Pages

Pages

Tuesday, July 12, 2011

BREAKING NEWS: LUDACRISS KUTUA DAR

Mwaka huu ndani ya tamasha  la Fiesta linamdondosha mtu mzima kutoka marekani Ludacriss ambapo show itakua ndani ya viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.





BECKHAM APATA MTOTO WA KIKE
Mke wa Mwanasoka David Beckham,Victoria amepata mtoto wa kike aka baby girl jana July 10,2011 akiwa ni mtoto wa 4 kwenye familia hiyo

Beckhama ameandika kwenye mtandao wa Facebook "wana furaha ya kutangaza ujio wa mtoto Harper Seven Beckham aliyezaliwa Los Angeles-Marekani'' na Harper Seven Beckham atakua na kaka zake watatu, Brooklyn (miaka 12), Romeo (miaka 8) naCruz (miaka 6) na jina la kati la Harper,Seven au 7 limetokana na baba yake kuvaa jezi no 7 wakati akiwa anaichezea timu ya Manchester United kabla ya kuiacha na kuhamia Real Madrid ya Spain.





TOP PICs OF A DAY
Nya Lee

No comments:

Post a Comment