Pages

Pages

Saturday, May 21, 2011

BREAKING NEWS..!! MACHO MAN AFARIKI DUNIA

 
This is a sad day for Wrestling fans everywhere.
The Macho Man Randy Savage died today in a tragic and untimely car accident after suffering a heart attack while driving.  The pain was so severe that he lost control of his car and perished in a fatal accident that occurred shortly after.
His wife of one year was in the car with him during the accident and suffered only minor injuries.
The Macho Man was 58 years old.  God rest his soul.

 


EXCLUSIVE:AMINI AMLIPUA LINAH..!!
  Msanii Amini amefunguka kimya kimya kupitia kwa rafiki zake wa karibu na kusema ni kweli lina alikuwa anamsaliti ndiyo maana alikuwa anapadwa na hasira mpaka kufiki wakati mwingine kumshushia kipondo demu wake Linah.
  Wachunguzi wa mambo wanasema hofu ya kisanaa imetanda kwa Linah kwa kuwa nyimbo nyingi zilizomfanya Lina kuvuma zilitungwa na Amini,je gemu ndo litamgomea binti huyo ama itamlazimu atafute mpenzi msanii mwenye kipaji cha utnzi kama amini ili aendelee kushine kwenye gemu.




VIJANA WAANDAMANA KUPINGA UKOSEFU WA AJIRA HISPANIA
Maelfu ya waandamanaji wamekesha katika medani ya kati ya mji wa Madrid ingawa mkusanyiko huo umepigwa marufuku na tume ya uchaguzi, kwa sababu ya uchaguzi wa majimbo wa hapo kesho.
Maandamano ya Madrid

Wimbi hilo la maandamano lilianza siku 6 zilizopita, na kusambaa katika miji kadha ya Uspania.
Maandamano yanaongozwa na vijana waliochoka na ukosefu wa ajira, ambao umefikia asli-mia-45% kati ya vijana, na rushwa na hisia kuwa wanasiasa hawawakilishi wao.
Mamia wameikalia medani ya Puerta del Sol kila siku, na wengine maelfu wanajumuika nao usiku.
Polisi wanasema waandamanaji elfu 25 walijaa katika medani na kufurika katika barabara za kando kando.
Saa sita za jana usiku, wakati amri ya kupiga marufuku maandamano hayo ilipoanza, umati huo ulikaa kimya kwa dakika, kisha ukaripuka kwa zomeo na kelele.
Tume ya uchaguzi ya Uspania ilitoa amri kuwa watu watawanyike jana usiku ili, "watu wapate muda wa kutafakari", kabla ya uchaguzi wa majimbo na serikali za mitaa utaofanywa kesho.
Lakini hadi sasa polisi hawakuingilia kati, na idadi ya waandamanaji inazidi kuongezeka.





CASSIE ATUPIA PICHA ZA UTUPU WAKE KWENYE MTANDAO

Cassie

Msanii Cassie ambae ni mpenzi wa Diddy ameibuka kwa mara pii kwa kutupia picha yake ya utpu kwenye mtandao bila kusita.




LIL ROMEO AMSANUA MPENZI WAKE

Lil romeo amebambwa akila denda na mwanadafada aitwae Kristie Alley"ultimate Hollywood cougar" wachunguzi wa mbo wanadai ukusiano huu upo kichinichini.




PICTURE OF A WEEK
Diana peter akiwa na rafikie home kwao
    Duru za habari zinadai kuwa chanzo cha kumwagana kwa wapenzi hawa ni kitendo cha Linah kufumaniwa na baadhi ya sms za kimahaba na mishtuko kadhaa ilimfikia amini kuwa anaibiwa kimapenzi.

1 comment:

  1. Who is Diana Peter? Is she Tanzanian? Sijawahi kumsikia huyu

    ReplyDelete