE DIAMOND..!!

    Jinsi video ilivyokuwa ikichuliwa

  Artist Mzee Yusuph amejikuta anashidwa kujizuia na kutamka hadharani kuwa anamzimia dada yake Diamond kinom noma.
    Dada huyo wa mwanauziki mahili  ambapo jina jina lake halikupatikana mara moja lakini nae alionesha kushawishika zaidi licha ya kuwa na pete ya ndoa kidoleni,kilichofuta walibailishana namba na kilichofuata haikujiulikana kirahisi ambapo tukio hili lilitokea wakati wanachukua picha za video ya msanii Chid Beenz.
    Wakosoaji wa mambo wamedokeza kuwa uhariri wa video hiyo haukuwatendea haki watu walioalikwa katika video hiyo kwani haukuonekana umuhimu wa watu hao kwani wengi hawakuonekana na walionekana ni kifinyu sana.
   Songi hilo linaitwa mashaalah... ambapo chidi Beenz kamezwa mwanzo mwisho na Mzee yusuph katika songi hilo.




MSHIRIKI MISS UNIVERSE AZUSHA KASHESHE
    Mdada anaegombania taji la Miss Universe 2011 Yakoba Asenga amefosi bifu na muandaaji wa shindano kutoka kanda ya kaskazini baada ya kurushiana maneno kwenye simu usiku kucha wa kuamkia leo.
    Chanzo cha kasheshe hiyo ni demu huyo alipojivisha maujiko na kudai anamiliki Agency ya wanamitindo kumbe ni ya boyfriend wake ambapo alimjia juu mwaandaji huyo pindi wadau wake walipofika eneo ambapo mamodo hao wanapofanya mazoezi na kufanya utaratibu kama wanaweza kupata washiriki.
    Yakoba hakutaka wadau hao waongee na mamodo hao bila ya idhini yake kana kwamba yeye ndiye mmiliki kumbe ni mpambe tu na maongezi hayo yalisimamiwa na huyo jamaa aliejulika kwa jina moja tu la Benny.
    Baada ya kumuuliza mmiliki aitwae Benny alikili kuwa Yakoba hana hisa zozote ila ni Girlfriend tu wa jamaa huyo.
    Yakoba ambae alikuwa mbogo kwa muandaaji huyo kwa kurushiana maneno ya kejeri na masimango usiku kucha ambapo chanzo cha ugomvi huo ni yakoba kuangukia pua katika mashindano ya Miss kilimanjaro mwaka jana.
  Duru za habari zinasema kuwa si mara ya kwanza demu huyo kula za uso katika mashindano hata mwanzoni mwa mwaka huu aliangukia pua katika mashindano ya Miss utalii.



MWAKYEMBE AMDUNDA MGANDA
Bondia wa ngumi za kulipwa Benson Mwakyembe MTanzania(kushoto) akimtwanga Kakamde Charles wa Uganda wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki Mwakyembe alishinda kwa K.O raundi ya sita.

No comments:

Post a Comment