Pages

Pages

Sunday, June 12, 2011

MISS KILIMANJARO 2011 KUFANYIKA JUNE 18 SALSANEIRO HOTEL

warembo wakiwa katika pozi
Mrembo anayetikisa  kwa mapozi kambini hapo akiwa katika pozi la aina yake,ni miss kilimanjaro 2011 si mchezo jamani.
Mapozi ya kuketi toka kwa mlimbwende anaewania taji la Miss kilimanjaro 2011 june 18
WAREMBO WENGINE NI: Asha Mohammed,magreth simon,Halima msuyaIrene Mushi,Rose Habart,Gasper,migeshi masururu,zawadi mwambe, Glads kwayi,jennifer Robbert,Aksa Piter na Betrice SAmwel.
Mwalimu wa mazoezi niEvamary Gamba na matroni ni Victoria Benedict,shindano litafanyika tarehe 18 juni katika hoteli ya SALSANEIRO iliypo moshi mjini

Msanii Dully sykes atakuwepo kushusha burudani nzito na nyimbo kibao,aidha burudani ya bendi mbalimbali na vikundi vya sanaa za utamaduni vitakuepo ambapo kiingilio kitakuwa 30,000.= kwa VIP NA viti vya kawaida ni 10,000/= Tu.
Milango ya ukumbi itakuwa wazi kuanzia saa mbili usiku ambapo shoo ikianza muda huo

No comments:

Post a Comment