Pages

Pages

Wednesday, May 18, 2011

WEMA SEPETU MCHARUKO WAMPANDA AMSUTA CHAZ BABA

               Chaz baba akipata mafundo ya mate toka kwa wema enzi za uhai wa penzi lao
      Mrembo alietumia nafasi ya sanaa vibaya Wema sepetu amefunguka dhidi ya tuhuma zilizotapakaa kila kona ya nchi kuwa karudiana na Chaz baba na kuwa hamtaki tena Diamond kwakua hayawezi mabo ya kitandani.
                 Wema alisema kuwa bado anampenda sana Diamond na hana hisia zozote za kuachana na kijana huyo msharobalo alietingwa na mawazo ya kuachwa muda wowote kwani ndege usipomshika vizuri hukuachia manyoya ndiyo hali aliyonayo diamond kwa sasa.
                 "Chaz baba nilishamwaga na nilishamwambia kuwa siwezi kuwa nawe tena ila anatumia magazeti kuandika habari za uongo kwani mimi ndiye niliempa umashuhuri mpaka akawa anaandikwa mara kwa mara sasa ameona haandikwi kama zamani ndiyo maana ameamua kutafuta ujiko kupitia mimi" wema alitonya haya kwa kimombo.
                  Inasemekana Chaz baba amekuwa akimsumbua wema katika simu yakati za usiku kiasi cha mrembo huyo kutaka kubadili namba ya simu na pia inasemekana picha zilizotumiwa ni za zamani ambazo chaz baba alimpiga ambazo public haikupata nafasi ya kuziona kumbe ilikuwa ni mbinu ya kuuza tu.




WWW.REWIND...!!
MISS ELIEUZA UTU KWA OFA ZA BIA
Bia tamu ila usizidishe dada siku nyingine,pombe si chai dada...
          Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video Queen’, amekumbwa na aibu ya karne baada ya kufakamia pombe na kulewa tilalila.
           Tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada, Ilala, Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumamosi ambapo kulikuwa na shindano la kumsaka Miss Dar City Centre 2011-12.




DADA YETU BHOKE NAE AANZA NGONO
Bhoke and Ernest Get Steamy     Mtanzania Bokhe na Erenest wameanza kupeana denda ikiwa ni dalili za kutupa mbichi waziwazi katika kibwawa cha kuogelea.
    Akirudi tunampokea kwa matarumbeta na msafala wa magari kana kwamba alikuwa anafanya mambo ya msingi sana,watanzania bwana!!.



 HUYO NDIE DEMU ALIEBAMBWA AKILA DENDA NA KANYE WEST



     It looks like Mr. Kanye West is really taking a lesson from life and instead of trying to turn hood rat trash into D list celebrities he is restricting himself to dating only high class fashion models. Earlier in the week he was caught locking lips with a random white woman on a balcony in Cannes.
      Well it turns out that this random chick is actually a French model and actress.  Her name is Virginie Maury and we’re sure you can tell from the image above that she is smoking hot!
In reality, Kanye is an A-list star so it only makes sense that he dates within the upper crust of society.  So Kanye, please leave the hood bucket strippers alone.



Mancini asema Tevez atabakia Man City

Meneja wa Manchester City Roberto Mancini amesema nahodha Carlos Tevez anataka kuendelea kubakia katika klabu hiyo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stoke katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka ya England.
Carlos Tevez
Carlos Tevez
         Mustakabali wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina ulikuwa katika hali ya wasiwasi tangu alipowasilisha barua ya kutaka kuhama klabu hiyo mwezi wa Januari.
       "Anao mkataba wa miaka mitano na ametuambia anataka kubakia," amesema Mancini baada ya kumshuhudia Tevez akifunga mabao mawili yaliyoinyanyua timu hiyo hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.
Mancini ameongeza kueleza: "Aliwahi kusema hapo awali. Hana tatizo lolote."
      Matamshi ya Mancini yanaonekana kupingana na yale yanayotoka kinywani mwa Tevez mwenyewe.
Mara tu baada ya kunyakua Kombe la FA siku ya Jumamosi kwa kuifunga Stoke bao 1-0, Tevez alisema "kuna jambo linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi na hili ni suala pana kulijadili kati yangu na familia yangu".
       Na imekuwa ikifikiriwa kwa mapana kwamba Tevez atachagua kwenda kucheza soka Hispania ama Italia mwishoni mwa msimu.
Lakini kwa mujibu wa Mancini: "Nadhani atabakia hapa mwaka ujao. Hana tatizo lolote.
"Nimezungumza naye mara nyingi katika siku 20 zilizopita. Ni maoni yangu kwamba Carlos atabakia hapa masimu ujao.
      "Mwezi wa Desemba alikuwa na tatizo. Lakini mtu yeyote anaweza kubadili mawazo yake.
"Carlos ni mchezaji muhimu hapa. Carlos ameshafunga mabao 20 msimu huu. Kila mara tumekuwa tukisema Carlos ni mchezaji muhimu. Carlos ni Carlos. Ni mshambuliaji mzuri sana na kwetu ni mchezaji murua. Anajisikia vizuri.



RAPA MACHACHARI WA TWANGA DIOUF KUTOKA KIFUNGONI J'4

MSAFIRI Said almaarufu kwa jina la 'Diouf' anayejiita Babu wa Loliondo na mwingi wa ma a.ka kesho Jumanne anatarajiwa kumaliza adhabu yake ya onyo alilopewa na Meneja wa Bendi ya Twanga Martin Sospeter ambayo alipewa Ijumaa iliyopita kufuatia kufanya uzembe kazini.


Habari hiyo imethibitishwa usiku huu kwa njia ya simu na Sospeter kwamba Kesho Diouf anatakiwa kuripoti kazini baada ya kumpatia onyo kali na kutomruhusu kupanda stejini Ijumaa iliyopita wakati bendi ya Twanga ilipotumbuiza kwenye viwanja vya hoteli ya Lamada iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam.

"Kesho Diouf anatakiwa kuripoti kazini hivyo tunatumaini kila kitu kitakuwa sawa na yeye atarudi kazini akiwa na ari mpya"alisema.

No comments:

Post a Comment