Pages

Pages

Saturday, May 21, 2011

KIMBEMBE CHAANZA MISS UNIVERSE KAMBINI..!!


      Warembo wa miss UNIVERSE wakiwa katika pozi wakati wa utambulisho kwa waandishi wa habari
 Warembo wa miss UNIVERSE kutoka mikoa tofauti ya Tanzania wakiwa katika pozi
Washiriki wa shindano la kumsaka miss Universe wameingia kambini kujiandaa na shindano hilo ambalo mshindi atakwenda nchini Brazil kushiriki shindano la DUNIA.
DK.KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA SHEIKH YAHYA HUSSEIN
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika msafala wa kuelekea malaloni alipozikwa marehemu sheikh yahya hussein.
msafara wa Rais wa jamhuri ya muungano Dk.JK KIWETE ameongoza maelfu ya waombolezaji waliojitokeza katika mazishi ukibeba jeneza la marehemu kuanzia Magomeni Mwembechai hadi msikiti wa Manyema Kariakoo na kisha Tambaza makaburini kwa miguu na hawakutaka jeneza lake libebwe kwa gari!





KEISHA COLE NA BOBBIE KUOANA HIVI KARIBUNI

Wedding season is here! First up on the celebrity wedding rumor mill is your girl Keyshia Cole and her NBA baller fiancé, Daniel ‘Boobie’ Gibson.
Keyshia set off alarms on Twitter last night when she appeared to tweet that she was finally ready to officially become a Mrs


Marekani hatimaye itazungumza na Taliban

Alipohojiwa na BBC, kabla ya kuanza ziara yake Uingereza Jumatatu, Rais Obama ameonesha kuwa atakuwa tayari kuamrisha operesheni nchini Pakistan, dhidi ya kiongozi mwengine wa Al Qaeda au Taliban.
Obama akizungumza na Andrew Marr wa BBC


    Ingawa Rais Obama alisema yuko tayari kuchukua hatua dhidi ya Mullar Omar kiongozi wa Taliban, lakini kauli yake ilikuwa tafauti kuhusu vita dhidi ya Taliban nchini  Afghanistan.
    Alifahamisha wazi kuwa vita virefu kabisa vya Marekani vinaweza kumalizika kwa mazungumzo na adui:
"Hatuwezi kumaliza tatizo hili kwa vita.
    Tunachoweza kufanya ni kutumia mafanikio tuliyopata kijeshi kutafuta suluhisho la kisiasa.
Inamaanisha kuwa hatimaye lazima tuzungumze naTaliban, ingawa tumeweka shuruti kabla ya mazungumzo ya maana kufanyika.
   Taliban lazima ikate uhusiano na Al Qaeda, iache kutumia nguvu, na itabidi iheshimu katiba ya Afghanistan."

No comments:

Post a Comment