Pages

Pages

Wednesday, May 18, 2011

FARMI DOVUTWA AJIKAANGA KWA MAFUTA YAKE MWENYEWE

Fahmi Dovutwa -Mwenyekiti  UPDP
      Fahmi Dovutwa mwenyekiti wa UPDP ameikaanga kwa mafuta yake mwenyew baada kujivua uanaharakati wa kweli baada ya kuibuka na kumtetea Ridhiwani kikwete kuwa anachafuliwa tu jina.
           Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa Dovutwa anauchumbia ubunge ama kutaka kupewa madaraka,na njia ya kujiweka karibu ni kuanza kujipendekeza kwa mtoto wa kikwete ili kujiweka karibu na mabadiliko anayodhania yatamfikia hivi karibuni.
          Duru za siasa nchinin Tanzania zimemchulia mwanasisa huyu kama mtu alieshiwa na mapya kwani si mara ya kwanza kugeuka kauli zake ambapo aliwahi kusema wanasiasa wasitumie muda kujadili mtu mmoja mmoja wakati yeye anamkingia chest Ridhiwani kwani yeye si mtu moja?.
         Dovutwa si mtu mwenye msimamo  katika mipangilio yake kwani aliwahi kuwahadaa wanachama wake baada ya kujitoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kaika hatua za mwisho kama angekuwa mwanaharakati wa kewli angekomaa mpaka mwisho.


WANAKAMATI WAZICHAPA LAIVU UKUMBINI

Jamaa wakizichapa kavu kavu kwenye sherehe naniwanakamati hao Na suti zao hi ni kutokana na kupishana kauli siunajua harusi zinavyochanganya akili




MAY 21 MWISHO WA DUNIA-MANABII FEKI

MCHUNGAJI HAROLD CAMPING
Kwa mujibu wa Mchungaji wa kanisa moja la California nchini Marekani mchungaji Harold Camping,ametabiri kuwa mwisho wa dunia ni Mei 21,2011 saa moja kamili usiku na huenda tusiione tena jumapili ya wiki ijayo,kwani dunia inafikia mwisho wake Jumamosi....

Mchungaji Camping kwa kutumia mahesabu ya tarehe na mafunzo ya biblia, ametabiri kuwa kiama kitakuwa jumamosi na miezi mitano baadae kwenye tarehe 21 Oktoba,mungu ataiteketeza dunia na Mchungaji Camping ambaye anamiliki radio ya dini ya Christian Family Radio Network yenye mtandao mkubwa sana nchini marekani na sehemu zingine dunia Radio yake inarusha matangazo kwa lugha 48 nchini marekani na nchi zinginezo ikiwemo afrika kusini na mchungaji camping mwenye umri wa miaka 89 ana wafuasi wengi sana duniani na amekuwa akipiga kampeni za kuwajulisha watu mwisho wa dunia kuwa ni mei 21

Magari yenye mabango yenye ujumbe mwisho wa dunia Mei 21 yamekuwa yakionekana sehemu mbalimbali za Marekani na amefunguka kuwa mwisho wa dunia ni Mei 21 kwasababu itakuwa ni siku ya 722 500 tangu Yesu aliposulubiwa msalabani mnamo Aprili moja AD33 kwa mujibu wa mahesabu ya Mchungaji Camping na anasema kuwa namba 722 500 ni muhimu sana kwa wakristo duniani kwani inapatikana kwa kuzizidisha namba tatu tukufu (5, 10, 17) mara mbili {5x10x17x5x10x17}

Hii sio mara ya kwanza kwa mchungaji Camping kutabiri matukio makubwa duniani coz Septemba 6 mwaka 1994,Camping na wafuasi wake wengi walikusanyika mbele ya ukumbi wa Alameda wakisubiri kurudi kwa Yesu Kristo ambaye hakutokea na tangu wakati huo,camping amesema kuwa wamefanya utafiti mkubwa sana na hivyo wana uhakika safari hii utabiri wao utakuwa sahihi



KANYE WEST ABAMBWA AKILA DENDA NA DEMU WA KIZUNGU






Arnold Schwarzenegger na skendo mpya!

Well isn’t this a week full of scandals…
In one of the most unsuspecting scandals of the summer, former Republican Governor Arnold Schwarzenegger and Democratic wife Maria Shriver have decided to split after 25 years of marriage. In the wake of the news, it’s come to light that the actor turned politician fathered a child with a member of their household staff almost ten years ago.




NEW: T.O.K's Bay-C Responds to Kartel's Statement on Hair Extensions

tok_group_reggae_dancehall.jpgRecently the self proclaimed Dancehall Hero Vybz Kartel sent out a statement in which he addresses the gossip about his new hairstyle. However Vybz Kartel uses several other artistes as examples which states: .P.S. MAVADO, ELEPHANT MAN, MACHEL MONTANO (whose hair done by the same girl who did mine) I OCTANE T.O.K. ETC HAVE ALL HAD EXTENTION PUT IN. TALK BOUT THAT".
A few days ago I-Octane sent out a press release advising the public that he has never worn hair extensions. Bay C from TOK also responded saying, "To all who seem to be confused, TOK have NEVER worn extensions. To each his own, it's not for me to judge. Having said that let me make it clear....mi a RASTA!!! Lion of the tribe of Judah! DON'T confuse the mane of a LION with the tail of a HORSE!!! BOMBRUSH say that!!!


TAMAR BRAXTON
Picture of a week


GUCCI MANE KUACHIWA MWEZI UJAO

Our boy Gucci Mane can finally get back to lab because it looks his prison sentence has been shortened.  In case you didn’t know, Gucci was locked up for throwing a chick out of his moving car.  Rumored went around saying that Waka and fellow Brick Squad rappers couldn’t bail him out of jail but it looks like the reason he was behind bars was because he may have been denied parole.


No comments:

Post a Comment