Pages

Pages

Tuesday, June 14, 2011

MISS KILIMAJARO KUONDOKA NA MILIONI MOJA

Warembo wakiwa katika pozi la kusimama.
Pozi la kukaa
kazi kenu wadau
Hapo vipi..?
Karibuni 18 june mtaniona jamani...
vijimambo vya miss kilimanjaro 2011.
mikandamizo ni siku ya jumamosi hii nani kuondoka milioni moja..
Warembo wa Miss kilimanj
aro wako tayari kwa shindano litakalofanyika june 18 katika hoteli ya Salsanero mjini moshi ambapo mshindi wa sjindano hilo ataondoka na kitita cha Tshs 1mil za kitanzania.



FUNDI SAMWELI PRODUCER ANAMRUDISHA MAGESE MIAKA YA 2003-5
     Producer mwenye asili ya sweeden ambaye anamtengenezea magese bonge la traki katika studi yake ambapo Zed anto amesimama katika korasi.
      Ngoma hiyo ambayo haijapatiwa jina inatarajiwa kuzinduliwa mwanzoni mwa julai mwaka huu,magese alianza kazi zake za sanaa ya muziki mwaka 2002 kisha aliachana na muziki 2006 sasa amerudi tena.
     Baadhi ya ngoma alizowahi kufanya magese ni "Ndani ya jamii" feat Snear 2002,2003 alipata kushirkishwa katika mgoma ya DJ Bush Baby anaitwa "Ijumaa" ambapo ilikusanya watu kibao kama Jafarai,Bamboo na Dubii(K-South) na shakii wa mandugu dital,2005 alitoa mgoma yake ya pili "Dance floor" akimshirikisha Shakii na mchizi mox,2006 alitangaza kuachana gemu la muziki na kujikita na masomo na shughuli zingine za kimaisha.Now superman is back!



MISS CHANG"OMBE YAPAMBA MOTO

Baadhi ya warembo wanaowania taji la miss Chang'ombe wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya mwisho Dar es Salaam juzi
Baadhi ya warembo wanaowania taji la miss Chang'ombe wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya mwisho Dar es Salaam juzi
Mambo hayo mdau..!!
Baadhi ya warembo wanaowania taji la miss Chang'ombe wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya mwisho Dar es Salaam.


DROGBA AOANA NA LALA NDOA YAFUNGWA UFARANSA
   Didier Drogba amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi waliozaa nae watoto watatu aitwae Lalla Diakite huko  Marie De monaco nchini Ufaransa.
Sherehe hiyo ilisimamiwa na mabosi wa Chelsea Roman Abramovich,Salomon Kalou na Florent Malouda ndio walikua wapambe

 wageni ilikua walioalikwa ni Akon,star wa NBA pia alimuita msanii anayemzimia J.Martins toka Nigeria na Fally Ipupa toka Congo-DRC.



RIHANNA NA DRAKE WATOKA OUT PAMOJA

 It looks like whatever this thing may be going on with Drake and RiRi is definitely heating up. Word is the two left their hotel and Montreal, to meet up for a secret dinner and who know whatever else afterward.
Hey. They both are single and successful, so I could definitely see this one going down. What about you? Check out photos of the two leaving the hotel for dinner and a few of them performing in Canada together.





MISS MWANZA YAJITUTUMUA ..!
Warembo wa miss mwanza wakiwa katika poziAsie na mwana abebe jiwe,wanyange hawa kila mtu ana tumaini lakunyakua taji.




MATUKIO YA MISS UNIVERSE 2011 KATIKA PICHA
Miss Universe2011 Nelyy kamelu kilevi kilimzidi akaangusha gari
Mwakilishi wa nchi yetu katika mashindano ya duni akiwa katika pozi na midume huku akionyesha chupi na sehemu zake za nyuma.
mauzo yaliendelea kwa upande wa mbele na chupi ya kiume

No comments:

Post a Comment