Pages

Pages

Monday, May 9, 2011

VODACOM MISS KAGERA 2011 YAZINDULIWA KWA KISHINDO..!!

   Shindano la kumsaka mlimbwende wa mkoa wa kagera umeanza kwa kishindo baada ya kufanyika uzinduzi huo katika club lINUZ ya  iliyopo mjini Bukoba anbapo ilizinduliwa na  Geneviva Emanuel Miss Tanzania 2011 juzi.

 Baadhi ya wadau wa urembo wakikatika pichaq ya pamoja na Geneviva Emanuel,zakia na Mr.makoye ambae alikuwa mkuu wa msafala huo.
  Show ya miss kagera itafanyika tarehe 10 june katika club ya Linuz Bukoba mjini.




BEAKING NEWZ... CHADEMA WAITEKA SUMBAWANGA !!
  Maandamano na mkutano unaofanywa na chama cha CHADEMA mjini sumbawanga ni balaaa uwanja umetema watu ni wengi kupita kawaida picha zitakujia sooooooon......

No comments:

Post a Comment