Pages

Pages

Wednesday, July 13, 2011

BREAKING NEWZ: ROSTAM AZIZ AJIUZULU UBUNGE

Mbunge wa Jimbo la Igunga, Rostam Azizi leo ametangaza rasmi mbele ya wapiga kura wake kujivua nyadhifa zake zote alizozipata kupitia Chama cha Mapinduzi. 
Akihutubia huku akikatishwa na kelele za wapiga kura wake zilizokuwa zikipingana na uamuzi huo Rostamu amesema uamuzi wake huo hautokani na shinikizo la mtu, kundi la watu au Chama bali ni dhamira yake mwenyewe ya kutaka kuachana na siasa uchwara na kuamua kusimamia vyema biashara zake.
"Naomba niliweke hili wazi....narudia tena naomba niliweke hili wazi kuwa uamuzi wangu huu hautokani na shinikizo lolote kutoka kwa mtu yeyote bali ni dhamira yangu ya dhati ya kutaka kuachana na siasa hizi uchwara ili nisimamie biashara zangu kikamilifu" alisema Rostam.




UJAUZITO WA MIRIAM GERALD WAHESABIKA

Mlimbwendende Miriam Gerald yuko katika hali ya kusubiri kujifungua muda wowote kuanzia sasa kwani kile kimuda cha kuwaita mamajusi kimekaribia.
  Watu wengi walikuwa hawafahamu kama mrembo huyu katundikwa mimba na kijana Kenny ambae ni mumewe mtarajiwa lakini mimba hiyo imekuja kabla ya ndoa ni kiasi gani kenny alivyo fasta kujiwai wajanja wasimuwai,dawa ni kumzalisha then atulie ndio kauli ya wanaume wengi wasiotaka mpenzi wake akwapuliwe na mapedeshee.
  Mtu mzima Kenny anasubiri ki-baby kwa hamu ndugu jamaa na marafiki andaeni pampasi zenu kwa zawadi ya mtoto wa Miss Tnzania 20o-2010.



WAREMBO WA REDDS MISS ILALA WANAONGOZA KWA MAYENU
Hawa ndiyo warembo waliotia fola kwa kusakata kila nyimbo,ni kama walienda kozi kabla ya kujiunga na umiss pengine watanyakua taji la vipaji kwa mwaka huu.




HATARI HATARI HATARI
Ujenzi wa kiwanda cha mafuta katikati ya makazi ya binadamu,kuna haja ya kuchukua hatua za haraka kwa kuwahamisha wakazi hawa wa eneo la kigamboni kabla kiwanda hiki hakijaanza tumika ili baadae yasitokee madhara tukaanza kuchangishana rambirambi wakati hatari tunaiona.




NIKKI MINAJ APIGWA JEBU
   Msanii wa kike anayefanya mziki wa HipHop Nick Minaj amekutana na kash kash jana usiku baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mwanaume aliyekuwa katika hotel ya Dallas, katika maelezo yake kwa polisi.
   Alisema kuwa mwanaume huyo walianza majibizano toka wakiwa katika bwawa la kuogelea na yaliendelea mpaka chumbani ambapo ndio alitandikwa ngumi ya mdomoni. 
   vyanzo vingine vya habari vimesema kuwa Nick Minaj hakuwa tayari kumuelezea kwa undani mwanaume huyo ni nani!




TOP PIC OF A DAY
 TOLEO JIPYA LA UNDER WEAR WADADA MPOO..!


Mhh..Rihanna & Drake: New Celeb Couple

rihanna_drake_dating.jpgRihanna and Drake both have a hot R&B edge, and both use their catchy middle names as stage names. After on-and-off hookup rumors that date back to '09, we've all been waiting for confirmation that they're the entertainment industry's new item...and today there's new evidence that they are, in fact, making some sweet, sweet music together.
Back in 2009 after her split from Chris Brown, rumors surfaced to hint that Rihanna had had enough of healing her wounds and was getting down with Drake. The buzz was brief, however, because the Barbadan beauty quelched rumors by saying, "I definitely was attracted to Drake, but ... we didn't want to take it any further." The singer, 23, added, "It was at a really fragile time in my life, so I just didn't want to get too serious with anything or anyone at that time."
But last week, nearly two and a half years after her split from bully-boyfriend Chris Brown, Rihanna"Men are like hunters; they like the chase," she told Cosmo UK. "So you have to keep 'em guessing. Actually, I'm like that too. I get bored quickly." admitted that she's totally back in the dating game...and having fun being a player.

No comments:

Post a Comment