Pages

Pages

Thursday, July 14, 2011

RABADABA AIBUKIWA NA MODEL ALIEZAA NAE

Msanii Rabadaba ambaye kwa sasa ana shughulikia masuala yake ya sheria lakini imefunguliwa kuwa baada ya kutelekeza mtoto aliyezaa na Model toka Uganda,Sheila Ferguson anayeishi Uingereza mdada huyo anatia timu nchini Uganda hivi karibuni.
Alisema kuwa Rabadaba alimtelekeza baby mama wake na kufikia mdada huyo kuamua kutafuta kazi hoteli ili ajikimu baada ya kuachwa kwenye mataa na imesemekana kuwa Sheila anamleta mtoto huyo Kyle Fahim Seguya ili afanyiwe sherehe ya kimila na familia ya Rabadaba na kupewa jina la kimila pia,coz Rabadaba aliombal Visa ya kuingia nchini Uingereza.





WE! BOW WOW UNACHUNGULIA NINI?
b1
Bow wo akiperuzi kitu kifuni kwa Dollicia Bryan.
 
 


TOP PIC OF A DAY
yaris sanchez.



DUNIA NA MAUMBILE YA WATU

   Kijana Nguyen Duy Hai wa nchini Vietnam, hawezi kufanya kitu chochote zaidi ya kukaa chini au kujilaza kwani uvimbe kwenye mguu wake umekuwa mzito sana kiasi cha kufikia uzito wa kilo 80 hivyo kuunyanyua mguu wake ni sawa na kuzinyanyua kilo 80 toka chini.. GONGA LIFE STYLE pembeni kushoto kwa habari kamili.

No comments:

Post a Comment