Pages

Pages

Tuesday, July 12, 2011

TBL PLANTS TOUR:REDDS MISS TEMEKE WATEMBELEA TBL

Maofisa wa TBL wakitoa semina fupi kwa warembo kuhusiana na kinyaji cha REDDS,Warembo walitembelea kiwanda hiko kilichopo maeneo ya Ilala ambao ni wadhamini wakuu wa mashindano hayo kupitia kinywaji cha REDDS.
Warembo wa Miss Temeke wakiwa katika picha ya pamoja.
 
Warembo wakichukua msosi.
 Dada Vicky ambaye ni REDDS Brand manager.
 Benny kisaka mwandaaji wa miss Temeke akipata msosi na warembo wake.
Mrembo akiwa na chakula mbele ya tangazo la REDDS akionyesha urembo wake na REDDS.
Urembo ni kula pia jamani.
Mrembo akionesha urembo wake.
Ziara ilianza baada ya kupata msosi.
Mtoa nadharia akiwapa maelezo ya kina warembo kuhusu namna ya uzalishaji bia kiwandani hapo.
Mkemia akichanganya vitu vyake.
Mabomba yanayopitisha mchanganyiko unaotengeneza kilaji ambapo mchanyiko huo hukaa wiki nzima katika matanki huko juu.
Warembo waliingia sehemu inakotengenezwa REDDS.
Huu ndiyo mtambo wa kutengeneza kilaji cha REDDS.
Hii ndiyo radha ya apple ambayo huifanya REDDS inukie full apple.
Hii ni sehemu ambayo REDDS huchujwa tayari kuingia katika hatua za mwisho kuiva.
Hii ni moja ya mashine ambayo huitimisha mchakato wa upikaji kilaji cha REDDS..
Matron Anna.
Mwalimu wa catwalk Caroline.

No comments:

Post a Comment