Pages

Pages

Saturday, June 11, 2011

EXCLUSIVE: KHADIJA KOPA AWARUSHA ROHO WADADA

Shabiki wa taarabu alinogewa na vijembe vya mama khadija kopa akashidwa kuvumilia akapanda steini kumwaga radhi.

Khadija kopa akirusha mashabiki jukwaani.





MISS TABATA 2011 HUYU HAPA
Miss Tabata 2011, Fhaiza Ally (pichani juu na katikati) akiwa na washindi wa pili Godliver Mashamba (kushoto) na mshindi wa tatu Lilian Bryson mara baada ya kuatngazwa kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo lilifanyika Da West Park, Tabata jijini Dar es salaam.
Vazi la ufukweni kama unavyowaona warembo hao wakipita jukwaani.
Warembo wakiwa katika Vazi la ufukweni
Hii ndiyo tano bora ya Miss Tabata kutoka kulia ni Faidha Ally, Ritah Cathbert,Godliver Mashamba, Lilian Brayson na Agostina Mashanga.





KIDEMU KINACHOFANA SANA NA JOKATE MWONGELO
Lola Monroe





 POLISI WAZINGUA SHOW YA MAPACHA WATATU
 Wanamuziki wa Mapacha Watatu wakilishambulia jukwaa katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
 Polisi walipopanda jukwaani watu walijua wanapanda kumtunza Jose Mara lakini haikuwa hivyo.




WEEKEND DAR ZINA MAMBO..!!

Mmwaga radhi wa kitu T, akiwajibika.
 MnenguajI akifanya mambo ukumbini hapo.






CHRISTINA WILLIAM NDIYE MISS IRINGA 2011 
 

Christina William Ametwaa Taji La Vodacom Miss Iringa 2011 Katika Kinyang’anyiro Cha Ulimbwende Kilichofanyika Kwenye Ukumbi Wa Highland Manispaa ya Iringa huku Ritha Justine Nafasi Ya Pili Na Zay Mselemu Nafasi Ya Tatu, Happiness James Nafasi Ya Nne Na Ya Tano Ni Jackline Erick. Picha: Misanjo Livigha




HUSAIN BOLT MTU MWENYE KAZI ZAIDI DUNIANI AREJEA UWANJANI KWA KISHINDO
BINGWA wa dunia wa mita 100 na 200 Usain Bolt raia wa Jamaica, jana alirejea kazini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka, lakini akatwaa medali ya dhahabu katika mita 200, zilizofanyika Oslo, Norway.
Bolt mwenye miaka 24 ambaye alijiandikia rekodi kwa kutwaa medali tatu za Dhahabu katika michuano iliyopita ya Olimpiki, juzi alitumia sekunde 19.86 kumaliza mbio hizo.
Muda huo ni sekunde tano chini ya rekodi ya muda bora zaidi Duniani kwa mbio hizo aliyoiweka yeye mwenyewe na ile ya Frankie Fredericks, hata Bolt anasema akikaa sawa ataivunja rekodi hiyo.
Katika mbio za juzi Bolt aliongoza tangu mwanzo hadi mwisho akimuacha Jaysuma Saidy Ndure aliyeshika nafasi ya pili kwa sekunde 0.5, hata hivyo Bolt alielezea kufurahishwa na kasi aliyotumia kwa kuwa hajakimbia mita 200 tangu Mei mwaka jana aliposhiriki mbio za Shanghai, China.
“Kwa kuwa sijashiriki mbio kwa muda mrefu nadhani muda huu niliotumia sio mbaya, naona nimeanza vizuri, ila nijajifua zaidi naamini ninao uwezo wa kukimbia kwa kasi zaidi ya hivi,” alisema Bolt.
Bolt alisema anataka ashiriki mashindano matatu zaidi kabla ya kushiriki mbio za ubingwa wa Dunia zitakazofanyika Daegu, Korea Kusini, Agosti mwaka huu na kwamba kwa sasa atajifua sana chini ya Kocha weke Glen Mills.

No comments:

Post a Comment