Pages

Pages

Tuesday, June 7, 2011

MAELFU WAMLAKI RAIS KIKWETE

Wananchi wa Mbinga wakimsalimia kwa shauku Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumalizika ibada ya Kumsimika na kuwekwa wakfu kwa Askofu Mpya wa jimbo Katoliki Mbinga,Mhashamu John Ndimbo zilizofanyika katika kanisa la Mtakatifu Kilian mjini wa Mbinga, mkoani Ruvuma jana.


BOBBY WINE APITISHA KOMBE LA MCHAMGO WA HARUSI

Msanii Bobi Wine na mchumba wake wametangaza kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu,na wanatarajiwa kuanza kikao cha kwanza cha harusi alhamisi hii Alfredo bar and Restaurant pande za Bukoto na wamewaalika baadhi ya washikaji zao kwenye kikao hicho kwa kuwapa kadi za mialiko
Baadhi ya walioalikwa ni IGP wa Uganda Kale Kaihura,Mayor Erias Lukwago,na meya wa zamani Sebagala na artist wa kali na maarufu toka Uganda.



MISS KULASINI 2011 HUYU HAPA
Vodacom Miss Kurasini 2011, Mwajabu Juma (katikati) akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika Juni 3, 2011 katika ukumbi wa Ekweta Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ally na mshindi wa tatu kulia Prisca Steven.
 
 
 

WATU 36 WAJERUHIWA KWENYE MLIPUKO KENYA


Mtu mmoja amedanja na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya kutokea mlipuko karibu na petrol station jijini Nairobi,uliotoka kwenye kontena lililokua na spear zilizotumika lenye urefu wa futi 20
Kwa mujibu wa boss wa Nairobi Provincial Police,Anthony Kibuchi amefunguka kuwa mtu huyo alifariki wakati anapelekwa hospitali ya Guru Nanak baada ya kupata majeraha kadhaa yaliyotokana na kulipuka kwa mtungi wa gesi,huku wengine wakidai kuwa ni kombora
Majeruhi wengine 36 wanatibiwa kwenye Hospitali mbalimbali nchini Kenya za Kenyatta National Hospital,MP Shah Hospital,Nairobi Hospital,Guru Nanak na Park Road Nursing Home.


 MISS TABORA 2011 HUYU HAPA Miss Tabora 2011 Florah Michael ni mwanafunzi wa SAUT tawi la Tabora mwaka wa kwanza2. Maua Kimambo ni mwanafunzi wa Mussoma utalli college Tabora mwaka wa kwanza3.Dalilah Gharib ni mwanafunzi UHAZILI Tabora mwaka wa pilizawadi kwa mshindi wa kwanza ilikuwa Dell Laptop ya sh kaki 7 na elimu yenye thamani ya laki tatu Musoma Utalii college. jumla 1mzawadi kwa mshindi wa pili Dell computer ya sh laki sita na elimu ya laki mbili Musoma utalii college Tabora.Zawadi kwa mshindi wa tatu Subwoofer na dvd player vya laki 250. Na elimu ya sh laki moja Musoma utalii college.washindi watatu hao watuwakilisha mkoa wa Tabora katika shindano la kanda mnamo tarehe 24/06/2011 mjini Dodoma ambalo litajumuisha mikoa ya Dodoma, Kigoma, Singida na Tabora, washindi watatu wa kanda ndio wataenda Miss Tanzania.Miss Tabora ilifanyika New Royal garden mnamo tarehe 27/05/2011 burudani iliporomoshwa na Amin, steve rnb, Hmbizo, Nash D, na Bekah.
Kutoka kulia ni Dalilah Gharib second runner up katikati Miss Tabora 2011/12 Florah Michael na Maua Kimambo first runner up.


 
LAP DANCE ZA RIHANNA

No comments:

Post a Comment