Pages

Pages

Friday, June 10, 2011

MISS KILIMANJARO 2011 YAPAMBA MOTO

warembo wakiwa katika pozi la kukaa
Warembo wa miss kilimanjaro wakiwa wamekaa kimtindo juu ya uzio wa miti
Warembo wa miss kilimanjaro wakiwa wamekaa kimtindo juu ya uzio wa miti
warembo wakiwa katika pozi la kusimama
Mrembo akiwa katika swimming pool tayari kwa kupiga mbizi wakati wa mazoezi ya kuogelea
Ni miss kilimanjaro itakayofanyika june 18 katika hoteli hii ya salsanero iliyopo moshi mjini
Mlimbwende akiwa amepiga pozi matata sana katika kiti cha bwawani.





JE UNAPENDA MPENZI WAKO AWE WA NAMNA HII?
Diamond_b_model_swimwear2.jpg
Kila kijana anapenda kuwa na demu mkali katika maisha yake na kila demu hupenda kuwa na kijana mwenye fedha nyingi katika maisha yake ili matatizo ya kijamii yasimsumbue akili.



BHOKE ATUA BAADA YA KUTILILISHWA  BBA
Pole kwa kshindwa best karibu jiji la wabishi wa dar es salaam.MAMA BHOKE..
....INTERVIEW NA EAST AFRICA RADIO NA EATV....!
....FAMILY & FRIENDS....!
....MAMAA BHOKE EGINA....
....Mwakilishi pakee wa Tanzania aliyebakia kwenye Big Brother Africa - 2011 Amplified,Bhoke Egina amerejea nchini Tanzania toka Afrika Kusini baada ya kutolewa kwenye Jumba la Big Brother Jumapili iliyopita tarehe 4 June 2011,baada ya kukaa siku 35 kwenye jumba hilo...





Elephant Man AKA The Energy Gad Caught Stealing Energy

elephant_man_jps_electricity_jamaica.jpgOutAroad.com Writer
The Energy Gad Elephant Man is now in a court battle Jamaica Public Service Company (JPS) after he was accused by the company for stealing electricity.
According to JPS the Elephant Man's regular estimated bills are always expected to be over 60,000 as most of the Energy Gad's electrical appliances are High Watts Usage.
Elephant Man's next court date will be on August 30th.



MASTAA WA FUTIBOLI NA MAPUMZIKO YA UFUKWENI NA WENZI WAO
Having a ball ... John Terry and wife Toni hand-in-hand, But Toni, 29, has clearly forgiven her hubby, 30. She wrapped her legs around him as their kids played on the beach in Abu Dhabi.
Nae mkali wa England anayekipiga Manchester united Wayne Rooney katika kipindi hiki cha mapumziko yeye amekitumia kwa kutinga saluni kuotesha nywele katika para linalomnyemelea la kichwa chake.
Akifanya zoezi hilo kwa siri katika saluni moja maarufu ya mtaa wa Harley jijini London inatonywa kuwa ametumia zaidi ya shilingi milioni 20 za kibongo kukamilisha azma yake hiyo.

Katika zoezi hilo la teknolojia ya kisasa Rooney(25) alipandikizwa maelfu ya nywele katika kichwa chake kilichokuwa na upara wa asili uliomfanya aonekane sawa na mzee wa miaka 65, madaktari wakieleza kuwa nywele hizo zitakuwa kama nywele za kawaida.
Roo lucky pair ... Wayne's akiwa na mkewe Coleen(25) amejumuika na mshambuliaji wa Liverpool, Andy Carroll pamoja nae kocha wa Aston Villa Gary McAllister wa wakienjoy ufukweni.

No comments:

Post a Comment